Search results

  1. T

    Maisha bora kwa kila mtanzania aliweza Kikwete tu

    Huu mi mwaka wa nane hakuna increment kwa watumishi. JK miaka kumi ya utawala wake aliweka increment kwa kila mtumishi wa serikali. Achilia mbali kupandisha mishahara kwa kuwango cha juu kabisa. Ni vigumu kusema hili, lakini JK kwa uliyotenda kwa watumishi ni alama ambayo hakuna hata Rais...
  2. T

    Hongera Waziri wa Utumishi Simbachawene, ni kweli teuzi za rushwa zilikithiri

    Bila maneno mengi nakupongeza sana mheshimiwa Waziri George Simbachawene kwa kumulika hili. Nchi hii wapo wakuu wa idara mbalimbali na wasaidizi wao ambao wapo waliopo kwa faida ya Rushwa. Wapo walio toa pesa na wapo walio toa ngono hadi ndoa kuvunjika. Kwa agizo lako mheshimiwa najua wahusika...
  3. T

    Rais Samia ataleta siasa muafaka.Ni mtaalamu wa siasa ila wengi hawajui

    Nimefuatilia Sana nyendo za Rais Samia Suluhu Hasan,anajua siasa Sana Ila anajua namna ya kuwa mtulivu na anajua kuwasoma wapinzani ndani na nje ya chama chake,subirini muone
  4. T

    Lini Serikali hii sikivu itakamilisha ulipaji wa malimbikizo kwa wafanyakazi?

    Tangu awamu ya sita ilipo ingia madarakani wafanyakazi tulishuhudia baadhi yao wakianza kulipwa malimbikizo yao ya muda mrefu Sana,lakini baada ya muda mfupi tena Ni kama zoezi hili limekwama tena Mimi kama mfanyakazi naomba serikali ilipe malimbikizo ya wafanyakazi Hawa kwa sababu Kuna...
  5. T

    Uchaguzi 2020 Lushoto hajulikani nani atashinda 2020

    Mgombea ubunge jimbo la Lushoto kwa CHADEMA ana ushawishi mkubwa. Kwanza naomba ku-declare interest kwamba mimi ni mwanachama wa CCM. Kwa miaka nenda rudi jimbo letu la Lushoto limekuwa ngome kuu ya CCM lakini kwa mwaka huu hali si kama tulivyo zoea kwani huyu mgombea wa CHADEMA anayeitwa...
  6. T

    CCM inahujumiwa na TAKUKURU

    TAKUKURU inahujumu CCM,yupo mgombea ambaye anamwaga chapaa kwa kwenda mbele tena waziwazi,kwa kukaa kimya huko CCM imekwisha kabisa kwani wakimsimamisha huyo wapinzani wanao ushahidi wa kutosha na endapo CCM hawatamsimamisha wamekwisha. The only thing ni kumkamata hivi sasa na kumpeleka...
  7. T

    Prediction: Naona Mgombea kutoka CCM akitoka Zanzibar

    Kasi ya wagombea ndani ya CCM inaongezeka,sasa naona makundi ya wagombea kutoka CCM bara yatakufa automatically kwa sababu hii ni zamu ya Zanzibar,either Augustino Ramadhani or yule ambaye hajachukua bado,pole kwao 'teams'
  8. T

    Mdede twende kazi,Wape uhakika wana Kalenga

    Mimi ni mmoja wa wanakalenga,mwaka huu wa 2015 tuna hitaji uhakika wa kuyapata mabadiliko katika nyanja zote za maisha ya jamii ya Kalenga na siyo maisha ya matumaini tena.Uchaguzi mkuu wa mwaka huu tunahitaji mbunge wa Kalenga ambaye atakuwa na uhakika wa kuwapatia wana wa Kalenga mabadiliko ya...
  9. T

    Watanzania tunayo haki ya kuchagua mabadiliko 2015

    Tuungane wote kuyatafuta mabadiliko mwaka 2015,kwani kinyume chake umma utakata tamaa,sote tunajua umma ukikata tamaa ni athari gani itakayo tokea.Kwa kuwa enzi za ubinafsi kwa vyama vya siasa hususani wapinzani umemalizwa na UKAWA,basi tuungane na UKAWA kwa umoja na uthubutu kwa ajili ya kudai...
  10. T

    Tusubiri mtanange wa prof.Safari, namuogopa

    Hakika uwepo wa prof.Safari kama makamu wa mwenyekiti wa CHADEMA taifa nauogopa.Nauogopa kwa sababu kazi zake huwa anazifanya pasi na tamaa yake binafsi bali kwa ajili ya utu.UTU kwa sababu hufanya kwa ajili ya watu.Namwona prof huyu kama mtu aliyekuja kutimiza safari ya mabadiliko ya kweli hapa...
  11. T

    Masikitiko: Kwanini TANESCO wamekata umeme leo?

