Leo saa nne na nusu usiku(saa za Tanzania),etv ya afrika kusini itaonyesha,kuongelea na kuhoji baadhi ya watu mbalimbali kuhusu mauaji ya Albino nchini kwetu.kipindi kitaendeshwa na mtangazaji wa tv hiyo Debora P kwenye kipindi chao kiitwacho 3rd degree.Inavyoonekana wao wanasema mauaji ya hawa...
Arkansas State offering Mandarin, Swahili classes
Associated Press - June 16, 2008 10:24 AM ET
JONESBORO, Ark. (AP) - Students at Arkansas State University will be able to enroll in accelerated classes this fall in Mandarin Chinese and Swahili.
There is increasing demand among U.S...
Chinese South Africans are now black
18 June 2008, 19:27
A court on Wednesday issued a landmark ruling classifying Chinese South Africans as black, making them eligible for benefits for those discriminated against under the former apartheid regime.
The ruling from the Pretoria high...
habari nilizozipata mdahuu nikuwa Carlos ALberto Pereira kaachia ngazi kuifunza timu ya taifa la Sauzi
Sababu ya kuachia anasema mke wake ni mgonjwa hivyo angependa kuwa nae karibu.
Hatahivyo wachambuzi wa mabo wanahisi kaachia kwasababu haoni kama atapata mafanikio makubwa 2010,hii ni...
Mniwie radhi kama habari hii mmekwisha ipata.
Tanzania faces $27m IPTL lawsuit in the US
By WILFRED EDWIN
http://www.nationmedia.com/eastafrican/current/News/news031120078.htm
A $27 million breach of contract suit filed by the Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) against the...
Ambassador of Tanzania delivers speech at the University
CHIMENE MONTGOMERY
Issue date: 11/28/07 Section: News
The Lubin School of Business hosted Ambassador Augustine Philip Mahiga of the United Republic of Tanzania and Minister Modest Mero from Tanzania's Permanent Mission to the...
Wakili mtoto wa Karume azusha tafrani kortini
Tanzania Daima,22.11.07
na Happiness Katabazi na Nuru Yanga
WAKILI wa Kujitegemea, Fatma Karume, jana alitoa maneno makali dhidi ya Hakimu Addy Lyamuya wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam hali iliyosababisha hakimu huyo...
Bila shaka hii ni hatua nzuri kama tutafanikiwa kuzipata.
The Monitor (Kampala)
18 November 2007
Posted to the web 20 November 2007
Zephania Ubwani
TANZANIA is likely to win a $698 million grant from the United States through the Millenium Challenge Corporation as the country has...
Raia mwema
Nchem Nchicheme? Novemba 14, 2007
KWAMBA kuna daktari mmoja au wawili, au watatu wamefanya uzembe wa hatari kwa maisha ya mgonjwa, hakuna mjadala. Hakika, uzembe uliosababisha mgonjwa wa mguu kufumuliwa kichwa ungetakiwa uwe simulizi ya kuchekesha na kuchangamsha baraza...
Erasto Mpemba (kushoto) na Profesa Osborne, siku ya kutoa tuzo kwa mshindi aliyeweza kutoa sababu za maji ya moto kuganda upesi na kuwa barafu kuliko ya baridi.
Nimeona ni vizuri tujikumbushe kidogo kuhusu Mtanzania huyu dadis aliyefungua fikra za wanataaluma wa sayansi. Ni ndefu lakini...
Hapa naendelea kupata wasiwasi wa upotoshwaji wa lugha yetu tukuka
Story Created: Oct 30, 2007
Story Updated: Oct 31, 2007
Project Ujima
Shelley Walcott
'Ujima' is a Swahili word that means 'Making Things Right'. That's just what a city program called 'Project Ujima' is trying to...
Je huu uchukuliwe kama msimamo rasmi wa mheshimiwa.
Mwaandishi wa makala hii ni mwandishi wake
Tanzania Daima
Saidi Nguba
KWA mara nyingine tena, gazeti la MwanaHalisi, limechapisha habari na makala kuhusu Waziri Mkuu Edward Lowassa.
Safari hii ni katika toleo Na. O68 la Jumatano Oktoba...
Sasa naanza kuamini wakati wowote wananchi wanaweza kuanza kuwashughulikia mafisad.
Hebu angalia vijana hawa shupavu wealivyowashughulikia mafisad wao.
Ama kweli Tanzania bila mafisad inawezekana
Source Mwnanchi 31.10.07
Na Lilian Lugakingira, Bukoba
WAJUMBE watano wa bodi ya...
Haya sasa nafasi hizo zimefunguliwa ushindwe mwenyewe
Harvard University announced over the weekend that from now on
undergraduate students from low-income families will pay no tuition. In
making the announcement, Harvard's president Lawrence H. Summers said, "When only 10 percent of the...
Speed ya ukuaji wa kiswahili mbele ya mataifa inatisha na nafikiri tuanze harakati za hakia miliki maana kitakuja kubinafsishwa tusipoamka mapema.
Arpan Sharma speaks French with flair, rattles off German with ease and can hold a lengthy conversation in Swahili. His Spanish is impressive as...
Ni ndefu lakini nzuri kusoma.Kama sikosei idadi ya Wahdzabe inakadiriwa kuwa kati ya 1000 mpaka 1500,na siyo 400 kama huyu muandishi alivodokeza.
Nakumbuka Dr.Slaa aliwahi kuuliza swali bungeni akiuliza mpango mathubuti wa kulinda haki za Wahdzabe kwenye zoezi la ubunafsishaji wa maeneo...
Zipo habari kuwa mmoja wa viongozi wa upinzani anaewania urais kenya yupo Sauzi ya Afrika akitafuta saport kwa wakenya waishio nchini humo.Kiongozi huyo ametajwa kwa jina moja la Laila,sijui kama ni Odinga au Oginga.Waishio humo Afrika ya sauzi,tupe info.Tanzania kuna cha kujifunza kutoka kwa...
Ni kweli kwamba kocha wa timu ya taifa ya tanzania ya mpira wa miguu analipwa hela nyingi kuliko makocha wengine wote afrika?
Naomba mwenye info atumwagie hapa jf
Wakati napitapita nimeona habari hii nikahisi tunaweza kunufaika nao kwa kujua maendeleo ya lugha yetu ughaibuni.Fatilia hapa chini
Doctors lost in translation use assistance.
By Mary Pickels
TRIBUNE-REVIEW
Sunday, October 21, 2007
Social worker Sue Mull still remembers the Mexican...
Si vibaya tukajipongeza kwa hizi hatua chache
THISDAY REPORTER
Sunday, October 21 2007
Dar es Salaam
TANZANIA has jumped 33 positions in new rankings measuring the level of press freedom in 169 countries around the world and published this week by Reporters Without Borders.
According to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.