Search results

  1. K

    Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

    Tuliuza nyumba ya marehenu babu pale kariakoo karibu na faya wajukuu mgao 50ml nakumbuka terminal one lile jengo jekundu na mabenchi tuu. Nshawai kwenda zenji me na rubani tuu ile company ya costar kama skosei 2000 hiyo Viduka vya pamba town vilikua vinanijua maaana nikiwa dukani jua wauzaji...
  2. K

    Jinsi ya kushinda michezo ya kamari

    Kaka sasa me nipo SA natumia rand nifanyaje hapo kwenye kiasi!
  3. K

    Simulizi:SEVEN DAYS IN HELL! (SIKU SABA KUZIMU)

    Kaka ukiweka mzigo nishitue basi nipo hapa nakunywa supu ya pweza kulinda heshima kwa shemejio
  4. K

    Ushauri: Anataka kumpeleka mtoto shule ya IST mwakani

    Me binafsi nimefanya kazi pale miaka ya 2014 - 2016 sina uhakika kuhusu tabia ila me najua tabia inaanzia nyumbani na kuhusu ubaguzi hakuna ila unaenda kumtesa tuu mwanao Kuna kiisrael kimoja bana wanakaita pilip8li kale katoto roho mungu akape maisha maana ni katundu ka taufa Ukizubaa...
  5. K

    Kwanini Vijana wengi wanaozamia South Africa hurudi nyumbani wakiwa maskini

    Ipo hivi wakuu kwanza kabisa hakuna kitu cha miaka miwili mtu akasimama kimaisha pia msisahau yule aki3enda south aki4udi anatukuta sii na yeye hatuchekani Pili nilichojionea mimi south vijana wengi wa tz waliopo huku ni wale waliokataa shule kuoinda vibaka au watu waliotoka kw3nye familia duni...
  6. K

    Maisha ya South sio mchezo, narudi nyumbani

    Ulizani huku kwa bi mdash nini baharia apa ni kwa mkaburu kama huwezi kuzingatia basi nenda beach kadandie chuma uende maulaya bunda moja baharia Cha pili punguza kujichanganya maskani za masela fanya yako baba au na kaburu unaona noma kufungua ndau mzesßß
  7. K

    Naomba ushauri na uzoefu kwa waliowahi kuomba visa ya Canada

    Habari Mimi ni kijana wa miaka 30 elimu kidato cha nnebsikuitaji kuriseat ili niendelee na elimu ya juu nikaenda veta nikasimea taaluma ndogo ndogo kama tatu zinazoendana kwenye soko la ajira hivyo nimejiajiri napata kiasi cha mboga uongo siku zinakwenda. Kwanza mimi natokea familia ya jawaida...
  8. K

    Toyota Passo inaitajika araka

    Ml.4.5 maelewano yapo kama gali iko poa
  9. K

    Toyota Passo inaitajika araka

    nahitaji toyota passo iliyo simama isiwe na tatizo lolote kwa mwenye nayo anicheki hapa 0715426668 nipo dar namba D au C
  10. K

    Wanaomfuata Lowassa mnapoteza muda wenu, Magufuli anasubiri kuapishwa

    mchicha mwiba umestawi lumumba unahitaji kuvunwa.......tusha nunu pilipili lowasa kwa kutafuna ugali october 25
  11. K

    Ujio wa TB. Joshua kwa mualiko wa CCM una maana gani?

    nabii wa kweli hatabiri kitu na mwaka huu mungu yupo tanzania hivyo kipindi hiki manabii wa uongo watapotea kabisa kwani wao ni watumishi wa baba wa uongo...
  12. K

    Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    mwambieni hivi freemason wamewai kumkosea nini maishani mwake au ndio amekalilishwa iam mason mimi ni fundi mwashi tatizo nn?
  13. K

    I will vote for Magufuli because I have so many reasons not to vote for Lowassa

    tutamchagua lowasa alfajiri saa tano tunaenda kufanya sherehe za ukombozi tunachinja mbuzi na mvinyo
  14. K

    Hali sasa ni tete kwa Lowassa, atengeneza mafuriko bandia baada ya Mh. Magufuli kuilipua Arusha

    mchicha mwiba bana mabasi ya daresalaam mnasema ya arusha mnazidi kujizalilisha mmepotea
  15. K

    Dr. Slaa tumekusikia na ushauri wako tutausimamia siku zote kama CHADEMA asilia

    mchicha mwiba umekua lumumba unataka kuvunwa huuu.......
  16. K

    Say big NO to Lowassa to show the World that Tanzania hates corruption & bribery

    mimi nitaamka alfajiri kabla ya kwenda kanisani nitaenda kupanga foreni na nitamchagua Edward Ngoyae LOWASSa alafu ndio naenda kusali na kumuombe atangazwe mapema ili tuu ni kuonesha hatuchagui vingamazi tunataka viongozi
  17. K

    Mgombea mwenza kurejea CUF

    pumba za lumumba at work...pole yenu kibanga kapoteza tyming anaiba mpaka slogan
Back
Top Bottom