Search results

  1. Highlander

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Tatizo la kutizama GPA lipo sana katika hizi nchi zetu za Africa; na ninaamini linatupotezea vipaji sana. Leo kuna taarifa kutoka Afrika Kusini Rubani mmoja wa ndegu za SAA kaendesha ndege bila hata tatizo moja kwa miana 20 mnoko mmoja kagundua alipata kazi kwa kutumia vyeti feki; Wameamua...
  2. Highlander

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    yaani tangu juzi vijana wanahangaika mtu wangu! nawajua vijana karibia wanne mara huku mara kule kwenye vikefu nothing doing!!!. website hiyo kuna pages hazikuwa tayari wakati tangazo linatoka; hapo ujue sasa hela ni ngumu kuipata halaf mtu anaweka tangazo kila kona wakati miundombinu haiko...
  3. Highlander

    Msaada ujazaji wa Online Teachers Employment Application System (OTEAS)

    Salaam Wadau... Hili Tangazo la ajira kwa walimu kwa mtandao mbona limekaa kama magumashi fulani hivi. Tangu juzi watu wanahaha kujisajili hicho kiwebsite hakipatikani; na kinapojitokeza kuna kuraza za website hazijakamilika matengenezo. Palikuwa na sababu gani TAMISEMI kusambaza taarifa ya...
  4. Highlander

    Biashara zinapokuwa kero kwenye mtaa, sheria za usafi za zamani zirudishwe

    yaani ni shiidaaa... wangekojolea chupa na kunyea lambo af wakatupe chooni basi. malalamiko yangetoka wapi
  5. Highlander

    Biashara zinapokuwa kero kwenye mtaa, sheria za usafi za zamani zirudishwe

    Tupige marufuku wasusi na vinyozi kulala mwenye saluni na fremu zao au hata watu kulala mwenye biashara zao. Kwanini? Kwa sababu wanajisaidia haja kubwa mwenye marambo (mifuko ya nailoni) usiku, wanajisaidia haja ndogo kwenye chupa za maji (Uhai) halafu asubuhi wanaenda kuzitupa kwa majirani...
  6. Highlander

    'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

    umeongea kama mdau wa shule binafsi kwa njia moja ama nyingine. Lakini pia umechanganya mambo mengi katika hoja yako ambayo kila moja linahitaji maelezo yanayojitegemea. Pana dalili ya hasira na jazba katika maneno yako. Haya maneno nakuandikia ni dibaji tu. Nitakurudia na maneno ya nyongeza...
  7. Highlander

    Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    Mi ninavyoona ambacho kimefanyika ni kitu cha kawaida tu. Na neno sahihi kadri nionavyo mie ni Moderation. Serikali inajaribu kuwa moderator. Hata katika uchumi wa soko huria moderation ni kitu muhimu sana. Kwa hurka ya binadamu ilivyo, ukosefu wa moderation utazaa bei za ajabu sana; kibaya...
  8. Highlander

    CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

    Uzoefu si ndo huo sasa ushaanza?! Kutakuwepo mikutano ya full council, kutakuwepo kamati mbalimbali, kutakuwepo ziara za mafunzo; taratibu watakuwa wanajifunza jinsi ya kuendesha halmashauri. Hawa madiwani wengine wamefanya kazi kama wajasiriamali muda mwingi wa maisha yao, wengine hii ndo mara...
  9. Highlander

    CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

    bado hujasema kitu hapa. Malengo sahihi ya viongozi wa nchi yawe nini hasa??! Kutetea ushindi wa chama? au kutetea maslahi ya wananchi! Ikibainika kuwa Mtu X anatetea maslahi ya wananchi zaidi kuliko Mtu Y kwa mtizamo wenye hekima, does it matter huyo mtu anatoka chama gani? Ukisema ndiyo wewe...
  10. Highlander

    CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

    Asante kwa taarifa yako. Ila sijafuta mtizamo na msimamo unaoambatana na ushabiki huo. Msimamo wangu unabaki palepale. Maslahi makuu ya taifa kwanza, chama baadae! Pengine unauliza je, hayo maslahi makuu yanajulikana kwa njia gani? jibu langu ni hili: yanajulikana kwa miafaka ya demokrasia...
  11. Highlander

    CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

    Ukitaka kujua mpumbavu anafananaje hesabu idadi ya matusi katika maneno yake.
  12. Highlander

    CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

    Hilo neno mamluki linatumika kipumbavu sana hilo. Unataka kusema hakuna uhalali wa mwanachama kusikiza hoja katika full council na kukubaliana na upande wa pili na hilo likawa ni sawa kisiasa? jifikirishe zaidi mkuu. bila watu kukubliana na hoja za upande wa pili Obama angeshindwa kupitisha...
  13. Highlander

    CHADEMA wamchagua Meya wa CCM licha ya wingi wao

    Hapo Babati kuna Wanachadema wenye akili saaaaaana! Bravo Makamanda wa Babati! Ni kitu chema kuangalia ni yupi hasa anayo nafasi ya kuleta maendeleo katika eneo husika. Vyama viwe ni nafasi tu ya kupanua idadi ya wale tunaowachagua; isiwe nafasi ya kulazimisha upumbavu eti kutetea chama...
  14. Highlander

    Lowassa, umeamua kuwa na busara?

    ha ha ha ha.... kama lipi ?!
  15. Highlander

    CUF Kanufaika na UKAWA Zaidi Kuliko CHADEMA, AU?

    Wadau mtanisamehe katika hili. Mbona kama CUF kapata manufaa zaidi katika UKAWA kuliko CHADEMA. Au hizi tarakimu zina makosa? Kwa hiyo inakuwaje hapo katika kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni. Anaunda CUF? au nani anaiunda hapo sasa...
  16. Highlander

    Lowassa, umeamua kuwa na busara?

    si uende sasa! na kwanini usubiri hadi hiyo oktober 30 mwakani. kachukue hiyo kadi ya ccm leo uone kama iko chama unahama kitazoofika. ninachojua hatupungukiwi ubunifu hata siku moja huku! vijikosa vipo ndiyo; kuna binadamu aliyekamilika?
  17. Highlander

    Tanzanians torch Malawian with petrol

    mwizi mwizi mwizi kaiba maarage. and you think there is no issue in this? mchambawima1
  18. Highlander

    Tanzanians torch Malawian with petrol

    At least you seem to understand. We need to hear the other side of the story for sure....
Back
Top Bottom