Search results

  1. T

    Ripoti ya Mauaji ya Mwangosi yatoboa siri

    sasa iko wapi hiyo siri iliyotobolewa na kamati ya Nchimbi? hakuna jipya hapo mambo ni yaleyale yaliyotawala kwenye vyombo vya habari toka mwezi 2 sep 2012.
  2. T

    Ripoti ya Mauaji ya Mwangosi yatoboa siri

    sasa hiyo siri iliyotobolewa na kamati iko wapi? hakuna jipya hapo mambo ni yaleyale yaliyotawala kwenye vyombo vya habari toka mwezi 2 sep 2012.
  3. T

    Mwenyekiti TAHLISO anagombea ujumbe wa NEC-CCM

    anaitwa Paul Makonda na hagombei nafasi ya mjumbe wa NEC-CCM bali anagombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa UVCCM Taifa.
  4. T

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Zainabu Kukwega - Makete.
  5. T

    Lowassa aonja nguvu ya CHADEMA Tunduma

    Mkuu, CCM inaweza kufanya hivyo, lakini mtalazimika kuwaleta watu wenu kwa malori, pili mtawalipa posho, tatu mtawalazimisha kuzomea, yaani hawatazomea kwa moyo mmoja km ambavyo wanachama na wapenzi wa CDM wanavyofanya..
  6. T

    Jimbo Lingine la Chadema Hili hapa endapo wakiamua kulibeba kirahisi

    Jimbo gani? Njombe Kusini kwa Makinda? Njombe Magharibi kwa naibu waziri wa maji Gerson Lwenge? Au Njombe kaskazini kwa Deo Sanga a.k.a jah people?. Anyway kwa upande wa njombe kwa ujumla wake tunamtegemea mzee wetu Thomas Nyimbo. Hadi sasa amekwishafanya mambo makubwa hasa katika jimbo la...
  7. T

    Kama nikipewa nafasi ya kuwateulia watanzania rais nitamteua huyu hapa!

    Naunga mkono hoja, Zitto asingekuwa kigeugeu ningempa nafasi ya pili kutoka chadema kwa kigezo cha ushawishi na kuwaonyesha njia anaowaongoza, wapi pa kwenda.
  8. T

    JK ateua wakuu wa wilaya wapya

    Mkoa wa Iringa.
  9. T

    JK ateua wakuu wa wilaya wapya

    Ni kweli title zimeingiliana na kila nikijaribu kuedit haitaki kubadilika. Title halisi ni "jk ateua wakuu wa wilaya wapya". Labda mods wanisaidie mimi nimeshindwa.
  10. T

    JK ateua wakuu wa wilaya wapya

    Kuna tetesi kuwa jk ameteua wakuu wa wilaya wapya. Mmoja wa wateuliwa hao ambaye vilevile ni m/kiti wa UVCCM katika mkoa mmoja wapo wa nyanda za juu kusini, inasemekana ameanza kujigamba na kutishia watu kwa kupata cheo hicho kipya. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa mzee mmoja anbaye ni rafiki...
  11. T

    Chelsea sacks Andre Villas Boas

    Ule usemi kuwa "Coaches are hired to be fired" umetimia kwa kocha wa Chelsea Andres Villas Boas a.k.a AVB's baada ya kibarua chake kuota nyasi. Upo uwezekano mkubwa nafasi yake ikachukuliwa na kocha wa zamani wa Liverpool Rafael Benitez..
  12. T

    Yanga vs zamaleck

    Wadau ngapi ngapi? Dkk 90 zimekwisha?.
  13. T

    CCM kumecha!!

    it is the end of beginning!!
  14. T

    Mfumo mpya (tcu) wa udahili 2012/2013

    Asante kwa taarifa, pia imekaa vizuri.
  15. T

    CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

    USHAURI KWA MHE MSIGWA. 1. Jaribu kufanya siasa kidogo. Hii ninamaanisha kuwa, umekuwa ukiwaeleza wananchi wa iringa ukweli ulio wazi, jambo ambalo wamekujengea mtizamo hasi na wanajuta kwanini walikuchagua. Sababu kuu, ni kuwa umekuwa ukiwapa majibu kwa lugha ya ukali yenye maneno makali...
  16. T

    CHADEMA, Mbunge Msigwa wa Iringa atoa misaada kwa Hospitali Mpya

    nakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja, ila pia, Msigwa tafuteni namna ile stand ya daladala za kuelekea Ilala na Mkwawa pale MR haipaswi kuwepo pale, hadhi na sura ya manispaa inapotea. Tafuteni eneo jingine walau maeneo ya Stand kuu. Pili, madereva wa bodaboda wamekuwa wakilalamika kuwa...
  17. T

    Mabadiliko Katiba ya CCM Yamelenga Kumwengua Lowassa

    Binafsi nimefurahishwa na mabadiliko hayo, siyo tu kwa kuenguliwa Kwa Lowasa na wazee wastaafu, bali pia lile Ombwe la uongozi litaondoka na m/kiti sasa atafahamika kwa vitendo na nchi itatulia(bilieve me or not). Kwanza hawa wazee wastaafu 90% hawakupenda JK awe Rais mwaka 2005. Kutokana na...
  18. T

    wanaotaka kuja kusoma India

    samahani mkuu, mwaka wa masomo wa pre university (form 5 & 6 ya tz) unaanza lini.
  19. T

    Shule nzuri ya science A level.

    Asante, nitazingatia.
Back
Top Bottom