Search results

  1. B

    Natangaza rasmi...

    Nenda kwa amani na ukifika huko uendako usifuate watu fuata SERA.
  2. B

    Kuiongelea Tanzania bila Mwalimu ni uendawazimu

    KUIONGEREA Tanzania ya leo bila kumwongelea Mwalimu JK Nyerere ni kujidanganya. Wengine wanathubutu kusema eti awamu hii imefanya maendeleo makubwa kuliko ya Nyerere, ni kwa vigezo gani? Mwalimu alisema hatutaki maendeleo ya vitu, majumba, barabara, magari, bali tunataka maendeleo ya...
  3. B

    Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Alijazeera ukerewe

    Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Aljazeera Ukerewe-3 Jumatano, Februari 27, 2013 06:38 Na Ratifa Baranyikwa WIKI iliyopita MTANZANIA JUMATANO ilieleza habari za uchunguzi katika sehemu ya pili ya mfululizo wa makala haya, kuhusu kile kinachodaiwa...
  4. B

    Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Alijazeera ukerewe

    Njia fupi kutoka Mwanza kuelekea Aljazeera Ukerewe-3 Jumatano, Februari 27, 2013 06:38 Na Ratifa Baranyikwa WIKI iliyopita MTANZANIA JUMATANO ilieleza habari za uchunguzi katika sehemu ya pili ya mfululizo wa makala haya, kuhusu kile kinachodaiwa...
  5. B

    CHADEMA yamshauri Nape atafute familia yake kwanza ndipo aingilie mambo ya ndani ya CHADEMA

    We sindio ulimshikia bango Dr Slaa kuwa ana kadi mbili kama vile wewe ndo unaye zilipia, sasa kamtee Bwanako nape mwana hyaramu anaye lazimisha kuwa mtoto wa NNAUYE kumbe kibaka tu, ndiyo maana kazi yake nikuropokatu
  6. B

    CHADEMA, Mgogoro wa Ruzuku mikoani ni bomu la kulipuka

    Usiupotoshe umma wa watanzania kwa habari za uongo na uchonganishi. Mbona sisi huku jimbo la segerea sehemu ya hela hiyo inakuja kila mwezi? wacha kuleta ujinga hapa, na signatory wa hizo ni:Mchele Kisholi, Amani Mgeni Efraim kachale na Diwani wa kata ya KIMANGA. Hao ndio wanao husika kwa jimbo...
  7. B

    Zitto afanye haya kurudisha umaarufu wake

    [/B] Kama MATOKEO YA TUME NDIO HALALI basi Kafumu hakufumuliwa na Aeshi ni mbunge
  8. B

    Mipango ya kumrudisha Ole Millya CCM yaanza

    Millya anatakiwa awe na msimamo kama Mpendazoe aliye acha mafao ya ubunge na hata alipo polwa ubunge wa Segerea akafungua kesi magamba wakamfata na kumhonga ubalozi alipokataa wakambambika kesi ya wizi gari na madawa ya kulevya lakini bado anaendelea kuwatesa magamba.
  9. B

    Matembezi ya amani kutunisha mfuko wa M4C

    Nataka hiyo tiketi 20,000 zipo 0764 478 777
  10. B

    MKUTANO wa CCM Sumbawanga, wamdodea Kinana na Nape

    Hata akibebwa na Kibanda halitabadilika lolote ccm lazima ife na ashuhudie Kinana mwenyewe na kIBANDA WAKE kwa macho yao.
  11. B

    Kikwete akutana na vipeperushi vya kumkataa Dodoma!

    Nikawaida mwovu kulipwa uovu
  12. B

    Mdee amlipua Pinda

    Afadhali kusimamisha kabisa ! vinginevyo arhi itakwisha kabla ya 2015.
  13. B

    Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

    Lowasa hafai ila sijui vigezo ulivyotumia ukisoma hotuba za Nyerere jamaa huyu hafai kabisaaa kwasababu sijasikia akiongea juu ya rushwa za kimtandao ndani ya CCM, na yeye zote zinahusishwa na yeye.
  14. B

    Kisingizio: Daftari la Wapiga Kura, vyombo vya dola. Sababu?

    Mimi siwzi kuulaum uongozi hata kidogo coz uchaguzi wa 2010 nilihusika katika nafasi kubwa kama msimamizi wa mawakala kata. Na mahali ambapo nisimamia nilifanikiwa kupata diwani lakini kwa kulinda kura kwa siku 2. Ukiangalia/kusikia matarajio ya watu, wengi wanafikiri cdm iko juu kivile...
  15. B

    Mwongozo Chadema baada ya uchaguzi mdogo

    Naunga mkono hoja.
  16. B

    Ukimya wa Lowassa kuzungumzia rushwa katika chaguzi za CCM -- kulikoni?

    Yaa!! wanaompigia debe sasa mseme na Mteteeni bwana wenu. Ukweli mimi nanaoujua HAKUNA RAIS KUTOKA CCM AMBAYE SI MUUZA NCHI.
  17. B

    UVCCM kwachafuka

    Sioni tatizo kwa UVCCM kulalamikia rushwa na niseme kitu kimoja.CCM ya sasa sio ile yenye maadili yaMWANA tanu, Nimewahi kusoma barua ya Butiku ya mwaka 2005 akilalamika kama juu ya kuvunjwa kwa katiba ili kumbeba JK. Nahiyo barua kila mtu anaweza kuipata kutoka katika kitabu cha Mpendazoe cha...
  18. B

    Beno Malisa; kwa hili la NYALANDU unastahili PONGEZI.......

    Hivi kama chaguzi za ndani za CCM ni kununua kura hivi huyo EL ataweza kununua kura za wtz wote kwenye uchaguzi mkuu2015? Hamuoni kuwa watz wa sasa ni tofauti na wale wa 2005 wa kanga na tisheti? Kumbukeni kauli mbiu ya kule Arumeru Mash.''kula ccm, kura CDM''.
  19. B

    Makongoro Mahanga na Kabaka wakimbia kikao cha Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii

    Mahanga lazima akimbie coz sio mwakilishi wawananchi ila ni mwakilishi wa baba Mwanaasha. ndiye aliyemsaidia kuchakachua na hata aliposhitakiwa ndiye aliyegeuka wa kumwamlisha Jaji Juma ili afanye kila analoweza kumbeba huyo kilaza Mahanga.
  20. B

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Binafsi mimi kwetu ni Kigoma, lakini kwa maslahi ya Taifa nilazima ZZKanyimwe kura kwasababu ni mbinafsi mno, hana credibility ya Uongozi,ana hasira na visasi na Umri wake hautoshi kuwa Rais na kwa tabia yake ya kutengeneza makundi(rejea : kuhama kwa Kafulila na matusi ya H.Mchange kumtukana...
Back
Top Bottom