Search results

  1. YUSHIN

    Naweza pata mkopo bank kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati?

    Wadau hivi inawezekana kupata mkopo kwenye mabenki esp. NMB na CRDB kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati? ila hiyo nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa na kina offer/leseni ya kiwanja. Msaada kwa wenye ufahamu
  2. YUSHIN

    Naomba ushauri wako

    Mimi ni muhitimu wa shahada ya chuo kikuu toka 2012, nimeomba kazi kwenye taasisi na makampuni mbali mbali nikakosa, nikaamua kurudi kijijini kwetu Mpitimbi wilaya ya songea mkoani Ruvuma na kuanza kulima mahindi na kuyauza kwa takribani miaka miwili nashukuru Mungu katika kilimo nimepata faida...
  3. YUSHIN

    Msaada kwa aliyegradute PGDE Open University of Tanzania

    Kwa yeyote yule aliyegraduate PGDE Open university of Tanzania naomba anisaidie jinsi ya kuandika project au guidelines za kuandaa project coz hawa jamaa huwa hawatoi chochote wanasema tubuni title then tuandike tutakavyojua.
  4. YUSHIN

    Msaada kwa aliyegradute PGDE Openi University of Tanzania

    Kwa yeyote yule aliyegraduate PGDE Open university of Tanzania naomba anisaidie jinsi ya kuandika project au guidelines za kuandaa project coz hawa jamaa huwa hawatoi chochote wanasema tubuni title then tuandike tutakavyojua.
  5. YUSHIN

    Msaada wanaosoma kuwa walimu wa economics au business studies

    Wadau naomba msaada kwa mwenye softcopy au hardcopy za madesa ya teaching methods of economics and business au mwenye kitabu hiki (Kerich, W. (1990). Educational Communication and Technology: Economics Methods: Nairobi, University of Nairobi)
  6. YUSHIN

    Natarajia kujiunga out mwaka huu pgde-distance

    wadau naomba msaada kwa yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya kupata materials/madesa ya PGDE maana ntasoma kwa njia ya distance.
  7. YUSHIN

    Natarajia kujiunga out mwaka huu pgde-distance

    Msaada kwa yeyote anayejua au anayeweza kunijulisha kuhusu ni jinsi gani nawezapata materials/madesa kwa kozi ya Postigraduate Diploma ya Education, maana ntasoma kwa njia ya distance.
Back
Top Bottom