Search results

  1. S

    Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

    :nono: Kama EL na huyo James Millya wangekuwa hizo nguvu, yafuatayo yasingewezekana siku za nyuma 1) Sioi Sumari asingeangukia pua juzi 2) James Millya asingeangukia pua kwenye ile kesi ya kuwashwa kofi na Sendeka hadi kuzimia kwa saa 3) James Millya asingeangukia kisogo kwenye harakati za Bunge...
  2. S

    Naomba radhi Tume na Chadema

    Sendeka na James Millya ni paka na mbwa (sijui paka ni yupi na mbwa ni yupi - utajaza mwenyewe) hawakai pamoja, issue ya kofi bado ipo tete hadi leo; wee unasema....pepepe....mwaminifu? Uko wapi uaminifu wako kama ni kweli si ungepiga kimya? Acha uongo Mujuni....... mtu mzima *******o!
  3. S

    Tanzania photos (Tanzania's wildlife and natural beauty)

    Thank you Ndinda, a small addition with your permision 1) Serengeti= derived from the maasai word 'siringet' meaning 'flat endless plain' 2) With all the endowments of land based resources, why are we poor? Is it because of a) lack of technology (b) Poor leadership, (c) greedy and selfishness...
  4. S

    Kuipinga na kuikataa CCM ni sawa kabisa na kumpinga Baba wa Taifa JK Nyerere 100%

    Shykwanza, inawezeka upo mirembe ila siwezi kusema kwamba wewe ni mjinga! Hizo ni akili zako, tatizo ni kwamba hazijajaa yaani umepungukiwa kiasi fulani! Kimsingi endelea na matibabu baada ya miezi miwili utatoka - madaktari sasa wanafanya kazi! ILA PUNGUZA KUKURUPUKA Kuli wetu!
  5. S

    Kisia huyu ni nani?

    Mzee wa apple - Job
  6. S

    over bleeding after sex

    Kwa kawaida mwanamke akifikisha miezi sita wakati wa uja uzito hatakiwi kufanya mapenzi. Vile vile baada ya kujifungua mwanamke bado hatoruusiwa kufanya mapenzi kuanzia miezi 6 na kuendelea ili kuruhusu uke wake kurudi katika hali yake ya kawaida na hiyo itategemea na maumbile ya mwanamke husika...
  7. S

    Unamtambua Mh. Lowassa kama nani?

    how? by people's choice? Kwangu mimi ni mtu mwenye tabaka zote za ufisadi ila pia ndio kiongozi aliyeonyesha kudhubutu hadi leo ikiwepo kujiuzulu alipohusishwa na richmond! Ni mchapakazi na mjasiria mali! Matatizo kama binadamu yepo: Kisasi, utajiri ambao ni yeye pekee ndio anajua chanzo...
  8. S

    NEC ya dharura Dodoma kishindo gani?

    Hi Friends, habari toka ndani ya Chama ni hizi:Hakuna lolote, hakuna chochote - ni maandalizi ya Valentine day na Harusi ya Arumeru! Mkutano wa dharura ni tarehe 12 - 13 Feb, then siku yenyewe ya rangi nyekundu. Watu kujinafasi bwana!
Back
Top Bottom