Search results

  1. YUSHIN

    Naweza pata mkopo bank kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati?

    Wadau hivi inawezekana kupata mkopo kwenye mabenki esp. NMB na CRDB kwa dhamana ya nyumba isiyo na hati? ila hiyo nyumba ipo kwenye kiwanja kilichopimwa na kina offer/leseni ya kiwanja. Msaada kwa wenye ufahamu
  2. YUSHIN

    Sekretarieti ya ajira katika utumishi wa umma yatangaza nafasi za kazi 222 Muhimbili.

    Jamani naomba kuuliza hivi kwenye ajira portal kwenye kipengere cha kuatachi vyeti vya taaluma, natakiwa kuatachi copies au original?
  3. YUSHIN

    Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Ungetusaidia kujua na hiyo dawa ya vidonge tungeshukuru sana mkuu, kuna rafiki yangu ana hilo tatizo hadi namuonea huruma
  4. YUSHIN

    Ahadi ya miezi miwili kuhusu ajira imeisha, tunasubiria chenga ya pili

    Mnamo tarehe 13 june 2016 ulitolewa walaka wa serikali wa kusitisha ajira, promotion na mambo mengine ili kubaini watumishi hewa na ujanja ujanja mwingine uliokua unafanyika katika sekta ya umma na kusababisha pesa nyingi ya umma kupoletelea mikononi mwa watu wachache wasio waadilifu. JPM...
  5. YUSHIN

    Kati ya Dodoma na Chato, ni wapi panahitajika International airport ya haraka?

    Kupanga ni kuchagua, sisi tumepanga na kuchagua Kujenga kiwanja Chato na sio Dodoma... teh teh teh
  6. YUSHIN

    Msaada kwa anaifahamu vizuri coarse ya Economic planning and policy ya Mzumbe naomba unikuze.

    Iko poa sana, ila uwe unajua hesabu ipasavyo. Unakua mchumi uliyebobea kwenye Sera na mipango ajira zipo kibao cha msingi ni kupata GPA nzuri at least 3. 5
  7. YUSHIN

    Kikwete: Wanafunzi waliodahiliwa UDOM walistahili maana walikuwa na sifa zinazotakiwa

    Kama kuna mtu alimsikiliza Prof. Mkumbo juzi ijumaa kwenye kipindi cha kipima joto ITV hao wanafunzi hawana makosa hata kidogo, kosa liko kwa wale wenye mamlaka ya kudahilina njia waliyotumia kuwaondoa haikustahili kabisa. Wangepewa angalau muda hata wa wiki moja au mbili ndipo waondoke.
  8. YUSHIN

    Zifahamu aina za leseni kwa madereva

    Nina class D na A, ili kupata C1 ni lazima nikasomee tena?
  9. YUSHIN

    Naombeni ushauri kusomea HGL au diploma ya udaktari

    Kasome iyo diploma ya clinical officer hata kwa kujilazimisha coz saizi tunasoma ili tuajiriwe na si vinginevyo, uko hgl chenga tu utajilaumu baadae na wakati utakua umepita.
  10. YUSHIN

    Naweza kusoma Open University?

    Kama certificate yako ni ya mwaka mmoja na kuendelea, itabidi usome foundation kozini waka mmoja kisha ndio utajiunga na degree kozi
  11. YUSHIN

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    Uyo Gogodo ni msanii hafai kupewa nafasi ya kugombea ubunge cdm mkifanya hivyo mtaua chama kwa upande wa kyela, Mwamnyaki ndiye anayetufaa wanakyela juhudi zake tumeziona.
  12. YUSHIN

    Kamati tendaji CHADEMA Kyela yanunuliwa; Mwanyamaki, Gogodo, Mwalwange wamwaga mapesa

    Uyo Gogodo ni msanii hafai kupewa nafasi ya kugombea ubunge cdm mkifanya hivyo mtaua chama kwa upande wa kyela, Mwanyaki ndiye anayetufaa wanakyela juhudi zake tumeziona.
  13. YUSHIN

    Zitto Ashauri serikali ya Tanzania kusaidiana na Kenya dhidi Alshabab

    Awaambie ukoo wake ndio wakawapige hao alshabaab.
  14. YUSHIN

    Naomba kufahamishwa juu ya sifa za kudahiliwa na certificate ya Nursing

    Vyuo vya uchochoroni vipo wengi wamesoma iyo nersing one year course na kazi hawapati, kwa mambo ya nersing ni vema ukasoma chuo kinachotambulika ni vema zaidi kikawa cha serikali unakuwa na uhakika wa ajira.
  15. YUSHIN

    Nimepata vyeti vyangu

    Machungu ya kupitelewa vyeti nayajua nilishawahi potelewa na mm nashukuru Mungu nilivipata.Pole na hongera mkuu.
  16. YUSHIN

    Stephen Owawa ajipanga kugombea ubunge Rorya 2015

    Namkumbuka Steven Owawa na kundi lake wakina Silinde, Nassari, Odong na Adam ingawa Adam kasaliti harakati anambwelambwela na udiwani wa mahakama. Nina imani kubwa na huyu mtu hachoki kupambana tuliomkuta udsm tunamjua vyema wanarorya mpeni nafasi.
  17. YUSHIN

    Wahenga ni akina nani hawa?

    Kuuliza sio ujinga, Toka nimeanza kusoma darasa la kwanza mpaka namaliza elimu ya juu sijui wahenga ni akina nani, mara utasikia mtu akisema wahenga walisema asiyesikia la mkuu…, wahenga walisema mwenda pole... Na mimi naomba kujuzwa hivi wahenga ni akina nani?
Back
Top Bottom