Search results

  1. JackisonDubai

    Wote waliokataliwa na shujaa Hayati Magufuli mpaka leo wako hoi kisiasa

    Inaelekea miaka 3 sasa tangu waliokataliwa na shujaa hayati Magufuli kurudishwa tena serikalini kwa kubebwa na Rais Samia lakini wameshindwa kabisa kuwashawishi wananchi na sasa wako hoi kisiasa! 1. Mwigulu Nchemba Huyu tangu awe waziri wa fedha hamna alichofanikisha hata kimoja , kila kukicha...
  2. JackisonDubai

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali achia ngazi haraka sana, ni aibu kwa Serikali

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
  3. JackisonDubai

    Tuna viongozi ambao wamelala usingizi wa pono

    MBONA SIELEWI? Tuna uhuru lakini hatupo huru. Hatujafungwa kamba lakini haturuhusiwi kusogea. Tunaruhusiwa kukaa vikao tu sio kujadili. Tunaruhusiwa kuwaza sio kuamua. Tumepewa viongozi sio waongozaji. Tunaweza kusoma na kufaulu sio kufanikiwa. Tuna Uhuru wa kuongea sio kusikilizwa. Mbaya si...
  4. JackisonDubai

    Nani alijenga Mapyramid ya Misiri ya kale?

    MAAJABU YA PYRAMIDS ZA MISRI Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Nchini Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo lenye ghorofa 48.Lina uzito wa tani million 14.5,limechukua eneo la mraba hekari 13 sawa na viwanja kumi vya mpira wa miguu.Inaaminika kua lilianza kujengwa mnamo 2540BC na...
  5. JackisonDubai

    Uzinduzi wa Ikulu mpya Dodoma ni siku ya mateso kwa wapinga Magufuli

    Kesho tarehe 20/5/2023 ni siku ambayo Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli atatajwa kuanzia asubuhi mpaka jioni kwenye uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino ambayo ujenzi wake aliutekekeza yeye hivyo kuigeuza siku ya Tundu Lisu na Chadema kwa ujumla kuwa mbaya sana kwani hawapendi jina hilo...
  6. JackisonDubai

    Picha ya Membe na Magufuli imenitoa machozi

    Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote kabisa. Leo ndiyo mazishi ya Bernard Membe kule kijijini kwake Rondo.
  7. JackisonDubai

    BOT yasema Deni la Taifa limepaa

    Dar es Salaam. Ripoti ya kila mwenzi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuhusu mwenendo wa uchumi (MER) Aprili, inaonyesha deni la Taifa limeongezeka kwa asilimia 8.9 mwaka 2023 ikilinganishwa na wakati kama huo 2022. Katika ripoti hiyo inaonyesha hadi mwishoni mwa Machi 2023 jumla ya deni lote...
  8. JackisonDubai

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimeshindwa kuzimalizia Hosteli za Magufuli?

    Hayati Rais Magufuli aliwajengea UDSM hosteli za kulala wanachuo nzuri na za kisasa kabisa, cha kushangaza nimerudi baada ya miaka miwili hostel bado hazijafanyiwa finishing kwenye flat zake za juu. Juu ya hizo hosteli Kuna mirunda na magogo Kwa kweli inashangaza. Ikumbukwe kabla ya hostel za...
  9. JackisonDubai

    Zitto Kabwe, kwanini hauchambui upungufu wa Dola Tanzania?

    Zito Kabwe mchumi aliyejipatia umaarufu Kwa kuchambua mwelekeo na udhaifu mbalimbali kwenye serikali ya CCM lakini safari hii amegeuka bubu ghafla kwani mdomo umejaa asali ambayo itampalia kama atathubutu kupanua mdomo wake. Serikali ya Rais Samia imekumbwa na uhaba mkubwa wa hifadhi ya Dola...
  10. JackisonDubai

    TANAPA yaiteuwa Burigi-Chato kuwa miongoni mwa mbuga zitakazotunza Faru weupe

    Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) imeiteuwa Hifadhi ya Burigi-Chato kuwa miongoni mwa hifadhi mbili nchini zitakazoendeleza kuhifadhi faru weupe ambao ni adimu zaidi nchini. Kupelekwa kwa faru weupe katika hifadhi hiyo ambayo ni ya tano kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zilizopo. Hivyo...
  11. JackisonDubai

    Paul Makonda afutiwa shitaka la madai mahakamani

    Gazeti la majira la leo limekuja na taarifa nzuri Kwa wazalendo na wapenda haki nchini baada ya shauri la madai la shilingi million 240 kufutwa rasmi mahakamani baada ya kukosekana ushahidi wowote juu ya madai hayo. Kitendo Cha Rais Samia kuanza kufuta kesi zote za mchongo walizokuwa...
  12. JackisonDubai

