Search results

  1. G

    Msambwanda, sura na shepu kumbe siyo kigezo cha kuolewa

    Kwahyo unataka kutuambia umeoa mke mbaya kuliko wasichana wengine...angekua mbaya usingemuoa...huyo unaemuoa ndiye msichana mzuri kuliko wote
  2. G

    Boys talk: Vitu kumi ambavyo wanawake wanapenda kusikia kutoka kwa wapenzi wao

    Hawaeleweki kwa kweli....yeye aliye mcha Mungu tu ndiye akufaaye pasipo masharti yoyote
  3. G

    Kupotea 'kutekwa' kwa Nondo: Picha iliyotengenezwa kishamba

    Na wewe kwaakili yako timamu unaweza ukajiteka...? Unajitekaje yani kwa mfano.... Tusiwe washabiki wa siasa hewa....
  4. G

    Stori: Jinsi ya Kumtongoza Mwanamke

    Aisee,khongera kwa mtazamo wako,wamekuelewa
  5. G

    Wanaume hivi mpoje nyie!!!!!mnatuudhi sana

    Duuuh,,, hatar sana. Ila Wamekuelewa nadhani
  6. G

    Why do women always fall in a wrong choice?

    Bas wacha waendelee kulizwa,tusisikie malalamiko hapo.
  7. G

    Huwa mnakumbuka nini enyi wanaume

    Sawa,tumekuelewa
  8. G

    Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

    Kumbe una mume tayar, sasa unatafuta yupi
  9. G

    Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

    Mmh,alikuwa kwenye mahusiano huyo, vinginevyo kuna kitu kilisomeka hapo,
  10. G

    Mwanadada upo tayari kuwa na mwanaume mwenye uchumi na elimu duni?

    Mmmmmh.....aaaya mama.lkn wenye uchumi mkubwa mnaowaona wametoka mbali aisee....kama mnataka urajiri wa mauzauza wa miez tu kufikia ndoto, sawa endeleeni na midharau yenu.
  11. G

    Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

    Ila nichangamoto, lazima tukir hilo.
  12. G

    Chanzo cha uhaba wa wanaume waoaji

    Sio rahs sana kuwaelewa wanawake wa siku hz wanataka nn....tuwaachie tu wenyewe ndo wanajielewa....maana utamfanyia kila kitu, utamjali yeye na familia yake bdae anakudharau, anakwambia napenda six pack, mara cpend kibamia kinaishia juu....hahahahaaa.....mwisho wa siku mmmmh adi unamuonea...
  13. G

    Mataabiko ya kimaisha anayopata msaliti baada ya usaliti! Mtendwa

    Vp mkuu naona unaguna, wap pana waswas
  14. G

    Wanawake ambao hawajaolewa nchini China waitwa makombo

    Tena iheshimiwe na watu wooote
  15. G

    Mataabiko ya kimaisha anayopata msaliti baada ya usaliti! Mtendwa

    Yap, kama ni Mungu ndiye amekusudia wewe kutokua na huyo mtu kwa sababu anazozijua Mungu pekee, bas kila mtu atakuja kumpata mwenzake na hakutakua na sababu tena ya kumkumbuka x wako. Ni imani yangu tu jamani
Back
Top Bottom