Search results

  1. M

    Zitto awa makini au apata kigugumizi?

    naona kama anatikisa kiberiti tu.mwelekeo ni kugombea kwao
  2. M

    CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

    hapo sijaona udharura wowote,angeitisha kikao kesho cha kwanza na cha pili keshokutwa hapo ningekuwa na utayari wa kusikiliza kitakachojiri,lakini mda wote huo alowapa,bila shaka wajumbe/au walengwa wamekwishapanga mada tayari. kikao kishakwisha kabla ya kuanza. tafakari
  3. M

    Richmond: Sitta anahusika pia?

    sijui kiswahili kizuri cha cheap journalism kinaitwaje
  4. M

    Katibu mkuu wa Wizara ya Afya lawamani (Blandina Nyoni)

    Aina ya utaalamu aliyonayo sawe ilijulikana kama Barefoot doctors,ilikuwa maarufu saana nchini china miaka ya 79.Kwa tanzania kada hii ilianzishwa kuhudumia vijijini na ndo maana hawasajiliwi na medical concil of Tanganyika,sababu hawana viwango vya daktari.Asistant medical officer akitaka kuwa...
  5. M

    eTV ya Afrika kusini kuonyesha mauaji ya Albino tanzania leo saa nne na nusu usiku

    Leo saa nne na nusu usiku(saa za Tanzania),etv ya afrika kusini itaonyesha,kuongelea na kuhoji baadhi ya watu mbalimbali kuhusu mauaji ya Albino nchini kwetu.kipindi kitaendeshwa na mtangazaji wa tv hiyo Debora P kwenye kipindi chao kiitwacho 3rd degree.Inavyoonekana wao wanasema mauaji ya hawa...
  6. M

    Kilichotokea ANC, hakiwezi kutokea CCM - Msekwa

    hamna marefu yasiyo na ncha. Rashidi alisema,yanamwisho(kitabu cha Kuli) Kama kazomewa busanda,tena na Tingatinga,basi asiwe na imani mgando,abadilike.Lolote laweza kutokea na kumeguka ni uwezekano mmojawapo
  7. M

    Mengi Vs Masha tuhuma, vitisho na matokeo!

    kama si masha ni adam malima.adam anahusishwa na mikakati mingi ya kummaliza mengi kwa kutumia propaganda za siasa na dini
  8. M

    Kifo cha Mhe. Chacha Wangwe na uchunguzi wake

    Polen kwa familia,jamaa zake wa karibu pamoja na Taifa kwa ujumla. Uchunguzi wa kifo cha CW ni muhimu ili kuondoa utata unaoweza kujitokeza,lengo lisiwe kutafta mchawi,bali kujua chanzo na kupata ushauri wa kuzuia vifo vya aina hiyo utasaidia. Wapinzani ntawashangaa wakikaa kimya maana...
  9. M

    Rostam aibukia kanisani!

    Huyu bwana atatafakari saana mwaka huu maana naona ninakuwa siku ya kufa nyani.alikfikiri kapumua oxgyen kumbe ndo kwanza kavuta kambondoixide/na carbonmonoxide ya kutosha.Akitafakari vibaya anaweza kulazwa kwa mapresha na kisukari Hawa KKT tamko sawa tumewasikia je,na vijisent vyake...
  10. M

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Isaac Mruma, Caracas, Venezuela Daily News; Saturday,July 05, 2008 @00:03 Rais Hugo Chavez wa Venezuela amezisifu sera za hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere na kusema anazitumia katika kuendeleza ushirikiano miongoni mwa nchi zinazoendelea. Chavez aliwaambia mawaziri wa habari...
  11. M

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Sasa huyu mbunge anafikiri kuwa bila Tanganyika,Tanzania ingekuwapo?Au kwa upeo wake anafikiri Zanzibar ni muhimu kuliko Bara?Kama yeye haelewi mambo na maana ya muungano,akina yakhe wenzake huko jimboni kwake si balaa zaidi.Mhe spika kazi unayo
  12. M

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Mgaya, Data zinaonyesha idad ya wakristo ni ndogo kuliko makundi mengine Tanzania. Kwa data hizi inabidi kujenga hoja upya. mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim...
  13. M

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Published: 25 Jun 2008 ROBERT Mugabe was stripped of his honorary knighthood over his "abuse of human rights" the Foreign Office said today. The move comes as the Zimbabwean leader faces condemnation from around the world ahead of Friday’s presidential run-off. Prime Minister...
  14. M

    Kiswahili chazidi kukata mbuga,sasa Arkansas state,USA

    Arkansas State offering Mandarin, Swahili classes Associated Press - June 16, 2008 10:24 AM ET JONESBORO, Ark. (AP) - Students at Arkansas State University will be able to enroll in accelerated classes this fall in Mandarin Chinese and Swahili. There is increasing demand among U.S...
  15. M

    Chinese South Africans are now black

    Chinese South Africans are now black 18 June 2008, 19:27 A court on Wednesday issued a landmark ruling classifying Chinese South Africans as black, making them eligible for benefits for those discriminated against under the former apartheid regime. The ruling from the Pretoria high...
  16. M

    Muhimbili Wafanya Upasuaji Wa Moyo

    Habari za uhakika ni kwamba dr masau hakualikwa.aliyeongoza upasuaji wa moyo ni dr.Mahalu.huyu ni mmoja ya madactari wazawa ambae hapo awali alikuwa akifanya upasuaji wa moyo nchini Zimbabwe,na alikuwa akiheshimika saana nchini humo. Swala la kuwa operation za moyo zilikuwa zikifanyika,nusu...
  17. M

    Daudi Ballali's Death

    The living closes the eyes of the dead and the dead opens the eyes of the living. Bravo balali na vijisent vyako
  18. M

    Zimbabwe: The turmoil, reconciliation, and the future!

    Wana JF, Zim si shwari hata kidogo kwa sasa,wapinzani sasa wanaadhibiwa kwellikweli.Zipo taarifa za watu kuteswa wanaompiga mheshimiwa na wameanza kupata ukimbizi ndani ya nchi yao. Binafsi sikuwa nimewahi kumlaumu mgabe kwa kuwa niliamini matatizo ya wazim yanatokana na hawa wazungu...
  19. M

    Kikwete aagiza Nyumba za Serikali zilizouzwa zirejeshwe

    Hoja ya nyumba si ngeni machoni mwa wengi,mengi yamesemwa,wahusuka walikaa kimya kama kawaida yao,na watanzania wajifanya wameyasahau au walikubali yaishe. Sasa kwakuwa yameanza kusemwa na kigogo ndani ya sisiem,na muhimu zaid ndani ya bunge,nafikiri hii ni hatua muhimu sana.Naamini aneongea...
  20. M

    breaking news kwa wanasoka

    habari nilizozipata mdahuu nikuwa Carlos ALberto Pereira kaachia ngazi kuifunza timu ya taifa la Sauzi Sababu ya kuachia anasema mke wake ni mgonjwa hivyo angependa kuwa nae karibu. Hatahivyo wachambuzi wa mabo wanahisi kaachia kwasababu haoni kama atapata mafanikio makubwa 2010,hii ni...
Back
Top Bottom