Search results

  1. R

    Kama wakati ule waliona Senzo alikuwa sahihi sioni sababu ya Manara kuanza kutoa mapovu ya kutaka kocha afukuzwe

    Kuna kipindi Senzo akiwa mtendaji mkuu wa yanga alikwenda kuipokea timu kutoka south Africa ilikuja kucheza na Simba kwenye mashindano ya klabu ya klabu bingwa Afrika. Kitendo cha Senzo kukutana na timu ya south Africa kabla ya mechi ya Simba kilichukuliwa kwa hisia tofauti, wakati washabiki wa...
  2. R

    Kwanini Mchambuzi wa video wa Simba yupo hadi sasa?

    Simba ni club ya kwanza Tanzania kusajili Mchambuzi wa video(video analysis) aliyetokea nchini Zimbabwe. Kabla ya mechi ya Simba na Kaizer Chief wachambuzi wakubwa Afrika walieleza sifa kubwa ya Kaizer Chief ni kufanya counter attack na kufunga kupitia cross au kona. Tulipocheza nao tulifungwa...
  3. R

    Kesho ni mkutano mkuu wa Simba ajenda kuu ni Katiba

    Kesho Kuna mkutano mkuu wa timu ya Simba ,mojawapo ya ajenda ni mabadiliko ya katiba ili kukamilisha mchakato wa uwekezaji. Tayari kamati iliyokusanya maoni kupitia mwenyekiti wake Husein Kitta umesema umemaliza kazi take na kukabidhiaoni tayari kwa ajili ya kupitishwa na mkutano mkuu lakini...
  4. R

    Wapi Dar es Salaam naweza kukodi Trecta

    Nahitaji kukodisha trekta kwa ajili ya kusafiaha shamba maeneo ya Tuangoma. Wapi naweza kupata trakta la kukodi hapa Dar es salaam.
  5. R

    Simba achaneni na mapinduzi cup tengenezeni timu

    Kwa mtu yeyote aliyeifatilia Simba atagundua timu haipo sawa kuanzia kiuchezaji Hadi kujituma kwa wachezaji. Pamoja na kuufurahia kuwafunga Wydad lakini timu imepoteza uelekeo, Kila mchezaji anacheza kivyakevyake matokeo timu inakosa magoli ya wazi na kufungiwa magoli ya.kizembe. Wakati huu...
  6. R

    Jinsi timu za ulaya zinavyotumia fursa ya masoko

    Jana kulikuwa na mechi Kati ya Genoa na Ac Milan, katika mechi hiyo kipa wa Ac Milan alitolewa kwa Kadi nyekundu wakati idadi ya wachezaji kufanyiwa sub ilishatimia. Ilibidi mshambuliaji wao Oliver Girloud akakae golini Kama kipa, na bahati nzuri akaokoa hatari ambayo ingeweza kuwa goli. Leo Ac...
  7. R

    Kocha wa CR Belouizdad Sven Vandenbroeck afutwa kazi

    Kocha wa CR Belouizdad ambaye pia aliwahi kuifundisha Simba, Sven Vandenbroeck amefutwa kazi kwenye timu hiyo ambayo imepangwa kundi moja na yanga kwenye ligi ya mabingwa Afrika. Kocha huyo amefukuzwa kutokana na kutokuwa na matokeo yanayoelewa ingawa wachunguzi wa Mambo wanasema sababu...
  8. R

    Nimestushwa na wizi wa data wa makampuni ya simu

    Siku zote najua tunaibiwa data na MAKAMPUNI ya simu lakini sikujua Kama ni wezi kiasi hicho. Mara nyingi naweka kifurushi cha wiki lakini hata simu yangu ilizima charge kwa kukosa umeme kifurushi huwa kinakaa siku moja tu na so zaidi. Leo sijui imekuwaje nimezima data baadae nikaangalia salio...
  9. R

    Mchakato wa mabadiliko Simba umekwama

    Huko Simba mambo bado, juu ya ile ishu ya mabadiliko ya klabu hiyo ili iendeshwe kwa mfumo wa hisa ambao mchakato wake ulianza tangu mwaka 2017 umekwama ikielezwa tatizo likiwa ni katiba ya klabu hiyo, kiasi cha Ofisi ya Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kurudisha mpira Baraza la Michezo la...
  10. R

    Tangu lini Wizara ya Afya imekuwa ya Muungano?

