Search results

  1. L

    Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

    NINAJUA WATU WENGI HAWAMPENDI HUYU MZEE LOWASSA, LAKINI NAWAAMBIA LOWASSA NDIYE CHANGUO LA WATANZANIA KWA 90% , TULIWAAMINI CHADEMA ILA SASA HAWANA TENA MUELEKEO HIVYO HAWATAWEZA KUKIONGOZA TAIFA HILI KAMA WAMESHINDWA KUKISIMAMIA CHAMA BASI HATUNA IMANI NAYO TENA. LOWASSA KAZA BUTI WATANZANI...
  2. L

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Bw. Andrew Nyerere tuna uhuru wa kutoa maoni kwa njia yeyote, iwe kwa kupiga kura au kuongea, au kuandika nk, wewe kama huwezi tuwachie uwanja na kaa pembeni, swala la kupiga marufuku upigaji wa kura wa maoni ya wanajamii forum hilo ni wazo lako mwenyewe. Lowassa is the only one who will lead as...
  3. L

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Mh. Edward Ngoyai Lowassa is the coming President of the United Republic of Tanzania 2015, kama CCM hawatamsimamisha Lowassa, CHADEMA ni opportunity yao kuichukuwa nchi hii
  4. L

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Mh. Edward Ngoyai Lowassa is the coming President of the United Republic of Tanzania 2015, kama CCM hawatamsimamisha Lowassa, CHADEMA ni opportunity yao kuichukuwa nchi hii
  5. L

    Malawi gives Tanzania's ambassador 48 hours to leave Malawi!

    Tanzanian ambassador to Malawi Patrick Tsere ordered out in 48 hours following the two countries’ border dispute. SOURCE KTN TV, KENYA.
  6. L

    Jimbo la longido 2015 kwa chadema

    mwezi wa saba 2012 nitajitambulisha rasmi,
  7. L

    Jimbo la longido 2015 kwa chadema

    Mimi ni mwenyeji wa Longido, mimi ni msomi.Jimbo la Longido limekuwa katika mikono ya CCM miaka yote. jimbo hili limekaliwa na kabila la wamaasai, moja ya makabila maarufu sana Afrika ya mashariki, ni kati ya majimbo yenye utarijiri mkubwa, lakini utajiri huu umewanufaisha wakubwa wa CCM na...
  8. L

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    hapa nimewakubali CDM, rufaa yao ina maana kubwa sana, hapa wameendelea kujijengea hishima, hiki chama ni makini sana hwakurupuki tu hivi2, wana wa Arusha, MBUNGE wenu anarudi kazini bila uchaguzi, makamanda tuko, CCM itazikwa kama mbwa mwizi, subirini mtaniambia leo tarehe 07.04.2012...
Back
Top Bottom