Search results

  1. xivii09

    Mwanamke wangu mbaya wa sura na muonekano ila ndie anaeniweka mjini

    Sijasoma huo utopolo wako ila ushauri wangu baada ya kusoma headline tu ni hivi kama ni mke oa kama ni goma tu la mda piga sepa... Usiume kichwa
  2. xivii09

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Cha msingi mwambie ukweli amalizane na mwenziwe ki taratibu zote lakini pia wewe hupaswi kuwa nae kimapenzi. Lea mimba mpaka mtoto ww beba msalaba wa kulea mtoto tu achana na mambo ya mahusiono na mwanamke ambae alishaolewa ndoa ya kanisani tena mumewe akiwa bado yupo hutokuja kuwa na amani na...
  3. xivii09

    Je, ni kweli tendo la ndoa halijakamilika hadi mwanamke afike kwanza? Nje ya hapo ni ubakaji?

    Sasa na ww mwanaume unapata wapi amani ya ndoa au mahusiano unapojua mkeo au mwenzi wako haumsigui ki sawa sawa? Utimamu wa mwanaume unaanzia hapo kama utafeli hili jua hata kama kuna mengi na mapangapi una faulu ujue hii ndio tiketi ya kuanza kufeli kwa Kila kitu... Utajiri... Hata kama yeye...
  4. xivii09

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hivi jamani Ili utangazwe ni lazima ushinde nn maana mm naonaga wanaotangazwa wengi ni wale walishinda jackpots tu kama ni kiwango fulani let say 50m inamaana hakuna watu wanakula hizo ml60 au 85ml kimya kimya mbona hatuwaonagi
  5. xivii09

    Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Kwa hayo maamuzi Yako hakikisha unabeba majukumu ya shemeji Yako yote usiishie njiani.
  6. xivii09

    Wanawake msikate tamaa, mwaka 2018 nilivunja ndoa ya dada yangu. Tuna vijana wa hovyo sana kama taifa

    Mkuu kwanza nikupongeze kwa hatua zote ulizo fanya kama kaka au na familia ya kumnusuru huyo dada Yako Iko hivi hiki kizazi Cha saiv kimeharibika chote si swala la jinsi kingine kwenye mambo ya ndoa Kuna mengi na vita ni vingi sana si akili zako tu ndo zinaweza kukuokoa mnaweza kuwa wote mpo...
  7. xivii09

    Wazoefu wa mambo ya familia nipeni ushauri

    Pole ila kama mlishaongelea hayo maswala ya watoto kabla namna mtakavyo kuwa mnaishi nao na yy kafanya kinyume na mlichokubakiana ww wala usipanic mnafutie mda mzuri uzungumze nae anaweza kuwa na yy Hana Nia hiyo ambayo ww umeshaiamini ila umeakua na haraka tu ya kuhukumu.... Ila kama atakuwa...
  8. xivii09

    Mlioko kwenye ndoa naomba ushauri hasa wanawake: Nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume

    Kama umevumilia miaka yote hiyo Kumi na yeye mwanao ashafika umri wa kuwa na familia yake usisubutu kufungua mdomo wako kwa mumeo labda kama unataka kutubu na ndoa iishie hapo sawa ila kama unaitaka ndoa ww endelea kukakaa kimya na usitumie nguvu sana kuweka mambo sawa kwa mwanao ataoa mda si...
  9. xivii09

    Idadi ya watu majimboni; Ukonga inaongoza, Chato ipo Top teni, kanda ya ziwa tishio, wapi Mbeya Mjini!

