Search results

  1. B

    Mchuma Mpya wa Davis Mosha:2013 LUMMA CLRR Range Rover Supercharged

    wacha weeee....AMEOLEWA.?? NI MUAJIRIWA AU KAJIAJIRI
  2. B

    Tanzania uchi wa mnyama sasa...

    Jamani..nilikua sijaona bango lenyewe mm nilijua ni yale ya umeme..kumbe hilo la kuandika tena muandiko umepinda..I support this lakini hilo bango nope halivutii kusoma
  3. B

    Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?

    Ukome mwanaume. ..tena safi sana mmezidi kuchezea wadada..sion sababu ya kukupa pole coz maelezo yako yanaonyesha ni tabia yako
  4. B

    Msaada wa China: Haya ni baadhi tu ya masharti

    Hayo ndo malipo ya Ridhiwani kusamehewa kunyongwa baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya..lijinga limoja linaponza taifa nzima..I wish nyerere angekuwepo
  5. B

    Diamond Platinumz Mboga 7, Hereni na Kanzu?

    Mbona sioni ajabu ukizingatia hajavaa kanzu ya kuswalia..hilo bi bazee km la wanigeria..kwa raha zake
  6. B

    Pharmacy council kazi zenu nI zipi.?

    :thumbup:
  7. B

    Serial killer in Dar!

    Habari wana jf...kuna tetesi nimezisikia kuwa kuna serial killer ambaye ni light skinned hapa dar anatembea na pikipiki...huwa hataki mabishano na dereva yeyote na ikitokea mmebishana yeye hukufyatulia bastora..kuna ujumbe una sambaa kuwa keshaua madereva wawili mmoja magomeni karibu na...
  8. B

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Hawa polisi na inteligensia yao wooote ni mambulula...wakisikia issue za chadema kiherehere kufatilia...mbona hatujasikia mkimkamata shehe ilunga..au kwa kuwa baba yenu kikwete alimtuma.?..kwa ulimboka nani alihojiwa au kwa kuwa kikwete aliwatuma...acheni u......nge
  9. B

    Polisi wamsaka mbunge CHADEMA kwa kufunga ofisi

    Badala ya kusaka wahalifu...wanambwelambwela na mambo ya siasa..nyambafu zenu policcm
  10. B

    Tulipendana, tukaachana., sasa amerudi sijui ntamueleza nini na atanielewaje

    Thank you..tutapima coz siwez jua ameniletea nn..isije ikawa anatafuta wa kumuuguza
  11. B

    Tulipendana, tukaachana., sasa amerudi sijui ntamueleza nini na atanielewaje

    Aliniacha...na nilimtoa akilini mwangu..karudi mwenyewe..halafu si yake as hakuilipia..
  12. B

    Tulipendana, tukaachana., sasa amerudi sijui ntamueleza nini na atanielewaje

    I thought I losted him forever..thts why I decided to move on with my life..but unfortunately he came back begging me to forgive him..anahisi tungekua mbali sana
  13. B

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Penguine .... don forget Ulimboka
  14. B

    TAARIFA: Maendeleo ya Afya ya Kibanda

    HIII NDO SERIKALI YA KIKWETE MPK AMALIZE MDA WAKE KESHATESA NA KUUA WENGI...HUU NI USHETANI NA ANA UCHEKEA KWASABABU U CHINI YAKE...Mungu akulaani
  15. B

    Tulipendana, tukaachana., sasa amerudi sijui ntamueleza nini na atanielewaje

    Unataka tudiscuss siasa masaa 24 au...hujalazimishwa kusoma...ungepotezea km n upuuzi
  16. B

    Tulipendana, tukaachana., sasa amerudi sijui ntamueleza nini na atanielewaje

    Ni wapi imeandikwa ukiwa na shida au tatizo usicheke.....kisa..? Wacha niongeze siku za kuishi..
  17. B

    Tulipendana, tukaachana., sasa amerudi sijui ntamueleza nini na atanielewaje

    Si kwamba hatuongei au kujadiliana..utaanzaje from no whr kuongelea mambo hayo bila kuwa na ushauri..au a good start.? Siwez kwenda kumpa faida shoga yangu kwa kumuomba ushauri..akiniharibia.? Ndo maana ikaitwa JAMII FORUM ..feeling free to talk n expose my thought. ..poleni kwa mliokwaza but...
Back
Top Bottom