    Raia Mwema: Tundu Lissu atoswa rasmi

    Gazeti la leo la Raia Mwema limekuja na taarifa nzito na ya kushitusha sana kwamba dhambi ya usaliti ni mbaya sana kwani Sasa baada ya kuwasaliti watanzania hatimae Tundu Lissu ametoswa na chama chake kutokana na kauli zake tata zinazoenda kinyume na maridhiano ya kulamba asali aliyoingia...
  13. JackisonDubai

    Mwita Waitara njoo ugombee CHATO, maendeleo ya Jimbo hili hayana mtetezi

    Merdad Matogolo Kalemani aliyewahi kuwa waziri wa nishati na akawa anapeleka umeme kwa wasitani wa vijiji elfu 2 kila mwaka hivyo kupelekea vijiji zaidi ya elfu 10 kupata umeme ndani ya miaka yake 5 ya uwaziri hivi sasa amelala usingizi wa pono!! Medard Kalemani mbunge wa jimbo la Chato hatetei...
  14. JackisonDubai

    Jimbo la Chato kwa sasa halina Mbunge?

    Merdad Matogolo Kalemani aliyewahi kuwa waziri wa nishati na akawa anapeleka umeme kwa wasitani wa vijiji elfu 2 kila mwaka hivyo kupelekea vijiji zaidi ya elfu 10 kupata umeme ndani ya miaka yake 5 ya uwaziri hivi sasa amelala usingizi wa pono. Medard Kalemani mbunge wa jimbo la Chato hatetei...
  15. JackisonDubai

    Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

    Imethibitika Sasa rasmi kwamba kijitabu kinachoitwa I'm the State kilichoandaliwa na mafisadi kwa ajili ya kumchafua Rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli na legacy yake mauzo yake yamedoda mtaani baada ya kupuuzwa na Watanzania. Hao waandishi uchwara walishaonywa mara nyingi kwamba hamna nguvu...
  16. JackisonDubai

    Miaka 2 ya waziri Mbarawa hamna flyover hata Moja iliyokamilika

    Miaka miwili ya waziri prof Mbarawa inatia shaka na kusikitisha sana, hakuna flyover hata Moja iliyokamilika, hakuna barabara mpya hata Moja iliyokamilika,treni ya SGR haijaanza kufanya kazi! Kwa kweli ni masikitiko makubwa Kwa waziri huyu wa ujenzi. Kwenye ilani ya ccm 2020 - 2025 Kuna ma...
  17. JackisonDubai

    Mchakato wa kupata mwenyekiti mpya CHADEMA unahitajika

    Kwa mwenendo huu wa kisiasa ni dhahiri sasa anahitajika kupatikana Mwenyekiti mpya wa kuitoa CHADEMA kutoka sehemu moja kwenda mbele zaidi . Fikra zilezile na mawazo yaleyale ya Mwenyekiti wa sasa ni wazi zimeshindwa kuleta matokeo . Ifike wakati sasa tukubaliane na hali halisi kuwa Mh Freeman...
  18. JackisonDubai

    Wanaoichukia Chato wanapoteza muda, miradi yake yawa gumzo duniani

    Tumeona mpaka gazeti la mwananchi wameingia kwenye upuuzi wa kuandika habari zisizo na ukweli wowote kuhusu Chato, hospital ya Kanda ya Chato imekuwa msaada mkubwa Kwa wananchi wa Kanda ya ziwa, uwanja wa ndege Chato umeendelea kufanikiwa kwani ndege za shirika la ATCL zimeendelea kutua mara...
  19. JackisonDubai

    TTCL ni shirika la kwanza kufia mikononi mwa Waziri Nape Nnauye

    Rais Samia uliambiwa na kuonywa kuhusu kurudisha hawa majizi wasiokuwa na uchungu wowote na nchi hii ,Kiko wapi Sasa? Kwenye umeme nako mambo ovyo ovyo miaka 2 imeisha wameshindwa kupeleka umeme kwenye vijiji elfu 2 tu! TTCL inamfia Nape Nnauye mikononi mwake yeye kazi ni kushinda Airtel, Voda...
  20. JackisonDubai

    Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo upulize, kichaka cha Hayati Magufuli kimeisha sasa

    Rais Samia ameanza kufoka ati "stupid"? Huu ni mwanzo tu wa ripoti za CAG kuumbua zaidi utawala wako , ufisadi uliuasisi mwenyewe mwanzoni kabisa ya utawala wako. Wakati anaingia madarakani, kwa kutumia hekima zake na uungwana wake, alianza kuyafungulia majizi na mafisadi yaliyofungwa jela...
Back
Top Bottom