Search results

  1. I

    Mmoja wa Wagombea Urais 2015 ahusishwa na Mgomo wa Madaktari?

    Hivi Mhariri wa DIRA kweli amefanya udadisi wa kutosha kabla ya kuruhusu kuchapwa kwa habari hiyo? Isijekuwa ni habari imedakwa toka kwenye mitandao na Mwandishi akaichukua kichwa2 na kumpelekea Mahariri kwa mbwembwe ili ipambe na kuuza gazeti lake? Kesho tusisikie amefikishwa mbele ya Kamati ya...
  2. I

    Blandina Nyoni ana siri nzito za vigogo Mafisadi, wakwepa kodi na wezi wa mali ya umma Tanzania

    Kama taarifa katika uzi huo hapo juu ni sahihi na kweli, basi bibie ana kesi pia ya jinai kuhusu kufahamu vitendo viovu na kunyamazia kutolea taarifa kwa vyombo vya dola kwa hatua za kuwakamata watenda maovu hayo anayodai ana siri za vigogo hao. Asubiri kujibu mashtaka dhidi yake ya kijinai na...
  3. I

    Hoja Binafsi za Zitto na January:Je, Wabunge watalipa visasi

    Shida kubwa waliyo nayo wabunge wengi wa Chukua Chako Mapema ni UVIVU WA KUFIKIRI. Hoja hizo zitakataliwa tu kwa sababu hakuna aliyejipanga kufikiri namna ya kuzichangia huko Mjengoni. imwan
  4. I

    Wizi wa makato ya ppf

    Haitatokea Mwajiri akukate asilimia zote wewe. Kinachoweza kutokea iwapo Mfuko husika haufanyi ukaguzi wa mara kwa mara ni Mwajiri kuchelewa kuwasilisha au kutowasilisha makato ya michango kwa sababu ama za ukata na/au shughuli kusimama. Wewe mwenyewe unatakiwa kufuatilia mara unapopokea...
  5. I

    Mponda agoma kujiuzulu

    Nyie jamaa, Wazushi kweli! Hizi habari za Dr. Mponda kukataa kujiuzulu zimetokea wapi wakati news nyingine zinasema amekataliwa na Mzee Bulicheka na Msanii Mkuu wa Bongo kujiuzulu akiambiwa yeye Dr. Mponda ni mgeni kwenye siasa. Nawataka ama wanaodai amekataa kujiuzulu au amekataliwa kujiuzulu...
  6. I

    Privacy Law: Mwanaasha J. Kikwete kuwashitaki NECTA?

    Watu tunatofautiana akili. Ndiyo maana kuna ule msemo: "Akili ni nywele, kila mtu ana zake". Hivi karibuni kuna mzazi huko Mkoani Pwani maeneo ya Ikwiriri kama sikosei alimfuata Mtendaji wa Kijiji na kumuuliza afanye nini na mwanae ambaye amechaguliwa kwenda Kidato cha Kwanza wakati hajui...
  7. I

    Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    Aaaaaah, kwani Mkuu wa Kaya ameenda wapi tena jamani? Oooooooooooh, nilisahau kuwa kumbe jina lake ni John Mtembezi Kikwetu. Hivi hii tripu ni ya mara ngapi kwake? Hadi 2015 atakuwa amesafiri mara ngapi na je marais wa Ughaibuni wanasafiri hivyo kweli? Kibaya zaidi anasafiri hivyo huku matatizo...
  8. I

    Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    Ndolelha, Uko sahihi. KM Blandina Nyoni inasemekana ndiye alikuwa kikwazo kwani hakuwa tayari kuwasikiliza madaktari na ma - interns ambao aliwahamishia mikoani. Akiwa Mtendaji Mkuu wa Wizara aliwajibika kutatua kero za madaktari na ma - interns na kisha kutoa ushauri sahihi kwa PM kwa uamuzi...
  9. I

    Pinda awasimamisha katibu mkuu wa wizara ya afya na mganga mkuu

    Kwa Jairo alisema angekuwa na uwezo, angemtimua kazi mara moja. Lakini alisema anamsubiri Rais JK. KM Kiongozi Philemon Luhanjo akamsimamisha Jairo kazi na baada ya uchunguzi wa tuhuma dhidi yake kuchakachuliwa na CAG, Ludovick Utouh,kwa sababu ni "MWENZETU", allimrudisha kazini ambako alipokewa...
  10. I

    Je Benki inayo haki ya kumfilisi mteja ambaye unaendelea kulipa mkopo wako kidogokodogo?

    Kuna Mjasiriamali mmoja wa biashara ndogo ndogo (Small Scale Enterpreneur) alikopa toka Benki moja hapa nchini kwa makubaliano ya kurejesha mkopo kwa kiasi cha shs.289,000.00 kila mwezi. Biashara yake ikaenda mrama kwani aliyemkabidhi kuendesha biashara yake ametoroka na mtaji pamoja na faida...
  11. I

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Jamani, haya madudu ya huyu Blandina yamekuwa yakilindwa na kaka yake Philemon Luhanjo ambaye kwa madudu yake aliyofanya akiwa KM Kiongozi alikuwa naye Mtu - Mungu. Lakini kwa ubomoaji wa amri ya Mungu ya sita namfahamu tangu akiwa IDM Mzumbe na hata akiwa Sekondari. Msitie mchanga kitumbua cha...
Back
Top Bottom