Search results

  1. kisiringyo

    Dr.kigwangala ausaliti umma na kukikumbatia chama chake.

    jana katika habari ya star tv nilimshuhudia kigwangala akisema hatounga mkono bajeti kutokana na kutosimamia masilahi ya wananchi cha kushangaza, kaudhihirishia umma unafiki wake leo bungeni kwa kuunga mkono hoja. My take: Uongo, unafiki na mbinu mnazotumia nyie ccm kuwa hadaa wananchi ndo...
  2. kisiringyo

    Naona aibu kuishi kwenye nchi tajiri wakati mimi ni masikini!!

    Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ni tajiri sana duniani, ukitaja nchi 10 bora zilizo jaliwa rasilimali nyingi huwezi kuiacha tanzania baadhi ya raslimali tulizo nazo ni kama vile: 1.maziwa makuu na makubwa ambayo yangeweza kuondoa umaskini wa watanzania wengi kwa kilimo cha umwagiliaji...
Back
Top Bottom