Search results

  1. H

    Sakata la Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu, Rais Kikwete aingilia kati

    Ndugu yangu Money Stunna, nimesoma vizuri storty nzima lakini sijaona mahali ambapo huyo mume amedhibitisha kuwa Mwingira ndiye alizaa naye ila mawazo ya mwandishi tu, pili mwandishi amekaa kishabiki zaidi na sio kweli kama shida ni kumusaidia mlalamikikaji mawazo yangu au nionavyo mie nikuwa...
  2. H

    Mtume/Nabii Josephath Mwingira kufunga ndoa kwa gharama ya Mil200

    kama na lako linauzika weka sokoni mzee
  3. H

    Mtume/Nabii Josephath Mwingira kufunga ndoa kwa gharama ya Mil200

    Flora njia pekee ya kukamata mshirikina ni maombi hivyo kama hilo umeliona anza maombi ili utupe ushuhuda mbeleni, na aisifiaye mvua ....................., tafuta msaada wa kisheria kama ulitapeliwa na kwa upande wa Uchawi, ushirikina n.k Piga maombi mungu akuongoze katika vita yako hiyo
  4. H

    Mtume/Nabii Josephath Mwingira kufunga ndoa kwa gharama ya Mil200

    Ntale big up kama tungekuwa na watu kama wewe 2 tu angalau kila mkoa basi nchi yetu ingekuwa mfano wa kuigwa na vijana wetu wangepata mahali pa kujifunza. Kuna mazuzu ambao wanaumia kwa pesa za wengine, kutafuta watafute wao, kutoa au kutumia watumie wao, jirani anaumia eti siku hizi wanatoa...
  5. H

    Utaratibu wa kuapisha viongozi sasa nimeanza kumwelewa kingungue ngombare mwiru

    Habari wanjf Tumeshuhudia viongozi mara wanapochaguliwa au tunapowachangua waingie madarakani kutuongoza mara zote wanaapishwa kwa kushika vitabu vitakatifu, maana yake ni kwamba anahaidi kutenda sawa sawa kama ilivyoelekezwa na kitabu anachokuwa ameshika. na mwisho wa statement yake...
  6. H

    Waislam:Tumpe pole na kumwombea sheikh Ponda huku Tukifungua Ukurasa Mpya Wa Hatima Yetu

    <SPAN style="COLOR: #0000ff ">BAKWATA NA SERIKALI NDIYO WACHOCHEZ WA HAYA YOTE,BAKWATA NA SERIKALI NDIYO WAANZILISHI WA CHOKO CHOKO HIZI ZOTE NA SISI KAMA WAISLAM HATUTOKAA NA KUENDELEA KUONA UNYONGE HUU UKIENDELEA.<BR><BR>Waislam tutumie sasa wakati huu kufungua ukurasa mpya wa kukiendea kile...
  7. H

    Mtoto wa miezi minne atupwa akiwa hai maeneo ya Bamaga Mwenge...!!

    Hapo ndipo ninapomshangaa mungu wetu kuwapa watoto wale ambao hawawataki wao wanapenda sex tu lakini matokeo ya sex hawayataki na kuwanyima wale wanaotenda tendo la ndoa kwa ajili ya starehe na pia wakitegemea mungu awabariki kupitia tendo hilo . HATABAKI kuwa MUNGU TU siku zote na anazibitisha...
  8. H

    Kwa wale mnaochinjwa kuku huko kwenye masoko

    Aise mdau umenikumbusha issue kama hiyo ilishawahi nitokea pale mwenge, nilichagua kuku watatu nikampa jamaa akanichinjie mie nikapewa kiti nipumzikie wakati na subiri, jamaa akaingia ndani kwenye mgahawa wao pale pale baada ya dakika kama 20 hivi jamaa akatoka na kuku wangu watatu wamechinjwa...
  9. H

