Search results

  1. K

    Polisi wanne mbaroni kwa mauaji ya raia Songea:IGP MWEMA APELEKA KIKOSI CHA UCHUNGUZI

    chagonja anisamehe tu ila ameonesha uwezo mdogo sana wa matumizi ya akili anaenda kuchunguza wkt tayari ana NEGATIVE MENTAL ATTITUDE. jaman ivi nyie kina chagonja mnadhan hii ni nchi yenu pekeenu. just wait our time wil come
  2. K

    SONGEA: Maandamano yameanza upyaaa, mabomu yanarindima!

    ni kawaida kwa askari wa kibongo kuyapa kipaumbele matumizi ya nguvu kuliko akili ktk kusolv issues. ili ni tatizo kubwa na kamwe hatutawavumilia polisi kwa uzembe na ubabe wao wa kitoto. KUTUPIGA RISASI TUPIGEN ILA HAKI YETU TUPENI
  3. K

    Dr Mwakyembe hapaswi kuhurumiwa, amevuna alichokipanda

    domokaya anatumia vbaya uhuru wa kuongea nna mashaka kama ametumia ubongo kufikiri. ameonyesha uzembe wa hali ya juu ktk kujaji issues hadithi yake haina mashiko nashauri afikiri kabla ya kutoa mada
  4. K

    Mke na mama mkwewe

    hapana ilo c tatizo ila ni changamoto tu! ebu sister isome hii "greatness in life is measured by how well an individual respond to the happening in life that appears 2b totally UNFAIR, UNDESERVED AND CHALLENGABLE.
  5. K

    Mke na mama mkwewe

    tatizo lipo kote kwa mtoto na mkwe. lkn pia ni vigumu kuuchukulia ukimwi kama malaria (ni ngumu kumchulia kama mamako au mtoto wako).
  6. K

    Please!, Naomba nitafutie mchumba wa kunioa.

    huyo dada anaonekana ana shida kidogo ktk mindset yake anahitaji ushauri wa kisaikolojia. kwani kwa uelewa wa kawaida ni kuleta utani na maisha kwa kutaka kuchaguliwa mchumba. MKATABA WA NDOA C MKATABA WA KUUZIANA NYANYA!
  7. K

    Did Mwalimu die a natural death?

    death itself is natural. there is no artificial death so am confused with ua question bcoz the cause of death can not b natural but not death. so mwl died a natural death!
Back
Top Bottom