Search results

  1. panadol

    Wabunge wa CHADEMA wailalamikia Operesheni Sangara

    Ni kweli ata mm nakumbuka kuanzia kwenye SACCOS ya kichaga mpaka kuwa chama cha kisiasa kimetoka mbali sana!
  2. panadol

    Wabunge wa CHADEMA wailalamikia Operesheni Sangara

    Mtagombana sana kipindi hiki kuelekea uchaguzi 2015 kinachowasumbua udini,ukabila na uroho wa madaraka haMna muda mrefu mnaparanganyika!
  3. panadol

    Marufuku walimu waliogoma kushiriki sensa - serikali!

    Safi sana ni vizuri walimu wakiachwa kwenye zoezi lote la sensa wawatumie graduates, form six na form four hao si wamegoma bwana waendelee tu na mgomo wao. Hivi jamani kiukweli graduates ambao hawana ajira hawawezi kufanya kazi ya sensa wakipewa semina ni ukweli uliowazi wanaweza tena sana...
  4. panadol

    Masalia wa Zitto Kabwe CHADEMA watajwa kuwa ni waanzilishi wa CHAUMMA

    kweli mkuu si unajua chadema ni chama kidogo sana kama kamati ya harusi au mazishi lakini kana makundi ya watu wenye ugomvi na uhasama mkubwa sana kutokana na udini na ukabila sasaivi ni usiku kukikucha tutajua kila kitu!
  5. panadol

    Makamu M/kiti BAVICHA-Taifa atikisa Mbeya..

    Mbeya huwa hatudanganyiki na kushawishika kushabikia watu kirahisi rahisi hivyo chadema huku mbeya mnajidanganya hamuwezi kufanikiwa watu wanajuta kumpa ubunge Sugu mbeya mjini imekuwa ya kihuni na fujo kila kukicha tunatamani uchaguzi ufike haraka tubadili huyu mbunge tunataka mbunge kama Dr...
  6. panadol

    Makamu M/kiti BAVICHA-Taifa atikisa Mbeya..

    Uwongo mtupu sisi watu wa mbeya huwa hatudanganyi
  7. panadol

    Makamu M/kiti BAVICHA-Taifa atikisa Mbeya..

    Serikali imeanza kilishughulikia suala hilo na maji yameanza kutoka vizuri kama awali maji yalikuwa hauyapatikani kwa wingi kama zamani kutokana na kuchakaa kwa miundombinu ya maji na baada ya m,da mfupi ujao hali itakuwa shwari mbeya mjini kote hilo amelihaidi raisi akiwa kwenye ziara yake...
  8. panadol

    Makamu M/kiti BAVICHA-Taifa atikisa Mbeya..

    Mleta maada acha uongo yani vijana wa chadema sijuhi mkoje hivyo viposho mnavyopewa vinawazuzua kweli kuja mitandaoni kuleta maneno ya uongo kila siku,watu wa mbeya hatudanganyiki wala hatushawishiki kwa hoja za kichochezi na kibaguzi nafikiri mleta maada huwajuhi watu wa mbeya vizuri huku watu...
  9. panadol

    Kama 'First Lady' ndiye huyu, Zitto sahau urais kabisa!

    Bila shaka wewe ni mmojawapo katika wale vijana wanaopewa posho kumchafua Mh Zitto kaeni mkijua mtazunguka uku na kule hamtafanikiwa kama hipo hipo tu hakuna wa kuzuia!
  10. panadol

    Kama 'First Lady' ndiye huyu, Zitto sahau urais kabisa!

    Siasa chafu zinatumika kiumchafua Mh Zito ,wanaomchafua hawako mbali ni wanachadema wenzake wakiongozwa na mbaya wake mkubwa ndani ya chadema lengo kufifisha nyota ya Mh Zito na kumtoa kwenye njia ya kugombea uraisi kiukweli si vizuri ata kidogo Mh Zito usilifumbie macho suala hili litolee...
  11. panadol

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Utakuwa umetumwa na mahasimu wa Mh Zito kisiasa ili kumkatisha tamaa la asha mdajidanganya sana na ata alipoutaka uenyekiti ndani ya chama mlimkwamisha hivyo hivyo, Mh Zito ameshapevuka kisiasa na anao uwezo mkubwa wa kuongoza nchi,mnapewa posho kuingia mitandaoni kusema jinga ni vigezo gani...
  12. panadol

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Utakuwa umetumwa na mahasimu wa Mh Zito kisiasa ili kumkatisha tamaa la asha mdajidanganya sana na ata alipoutaka uenyekiti ndani ya chama mlimkwamisha hivyo hivyo, Mh Zito ameshapevuka kisiasa na anao uwezo mkubwa wa kuongoza nchi,mnapewa posho kuingia mitandaoni kusema jinga ni vigezo gani...
  13. panadol

    Zitto: Sijahongwa, ni siasa za urais na hasira za posho!

    Ucjal mH Zito kaza buti endelea kusema ukweli hawa vijana wanaoshambulia humu mtandaoni wanatumika kisiasa ili kukukatisha tamaa wanatumwa na wale wasiopenda mafanikio yako ndani ya chadema,Posho at work!
  14. panadol

    Nyerere amtetea Zitto Kabwe.

    Kwani Mh Zito hana haki ya kugombea uraisi kupitia chadema au kwa sababu si mchaga na wala si mkristo? Tunajua vibaraka wa Mh Mbowe mtatumika sana kumpinga Mh Zito lakini ukweli utabaki pale pale Mh Zito anaonekana kuwa tishio kwa wachaga na wakristo wa chadema kwa sababu uwezo wa kuongoza anao...
  15. panadol

    Prof. Muhongo anafaa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania!

    Hilo ni jembe la chama cha Mapinduzi!
  16. panadol

    Zitto Kabwe kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA endapo....

    sasa unafikiri nani anafaa kuwa raisi na kwa vigezo gani?sema ili watu wapime kati yako na mimi nani pimbi!
  17. panadol

    Zitto Kabwe kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA endapo....

    Tunajua suala la Mh Zito kugombea uraisi kupitia chadema litapata upinzani mkali sana kwa kuwa Mh Zito si mkristo na si Mchaga,suala hili linapingwa sana na wachaga ndani ya chadema wanapinga tu bila kuangalia uwezo wa mtu ukabila na udini unaoisumbua chadema,Dr slaa pia hafahi kuwa mgombea wa...
  18. panadol

    Zitto Kabwe kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA endapo....

    Acha uwongo mchana kweupe Chadema haina vichwa vingi vya kugombea uraisi zaidi ya Mh Zito wewe unafikiri kuongoza ni kuropoka na kupiga makelele hao wengine wote waliobaki ni waropokaji hawana uwezo wa kuongoza,kama vio vingi ebu vitaje na utupe experiance zao za uongozi,Acha ushabiki usiokuwa...
  19. panadol

    kuitwa kazini Secretariat ya Ajira

    Tunaishukuru sana serikali kwa kuweza kuwapatia vijana wenzetu ajira na vijana wengine ambao bado hawajapata wasikate tamaa waendelee kuomba pindi nafasi zinapotangazwa mungu yupo atawasaidia nanyi mtapata ajira kwa wakati wake!
  20. panadol

    Idara ya Uhamiaji yawanyima Madaktari passport -BBC habari

    Ndiyo kazi yenu Chadema ya kushawishi na kuchochea fujo hapa nchini ili muingie madarakani lakini kaeni mkijua hamtafanikiwa kirahisi mmekosa utu kwa uroho wa madaraka!
Back
Top Bottom