Search results

  1. Bowbow

    This is Good one, Halloween Party

    ............I promise you, this is not funny.... A couple was invited to a masked costume Halloweenparty. The wife got a terrible headache and told her husband to go to the party alone. He, being a devoted husband, protested, but she arguedand said she was going to take some aspirin and...
  2. Bowbow

    World First Flying Car

    Nimeona hii habari bandugu naweka kama ilivyo. What is the implication of such technologies??????? Zitaaccelerates maendeleo ama zitaongeza gap kwa walionazo na wasio nazo????? Kwa nchi masikini, zitaongeza ufanisi ama loss of life will be doubled????? Kwa maoni yangu, hii ni luxurious...
  3. Bowbow

    Ni nini kiashirio kwamba kabila fulani ni wakabila?

    WanaJF Hapo siku za nyuma kulikua na topic ndefu sana kuhusu ukabila na makabila mengi yalichambuliwa kwa kila namna lakini bado hakuweza kupatikana muafaka kwamba nani ni mkabila. Lengo la mada hii sio kurudia maelezo yaliyotolewa kwenye ile mada iliyopita, la hasha ni kutaka kuchambua dhana...
  4. Bowbow

    WITO: Bi Sophia Simba Jiuzulu

    Ndugu wanabodi, Waziri Sofia Simba anashika wadhifa mkubwa sana kwenye serikali ya awamu ya nne, kwani wizara yake ndio kioo cha viongozi wote yaani Utawala bora. Wizara hii ndio inayongalia mienendo na maadili ya viongozi wote wa umma. Inakemea ukiukwaji wote wa haki za watumishi wa umma...
  5. Bowbow

    Uchumi wa USA Mashakani tena

    NEW YORK - In a stunning reshaping of America's financial landscape, two venerable Wall Street firms fell from the shock waves of a credit crisis that has plunged the financial system into turmoil, as stocks tumbled across the globe Monday. Lehman Brothers, a 158-year-old investment bank...
  6. Bowbow

    Picha za kuitangaza Tanzania

    wapendwa wanaJF, Nimeanzisha kampani binafsi yenye lengo la kuitangaza Tanzania katika nyanja zote za kukuza uchumi na social welfare ya watu watu wake. Kwa sasa nipo kwenye maandalizi ya mwanzoni kabisa, ila naomba msaada mmoja kwa wanaJF na msaada huo ni picha mbali mbali zenye uwezo...
  7. Bowbow

    An Enemy of the People

    Naamini watu wengi walisoma play ya An Enemy of The People. Kwa wale ambao hakusoma kuna short sumary chini. Hii play ina ujumbe mzito sana kwa jamii ya Watanzania wa wakati huu. Je who is the enemy of the people?????????? Je tunawezaje kuitumia play hii na ujumbe wake kuwabrand hawa enemy...
  8. Bowbow

    Yes, I am coming too......

    Nyani Ngabu walked into the class every morning with a black eye. After a while his teacher got worried and asked him about it. Ngabu's answer was, "Our house is very small miss. Me, my mother and my father, we sleep in the same bed. Every night my father asks, 'Ngabu are you sleeping?'...
  9. Bowbow

    Hii imekaaje Watanzania? Kuna ukweli....

    Shelys’ staff comprises mainly of Indian and British expatriates. Tanzanian staff is still the minority and it was mentioned by the CEO that this is a major problem. Shelys would prefer to employ Tanzanian staff, but the competency needed for pharmaceutical production is simply not available in...
  10. Bowbow

    Tetesi: Nini kina msibu Former IGP Mahita...??

    Kuna tetesi kwamba Mahita yupo kwenye jela ndogo (jela ya nyumbani) kwa sababu yupo chini ya uangalizi kwa kuwa alishirikiana na baadhi ya RPC na kina Zombe na kusupport mitandao ya majambazi hapa nchini wakati wa utawala wake. Mpashaji wa habari hizi anasema Bwana Zombe na mahita...
  11. Bowbow

    Utalii wetu: Tutahujumiwa hadi lini??????