    Leo umeme umekatika tangu sa2.30 asubuhi,tulijiandaa kuangalia itv wakirusha matangazo ya moja kwa moja ya mkutano mkuu wa chadema.TUMEYAKOSA NA NIMASIKITIKO MAKUBWA.TUNAOMBA ONE DAY THIS MONTH CHAMA KIRUDIE KUTUONESHA TUKIO HILI MUHIMU.
  12. T

    Naiona athari ya katiba mlipuko

    Huku tukishuhudia machafuko na kupotea Amani ya taifa letu kutokana na upatikanaji wa katiba mlipuko.Nasema katiba mlipuko kwa sababu mwendelezo wa BMK ni kushindikana kwa maridhiano ya wananchi wa matabaka mbalimbali katika nchi hii.Siku zote huwa kuna athari kubwa endapo kundi moja lenye...
  13. T

    Hivi bora ni ipi kulipa wajumbe wa BMK au Wakulima wenye mazao makwao?

    Wana bodi nimeona nilete uzi huu baada ya kusikia na kuona channel ten kuwa kuna wakulima hawajanunuzwa mazao yao.Badala ya serikali kutenga pesa ya kununua tani 1,600 huko sumbawanga imetoa pesa ya kununua tani 600 tu.Je kuna haja ya bmk kulipwa au serikali iwaonee huruma wakulima?
  14. T

    Uchaguzi BAVICHA:Kamanda Kelvin Shemboko nakuomba ugombee uongozi

    Najua upo kwenye hili jamvi na utanielewa.Ni hivi,nimekuwa nikisikia na kusoma habari mbalimbali zinazo husu uchaguzi wa BAVICHA mwaka huu.Pamoja na majina mengi yanayo tajwa,bado naamini kwamba wewe kamanda Kelvin Shemboko unaweza kuongoza BAVICHA katika ngazi yoyote ile kwa kuwa unakijua chama...
  15. T

    TANESCO LUSHOTO NI BURE KABISA:Umeme unakatika na kurudi bila taarifa yoyote

    Pamoja na kwamba wananchi wa Lushoto wana roho,tabia na hulka za mnyama kondoo,TANESCO mumezidi kuwaonea hawa kondoo.Hivi sasa mnakata umeme bila tangazo lolote la tahadhali kwa kondoo hawa,mnarudisha umeme bila tahadhali yoyote kwa kondoo hawa.Kifupi mnawageuza hawa kondoo kadri...
  16. T

    Hii ni hatari kwa uhai wa CCM:Eti ushinde uchaguzi ni lazima uwe/uliwahi kuwa CHADEMA

    Huu ni ukweli,chadema ipo mpaka interior kabisa mwa nchi hii.Mfano mgombea wa Susaut alishinda kwa sababu ya chadema kisha akuarudi kundini.CHADEMA KWA NINI INAKUKUBALIKA VYUO VIKUU?
  17. T

    Mtazamo chanya:Wanaccm kuipinga Rasimu na Tume kunajenga upinzani Tanzani

    Ndugu wana Jf,napenda nitoe pongezi kwa wanaccm wote kwamba kitendo cha kuipinga rasimu na tume ya katiba waitakayo wananchi kunajenga upinzani hapa tanzania.Nasema haya kwa sababu tume ya katiba iliyo wasilisha report kwa rais na bmk ni tume ya kisheria iliyo undwa na kupitishwa na bjmt ambako...
  18. T

    Kalenga tunaikataa CCM 55% na tunamkataa Mgimwa kwa 70%,hatuna mchezo hata kidogo

    Hatuna mchezo,tulipumbazwa enzi zile,tulikuwa waoga enzi zile,tulijawa na hofu enzi zile,tulikuwa na mashaka enzi zile na tulikuwa wala rushwa enzi zile.Sasa tuna upendo,ujasiri na matumaini.Kazi ni moja tu,nayo ni kuipoteza ccm Kalenga kwa kichapo cha 55% na kumfunika Mgimwa kwa asilimia 70%...
  19. T

    Tetesi:Godfrey Mgimwa ana uraia wa nchi mbili,hii imekaaje?

    Nimepita mitaa ya stand kuu hapa Iringa mida hii na kusikia mabishano ya wadau wa siasa kwamba ndugu Godfrey Mgimwa,kipenzi cha wanaccm wa Kalenga ni raia wa kujiandikisha wa uingereza na pia ni raia wa kuzaliwa Tanzania.Je kama ni kweli hii imekaaje kwa mujibu wa sheria za Tanzania?na je kwa...
  20. T

    Ukigawa pesa Kalenga tunazila,tutakukubali mdomoni na kukukataa moyoni

    Ndugu wana Jf,leo tar 02.02.2014 hapa Kalenga kulifanyika shughuli mbalimbali za kichama ikiwemo kumsimika mlezi/kamanda wa chipukizi wa wilaya ya Iringa vijijini ndugu Jackson Kiswaga. Ndugu huyu kwa wasio jua ndiye mgombea mtarajiwa wa ubunge jimbo la Kalenga kupitia CCM.Leo amejikita zaidi...
Back
Top Bottom