Search results

  1. Dotto Athumani

    Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

    Daktari, umechagua jukwaa lisilo sahihi kuzungumzia msimamo wako, katika jukwaa hili kinachokubalika ni kauli ya aina yoyote inayounga mkono CHADEMA na kuiponda kwa namna yoyote CCM. Haijalishi uko sahihi kiasi gani ila utahudumiwa kwa maneno ya matusi na kejeli kila unapoonekana kwenda kinyume...
  2. Dotto Athumani

    FikraPevu: Waziri Chami ajibu mapigo sakata la TBS Bungeni

    Tunaambiwa kuwa Tatizo hapa ni "Mteuzi" ila mkubwa akikosea wadogo lazima wainuke haraka na kujitaja kuwa wao ndo waliokosea. Katiba mpya ianzie hapa, tumpunguze MAGUVU Rais yaani anajua kuteua lakini kutimua shida.
  3. Dotto Athumani

    Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

    Basi hapo unajisikia raha kweli kwasababu CCM imewekwa kikaangoni!!!
  4. Dotto Athumani

    Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

    Mtumie ujumbe huo na wahamasishe wengine katika jimbo lako wamtumie. Akipata meseje 1000 akili itamkaa sawa
  5. Dotto Athumani

    Watanzania wote tumsaidie ndugu Zitto na wabunge wengine kupata sahihi 70 za wabunge

    "Nikiwa kama mwakilishi wako wa Jimbo la........naunga mkono kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, nakutaka ufikishe sauti yangu kama mwakilishi wangu niliyekuchagua" Tuma ujumbe huu kwa Mbunge wako kumtaka atie saini ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu....tuache porojo vitendo vianze sasa!
  6. Dotto Athumani

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Hayo mengine simo ila hili la mstari mwekundu ndio msingi wa hoja nzima. Nakuunga mkono.
  7. Dotto Athumani

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Point unayo ila unaelekea kushindana na mapenzi binafsi ya watanzania. Mi nakuunga mkono kuwa serikali sio kampuni ambayo imetenga fedha maalum kwa ajili ya Public Relation (Social responsibility). ukiona fedha zimetoka ujue bajeti ya wizara fulani imepewa pesa nyingi kupita kiasi, tunajua Ikulu...
  8. Dotto Athumani

    Mtei amefilisika kimawazo - Zitto

    Hii ndo taswira ndani ya CDM, viongozi wanabusara kuliko wanaowaongoza. Ila humu JF ukitoa maoni yako dhidi ya CDM au kiongozi wao basi wewe hautakuwa salama kwa matusi na kashfa. Ndo maana mjadala huu utamalizwa kwa droo si zitto wala Mtei atakaesakamwa.
  9. Dotto Athumani

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Tusiwe na tamaduni ya kuogopa maoni ya watu hata kama yanaudhi, ilimradi amebainisha kuwa ni maoni yake binafsi basi tumheshimu na wapo watakaokubaliana nao kama tusiokubaliana nae. usishabikie hoja ya mtu kisa ni ndugu yako au mnatoka kijiji kimoja...angalia uzito wa hoja na kama huoni mashiko...
  10. Dotto Athumani

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    My take: Baada ya kulumbana na kuvurumishiana maneno ya kashfa sasa naomba kuufunga rasmi mjadala huu (kwa upande wangu) kama ifuatavyo; 1. Michango yenu nimeithamini sana kwa kuwa ujumbe wangu umewafikia zaidi ya watu 3000 waliopita kuisoma thread hii. Natambua kuwa wengi mmeguswa kwasababu...
  11. Dotto Athumani

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Sio lengo langu Mkuu, lakini nalazimika kuwaonyesha kuwa sio wote tunafurahishwa na mfumo wao wa hamasa. Huwezi kumuona kila anaetofautiana na wewe kuwa adui yako, hiyo sio siasa anayoifanya Mnyika, sio siasa anayoifanya Zitto na wala sio siasa anayoifanya Mbowe....sasa kama kweli wanaaamini...
  12. Dotto Athumani

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Ukija kwa upanga na mimi nitakutoa kwa upanga...that's my cue for this discuss maana najua watu wa aina gani wanachangia hapa na lengo lao ni lipi...asilimia kubwa hawataki kujadilia hoja yangu ila wamechagua vitisho, kashfa na upotoshaji. Hii ni sababu kubwa na mimi nashirikiana nao kwenye...
  13. Dotto Athumani

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Unahisi jamvi hili ni lako peke yako, ndo hivyo hata sisi tusiokuwa na akili tumekaribishwa usipoteza nguvu yako kwenye ukurasa huu nenda katafute wenye kuendana na ubongo wako...Unajipendekeza eeh?
  14. Dotto Athumani

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Kama ulivyokuja kimya kimya na uondoke hivyo hivyo. We nani hadi ujifanye unaijua tasnia ya habari?
  15. Dotto Athumani

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Sasa kisa hukijui unakimbilia kuchangia nikueleweje ndugu mbona "MNAPENDA VIBAYA NYIE WATU"
  16. Dotto Athumani

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    We mwenyewe una sifa za kupima uwezo wa mtu kweli hebu jitazame kabla hujazungumza nyuma ya pazia. Wanaume wanaojiamini hawajifichi toka nje babu usiombe maji ukiwa shimoni.
  17. Dotto Athumani

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Hapa ndo tunaposhindwa kufikia tamati ya mjadala huu, hakuna anaemaliza hoja bila tusi....mtu anaanza vizuri afu mwisho anacheza mabreka kama haya. Anyway, kwa kuwa jukwaa hili linatajwa kuwa la watu makini nataka kuamini nimeeleweka na kinachoendelea sasa hizi ni watu kufikisha ujumbe wa...
  18. Dotto Athumani

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Hovyo kabisa, haya uk nchi gani inayozuia waandishi wa habari wasifanye kazi yao kwa kuwa wanapendelea serikali? U r full of shit brother, u know absolute nothing about the world of media...Be quite and go get shower...U stink
Back
Top Bottom