    Wana JF. Kwanza kabisa napenda kutoa sikitiko langu kwamba JF tumeipa siasa, udini, mapenzi, udaku kipaumbele tukasahau kitu ambacho ni muhimu nayo ni sector ya utalii nchini. Tafadhalini Mods, Invisible na JF mngmt. Fungueani jukwaa la utalii kwa haraka haraka Nyepesi unaweza kuinganisha na...
  12. Bowbow

    News alert: Wawili waanguka ndani ya ofisi ya PCCB

    Wanabodi kuna hii habari nimeiona kwenye website ya watanzania waishio Denmark sijui kama kuna yeyote anafununu ya nini kilitokea soma hii habari http://www.watanzania.dk/showtime/show.php?type=article&number=5
  13. Bowbow

    Balali: Nini kimemsibu???

    Wandugu, Ni muda mrefu tangu kupata updates ya nini kinaendelea kuhusu Balali. Hakuna anaejua kuhusu afya yake????? Je, Ni lini serikali ya Tanzania itamrudisha nchi kuja kutoa maelezo yake???? Je uchunguzi unaofanywa na kamati ya EPA, mbona haujamhoji mhusika mkuu? Kamati ya EPA...
  14. Bowbow

    JK OFF to Scandinavia.......

    PRESIDENT KIKWETE TO JOIN COMMISSION FOR EFFECTIVE DEVELOPMENT COOPERATION WITH AFRICA. The President of Tanzania, Jakaya Kikwete, has accepted an invitation to participate in the Commission for effective development cooperation with Africa. The Danish Prime Minister, Anders Fogh Rasmussen...
  15. Bowbow

    Watanzania wapuputika

    Ndugu wanaJf, Watanzania ni wakati sasa umefika wa kudhamini maisha yetu zaidi kuliko pesa. Ugumu wa maisha usiwe ni chanzo cha kurisk maisha yetu kwa sababu ya hela za haraka haraka. Nikianzia kwa wale ndugu zetu walio njee ya Tanzania: huko umatumbini kazi ni nyingi mno za kujipatia...
  16. Bowbow

    Salam kwa mafisadi kutoka Korea

    Salam kwa mafisadi kutoka Korea. Naye Lowassa akawaambia mawaziri wengine" KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr. Mwakyembe. Nami naenda mtaani kuwaandalia kijiwe ili nitakapokuwapo nanyi muwepo. Nanyi muonapo tume zaundwa basi mtambue muda wa mavuno ya MAFISADI...
  17. Bowbow

    Sisiem na Serikali Imefanikiwa...

    WanaJf, Tulikuwa tukifuatilia Afya ya aliyekuwa Gavana na kushinikiza serikali imrejeshe ili aje kuhukumiwa kwa makosa aliyoyatenda. Wakati tukifuatilia hayo sisiem na sirikali wakaunda Tume richmonduli ilivyotoa taarifa yake tukahamisha attention yetu kwa Karamagi, Lowassa et al, ilipoanza...
  18. Bowbow

    JF New Strategy and New Approach

    Ndugu wanaJf, Kwa hizi siku za karibuni kumekuwa na mambo mengi yamejitokeza ni kufanya wakati mwingine tunaangalia upande mmoja bila kupata updates za vitu vingine vinavyoendelea. Tunakumbuka uchaguzi wa Kenya; Kenyan-Tanzanian alitufaa sana kupata updates, uchaguzi wa Kiteto Mpaka...
  19. Bowbow

    Fisadi huyu achukuliwe hatu haraka

    The case of the prime government plot sold off for `peanuts`: THISDAY REPORTER Dar es Salaam THE scandal over the sale of an expensive government property in Dar es Salaam has continued to unfold, with latest reports suggesting that senior officials in the now-defunct Presidential...
  20. Bowbow

    Apartment For Rent

    It weekend while enjoying it, read this A businessman met a beautiful girl and agreed to spend the afternoon with her for $500. They did their thing, and, before he left, he told her that he did not have any cash with him, but he would have his secretary write a cheque and mail it to her...
Back
Top Bottom