    Katika ripoti ya ukaguzi wa CAG imeeleza kuwa Aprili 2022 kwa mujibu wa ripoti hiyo, Wizara ya Afya iliingia mkataba na kampuni ya Zenj Motors wa ununuzi wa magari 12 ya wagonjwa yenye thamani ya Sh1.97 bilioni kwa ajili ya hospitali za Zanzibar ambao haukutekelezwa ipasavyo. Chini ya mkataba...
  11. R

    ILE TIMU ISIYOKUWA NA PESA MPAKA MABASI YAKE KUSHIKWA KUWEKA KAMBI DUBAI

    ILE TIMU inayosemekana Ina hali mbaya ya kipesa imeweka Kambi ya wiki moja Dubai. Timu hiyo ambayo ilisemekana imevuliwa ubingwa wa mapinduzi kumbe ilikuwa na mipango yake ya kujiandaa na michuano ya kimataifa imeonyesha tofauti ya club kubwa na ndogo inapokuja mashindano ya kimataifa
  12. R

    Yondani anaweza kupata pesa nyingi kuliko kipindi chote alichocheza mpira

    Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
  13. R

    Ajira posta wazanzibar kupewa asilimia 25

    Watanganyika mtaendelea kuteseka tayari shirika la POSTA limetangaza kutenga Asilimia 25 ya AJIRA zake Kwa wazanzibar
  14. R

    Zanzibar imepata wapi pesa ya ruzuku ya mafuta?

    Wakati wa mchakato wa rasimu iliibuka hoja ya serikali tatu, Dr. Shein akiwa rais wa Zanzibar wakati huo alikuwa miongoni mwa watu walipinga Kwa madai mapato ya Zanzibar ni kidogo hivyo isingemudu gharama za uendeshaji serikali ya muungano. Leo taarifa ya habari imetangaza hatua ya serikali ya...
  15. R

    Simba imepata kocha mpya wa makipa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, tayari Simba imepata kocha mpywa wa makipa kuziba nafasi ya aliyekuwa kocha wa makipa kuondolewa. Maelezo zaidi yatakuja baadae
  16. R

    Biashara United wamekwama tena kifedha. Mkuu wa mkoa yuko wapi?

    Biashara United inakabiliwa na changamoto ya nauli kwenda kwenye mechi ya marudiano na hata pesa za waamuzi ilikuwa changamoto, Yule mkuu wa mkoa Yuko wapi au anahaidi mechi ya Simba
  17. R

    Yanga yapigwa faini na CAF

    Tukisema hii timu ni kihuni inaendeshwa kama timu za ndondo wanakuja juu na kulalamika wanaonewa. ====== SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya Sh11 milioni klabu ya Yanga baada ya kushindwa kujibu madai ya kuwafanyia fujo baadhi ya watu waliokuwa kwenye msafara wa Rivers...
  18. R

    Corona yatajwa kambi Yanga

    KLABU ya Yanga imesitisha kambi yake nchini Morocco kwa sababu mbalimbali na baadhi ya wachezaji wakirejea Tanzania jana huku wengine wakilazimika kusalia nchini humo. Miongoni mwa sababu zilizotajwa na uongozi wa Yanga ni idadi ya wachezaji kupungua baada ya baadhi kwenda kujiunga na timu...
  19. R

    Orodha ya kesi zitakazosikilizwa na CAS mwezi Juni hadi Julai

    Hizi hapa ni orodha ya kesi zilizopo CAS ambazo zitasikilizwa mwezi wa sita hadi tarehe 1 mwezi wa saba 02.06.21 CAS 2020/A/7582 Al Sadd Sports Club v. Parma Calcio 1913 srl (FC Parma) CAS 2020/A/7583 Parma Calcio 1913 srl (FC Parma) v. Al Sadd Sports Club CAS 2021/A/7760 André Onana v. UEFA...
  20. R

    Msikie mzee wa upupu akizungumzia kanuni

    Maajabu Yanga, kanuni na Kamati ya Saa 72 BILA shaka umeshawahi kusikia Yanga Kampuni na Yanga Asili. Lakini utakuwa umewahi kusikia kuhusu Yanga Katiba na Yanga Ukuta. Hayo ni makundi yaliyowahi kuibuka ndani ya Yanga katika nyakati tofauti kutokana na malumbano na migogoro iliyosababishwa na...
Back
Top Bottom