Search results

  1. K

    Kweli wana Dar es salama ni tegemezi wa Mshahara kwa kiasi kikubwa!

    Poleni sana ,sisi Wa local government tushacheka siku nyingi,walioajiriwa na wahindi ndio msubiri tar.31
  2. K

    Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    Kilaza mwingine huyu hapa,nani kakuambia kuna diwani analipwa baada ya baraza kuvunjwa?!!? Baraza likivunjwa ndio mwisho Wa ajira yao. Hawapaswa kuonekana hata kwenye corridor za council, Mkurugenzi ndio amekasimiwa kwa muda madaraka yote ya kuendesha council
  3. K

    MONDULI CCM: Ni upuuzi mtupu

    Mbona shibuda kaondoka na hamkufanya habari. Wanaohama sasa either kutoka Ccm au kuingia Ccm wanatafuta unafuu Wa kisiasa.mwanasiasa Wa kweli huongozwa na itikadi ,sio eti Fulani kakatwa,that is cheap politics na zinawapotezea muda na malengo angalau ya kuongeza namba ya wabunge
  4. K

    MONDULI CCM: Ni upuuzi mtupu

    Daaah chadomo kweli mapompopo ,hivi sasa kuna diwani? Mabaraza yalivunjwa toka tar. 8 .7.2015, acheni siasa nyepesi
  5. K

    Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    Hilo nalo neno,tatizo hapa ni Chadomo ,kufikiri wataenda magogoni kwa siasa nyepesi
  6. K

    MONDULI CCM: Ni upuuzi mtupu

    Titizo lenu chadomo mnapenda siasa nyepesi,siasa za matukio,bila kujijua mnatembea kwenye kinvuli cha CCM. Kwa mtindo huo mtasubiri sana kuaminika kama watu makini nyinyi misukule ya mtei
  7. K

    Madiwani wote ishirini Monduli wabwaga manyanga CCM, wahamia CHADEMA

    Tanzania ni zaidi ya Monduli,kinacho waangusha chadema ni kupenda siasa nyepesi(siasa za mihemko) watu wamehemkwa kwa mgombea wao kupigwa chini,wao wanawapokea kwa shangwe kama mazuzu na kujiona wameshafika magogoni. CCM itatawala Miaka mingi sana nchi hii
  8. K

    Malumbano ya Hoja ITV: Tathmini ya bunge la 10. Je, limekidhi matarajio ya wengi?

    Daaah!!! Wanywa viroba mnashida,mnapenda kusikia mnayotaka kuyasikia tu!!!???? Poleni viroba vimewaathiri reasoning power yenu
  9. K

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Wanywa viroba akili zao wote zinafanana hivi ni adhabu gani? Nilikuwa muafaka kwa watu ambao hawaheshimu majority na kuamua kufanya fujo badala ya kushawishi kwa hoja.
  10. K

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Aaaah wanywa viroba mko active kuchangia na ku support upuuzi Wa watu vichaaa kama lisu,mnyika na machali,kweli nyinyi ni misukule ya mtei.Maana hiyo miswaada hata hamjaisoma mnapinga tu ,sababu mabwana zenu wamepinga,mtasubiri sana kwenda magogoni mpaka hiki kizazi cha viroba kipite
  11. K

    Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge yawaadhibu wabunge 5 wa Upinzani

    Upawa kweli vilaza,hiyo miswada hata hamjaisoma hapa povu linawatoka ,kuiga msimamo Wa misukule ya mtei,just be yourself, fikiri na kuamua kwa utashi wako
  12. K

    Ushauri: Nataka kuacha kazi lakini familia hainiungi mkono

    Noted comrade,Nina ndoto kubwa, kwa sasa Nina of is I mbili japo zote nafanya Biashara aina Moja,ambayo kiukweli inalipa,lakini vili vile napanga kujihusisha na kili na ikiwezeka kuyaongezea thamani hayo mazao nitakayolima,tayari nimesha nunua shamba la ekari 100 ambalo kuanzi mwezi wa 10...
  13. K

    Ushauri: Nataka kuacha kazi lakini familia hainiungi mkono

    Mbona 1100000/= ndio salary anayoanza nayo ajira Mpya kwa kada za afya kama pharmacist, hiyo ni TGHSD,huo mshahara unaukubwa gani,ndo maana watz tupo masikini sababu ya kuridhika kwa vitu vidogo, Kwa hiyo ungekuwa wewe ndo unalipwa mshahara,ungeridhika na kuotesha kitambi kuwa maisha...
Back
Top Bottom