    Wanafunzi wa Manzese Secondary wanaanguka chini na kuzimia

    Kweli bana nimeona kwenye luninga hapa, wanafunzi wanasema mwenye kiwanja jirani na shule alikuwa napandisha mashetani ndipo na wanafunzi wakaanza kupandisha darasani na wengine kuanza kukimbia ovyo. pepo mchafu huyo chanzo ITV
  10. H

    Gorofa linawaka moto Kariakoo/Msimbazi

    una uhakika gani kama umedanganywa
  11. H

    Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

    sasa amekosea nini tupe habari kesho mtalipua kanisa gani ya kwenu amsemi mnaishia kuingia kwenye makanisa kusikia watasema nini mbona mnayopanga misikitini usiku wa manane huyaweki hapa javini wewe ni mchonganishi unataka wakristo wagombane wenyewe kwa wenyewe ili mpate kufanya mambo yenu...
  12. H

    Mwingira wa EFATHA awaita Viongozi ya Serikali ni washenzi

    ww ndio mshenzi kabisa kuliko huyo mchungaji maana wakati wa ibada ulitoka kutuma meseji nn? unajua maana ya ibada kweli? pia aliposema kuna spy ndio wewe ndio maana imekuuma hata kutushirikisha sisi ushenzi wenu maana mchunguji anaandaa neno kwa ajili ya kondoo zake ni wale tu walioenda...
  13. H

    Kutoka facebook fanpage ya Jumuia ya Uamsho

    Ndungu zanguni, waswahili walisema adui yako muombee njaa lkn naona hawa hutakiwi kuwaombe njaa maana kinachowasumbua tayari ni njaa na umaskini wa rohoni. Maana kama mtu angekuwa tajiri angalau akaweza kumiliki kuku wa kienyeji basi angekuwa na uchungu na kuku wake hata asingetamani kuanzisha...
  14. H

    ITV kuomba radhi kwa kuonyesha habari ya Mama aliyenyangwanya Mtoto wake ni haki?

    Kama mzaramo usingeteta hujinga mzaramo gani hanyonyeshi farakabisa yawezekana pia ni mfanyakazi kwa mhindi unatumiwa ushapew vihela unachangia ujinga nyamanfu weee nenda ngomani unajipya mdundiko huo
  15. H

    ITV kuomba radhi kwa kuonyesha habari ya Mama aliyenyangwanya Mtoto wake ni haki?

    Itnojec wewe ni mshenzi Kabisa tena nahisi ww ndiye baba mtoto unawezaje kusifia mtoto alelewe na shanghai yake Hali mama Yale you hai? Je wewe Mbona mama yako akumchia shanghai yako akunyonyeshe? Umesahau Kuwa upendo wa mtoto kwa mama yake sehemu Kubwa in ktk kunyonyeshe. Kama uliona shangazi...
  16. H

    Nabii na Mtume Josephat Mwingira awachana live viongozi.

    BANIANI MBAYA KIATU CHAKE DAWA AISEEE, DUWA LA KUKU HALIMPATI......................... TZ inasifika kwa ushikirikina na sio maendeleo vp nawe ni mmoja wapo na elimu uliyonayo pole mawazo mgando
  17. H

    Nabii na Mtume Josephat Mwingira awachana live viongozi.

    King Kong III unachekesha sana hata nashindwa kukupatia jina linaloendana nawewe eti, una jema umekaa kiuchochezi zaidi.mie pia nimebahatika kusikiliza kipindi hicho live sikuona wapi amekose, ila wewe mjinga ambae dume likija kwako na kuomba kutembea na mkeo utamruhusu eti kwasababu ya uogo...
  18. H

    Ujue ukweli kati ya mwingira na afro plus

    kulingana na vyanzo vya habari vimesema huo ni mpango wa mwenye kiwanda cha Afro Plus ametengeneza lakini ukweli sio kama hawa jamaa walifanya fujo. maana anachotaka baada ya kuona kuwa kesi inamshinda ametafuta namna ya kumfirisi Mwingira akaona achome moto kiwanda ili ionekane kama efatha ndio...
Back
Top Bottom