Dada yangu we bado mdogo sana utaolewa tu, kuna watu wanaolewa mpaka na mika 40, ni kutulia na kujiheshimu na watu wakijua kua uko desparate na kuolewa watakufanyia uhuni. Omba Mungu wa kwako yupo mahali ni kutulia na kujiheshimu
Ni shetani anakuwa amewakalia kooni ni kuwafanya wajione hawana thamani tena ya kuishi kwa kitu walichotendewa. Na pia ni kutokukubali hali iliyokutokea na kubaki kujiuliza kwanini isiyo na jibu.
Yaani mtu akiondoka kwenye maisha yako shukuru Mungu, maana huwezi jua ungemuoa ndo maumivu yangekuwa makubwa. Wa kwako yupo Muombe Mungu tu , when loves end life has to continue
unajua kufanya interview kunahitaji technique, mara nyingi maswali ya mwanzo yanakuwa magumu halafu ya mwisho marahisi, binafsi nilimaliza mpaka nikawa narudia, mi hufanya hivi
nasoma maswali ya section husika, naangalia nnayoweza nisiyoweza naacha mpaka secion ya mwisho,
halfu nabaki na muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.