Search results

  1. G

    binti yangu anakula sabuni na mafuta ya kujipaka

    Jamani nisaidieni mwanangu wa miaka 7 anakula mafuta ya kujipaka na sabuni je ana tatizo GANI NISAIDIENI
  2. G

    natafuta mlezi na mwalimu wa watoto

    uta mwalimu kwa ajili ya kulea na kufundisha watoto kwenye kituo cha kulelea watoto kuanzia march 5. awe na uzoefu wa kulea watoto, awe na elimu ya malezi ya watoto, na awe na upendo kwa watoto.
  3. G

    afya

    Je huyo mama mwenye mtoto aliye muhimbili analalamika kuwa mtoto wake aliparalaizi alipochomwa sindano afanyiwe upasuaji je alisaini ile fomu ya makubaliano kabla ya operation kuwa anaruhusu mtoto wake apewe dawa ya usingizi na kufanyiwa operation?
Back
Top Bottom