    Hawa watu wanajidangaya sana kwa sisi tuliozakiwa wengi kwenye familia za rasilimali chache tunajua umuhimu wa kuwa na idadi ndogo watu wanazani wachina wanazaliana kama sisi kumbe hata wazungu wanazaa kuliko wachina idadi kubwa ya wachina siyo kuzaliana tu ni wengi tu tangu mwanzo unakuta hapa...
  10. xivii09

    Aina 8 za wanawake hatari

    Kuna Hawa wa mafuta ya upako na maji ya upako hao baba mchungujai akisema kesho mkesha arusha na wao hao Lazima waende hawafai hata japo uzuri wao ni kuwa ukiwa malaya hawasumbui sana ni kumsingizia shetani na kufanya maombi na kesi imeisha
  11. xivii09

    Sipendi na sitaki ukaribu wala shobo na wanawake wenye vijitabia vya feminism

    Mtu yeyote anaeunga mkono feminist aje atuletee ushuuda na ndoa yeyote ya feminist aliyeolewa na mwanaume anayejielewa na ikawa imebalance mizania fresh tu n a ww mwanaume mwenzangu ukioa feminist umenunua mateso na kuamua kuyamiliki kisheria na kitamaduni Hawa huwa tunapita na kuuwacha na...
  12. xivii09

    Tushauriane: Mchepuko kamuweka selo Mke wa jamaa

    chanzo cha matatizo yote ni kumjengea huyo mchepuko ndio majuto yake mwanao ni mjinga na ww pia hukuweza kumshauri ktk hili yaani hata mtoto hujamuona au kupata uhakika kuwa ni wako tena kwa kwa mwanamke ambaye keshazaa na jamaa mwinginge kabla yako kwann si angemhudumia tu kodi na vitu...
  13. xivii09

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    spotpesa odds 100+ code: YcwbMS hesabu leo saa 3 usiku jipimie unaweza kutoa sumu zako
  14. xivii09

    UTAFITI BINAFSI: Urefu wa mtu(feet) Ni sawa sawa na Urefu wa uume wake( inches)

    Daah mwanangu unajindanganya sana umenikumbusha kisa kimoja hivi enzi za ujana form 3 hiyo tupo bwenini kama kawaida Sisi wanaume ma story yetu ya hapa na pale mara ikafika mada ya jamaa yetu mmoja sijui jamaa huwa hapendi kuoga na watu wengi anaogaga peke yake kisa ni kuwa mwana ana mguuu wa...
  15. xivii09

    Umagufuli ndio tiba ya kudumu ya maradhi ya ufisadi, rushwa na uzembe

    Huyu waziri anayetushikia kibubu chetu nazani ni kwakua hajui kama unaweza kutoboa kuushika usukani ila ila huyu ni zaidi ya magu I terms of very things kwa.
  16. xivii09

    Maono ya herufi na tarakimu. Je kuna uhai ndani yake?

    Najaribu kupata kitu hapa kwa mfano ndege kama kasuku kwakua na wao wanalugha zako na kuna wataamu wanaojua kuwasiliana nao inawezekana zikawa ndio moja ya lugha za zamani ambazo hazijabadilika au kufa shida ni kuzilewa .
  17. xivii09

    Je? Kuna tabia zozote mpya huwa zinakuja au kuanza mara baada ya mke kujifungua? Funguka na ilikuwaje

    Wadau nisiwachoshe hiki kisa cha kweli Mimi na mke wangu tumeanza kuishi pamoja baada ya kufunga ndoa takribani miezi kama sita iliyopita ila alikuwa mjazito kwa hiyo alijifungua miezi minne iliyo pita kwa hiyo game zote zilisimamama kwa sababu ya mtoto. Sasa kisa ni kuwa mwenzangu kawa mtu...
  18. xivii09

    NEC yawataka wamarekani kutoa uthibitisho wa madai yao kuhusu Chaguzi za Agosti 2018

    Tuwapuuze tu kwani sisi ubalozi wa Tanzania dc ukikosoa chaguzi za majimbo ya USA kitakachotokea ni kipi?
  19. xivii09

    Kuna mtu alishawahi kununua simu mtandaoni ikaja kwa posta na akaipata?

    Hamna uli usipigwe posta ni rahisi sana hakikisha ukinunua upate tracking ID kama hawajakupa wambie wakutumie ukishapata tracking ID hakikisha unautrack kila siku ukifika posta tu siku hiyo hiyo kachukue mzigo ukishakaaka kama week pale ndo mwanya wa wapigaji wanapiga mm nishaagiza vitu vingi...
Back
Top Bottom