Search results

  1. J

    Image ya saini ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Lazima ufikrie usiseme watu wajadili ujinga si ajbu hata wewe unaweza kuwa mjinga mojawapo sahihi inaweza kuwa tofauti si kwa herufi zaid ya 3 na hata mkunjo na unaposema inategemeana umesimama au umekaa kwa karatasi muhimu kama hiyo uwezi kusimama. kama daftari la waombolezaji wanaweka sahihi...
  2. J

    Kuna nini kati ya Mkapa na Kikwete?

    una maanisha nini ongea lugha ya Taifa
  3. J

    Wako wapi Wabunge hawa mbona hata Bungeni hawaonekani kuwawalisha wananchi wao?

    :A S-baby: kweli jamaa yuko busy na biashara zake amelitelekeza jimbo.
  4. J

    Membe: Wizi ulipangwa Hazina

    :lol: serikali yote nyinyiem iko corupted je ni nani atamfunga paka kengele? ******** zao
  5. J

    Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    aseme ni wapi ilikuwa ni sahihi kulitoa hilo nyongo
  6. J

    Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    kwa kweli hii habari inaumiza sana na inatonesha vidonda ni bora waiache itafika muda wake kama BWM alikukuwa anapina maji na unga basi chaguao ni lake akoroge uji au asonge ugali ameona uzito wa maji na unga
  7. J

    Magufuli amvimbia Waziri Mkuu Pinda

    Chapa kazi Pombe achana na huyo kilaza Pm
  8. J

    Maandamano makubwa jijini Arusha dhidi ya serikali

    mtoa taarifa tupo pamoja endelea kutujuza yanayojiri kwa sasa na weka picha walau tuone.
  9. J

    Naunga mkono kauli ya Kikwete

    hakuna kitu hapo ni danganya toto hao maaskari ndo wala rusha nambari one kuanzia juu mpaka chini wajisafishe kwanza juu ndo waje kwa wadogo.
  10. J

    Mapenzi ya Kikwete kwa Haji Mponda na Lucy Nkya, Mauti kwa Watanzania Masikini

    kama ni mwadilifu na hawezi kufanya kazi katika serikali ambayo si hadilifu ni bora ajiuzuru hiyo nafasi na kama ataendelea kubakia basi atakuwa amekubaliana na anayafanya hayo madudu.Bora aondoka aweke heshima.
  11. J

    Majina matatu tume ya kurekebisha katiba toka CHADEMA, nani awemo?

    habarini za asubuhi. mimi napendekeza majina yafuatayo 1. Mnyika 2.Lissu 3.Dr K. Mkumbo
  12. J

    Basi la zakaria lachinja mwanza. Hizi ndo tabia za mmiliki wake!

    kesi iliendeshwa na kama wanavyosema kuzungumuza miongoni mwa pande zote ambazo ni maasimu ufumbuzi upatikna na dereva alinunuliwa Lori la kufanyia baishara, kama alikubali kuna haja ya gani tena ya kuendelea na kesi?
  13. J

    Basi la zakaria lachinja mwanza. Hizi ndo tabia za mmiliki wake!

    Poleni sana wafiwa ila ni jambo la kumshukuru mungu kuwa kidogo Peter Zakaria anabadilika ni toufauti na miaka ya 95 enza za yule IGP alikuwa na kiburi zaidi kwani alikuwa rafiki yake wa karibu na ninakumbuka IGP huyo alifanya ziara Tarime nilishuudia Zakaria alivyokuwa karibu nae na kuna wakati...
  14. J

    I will never complain about my job ever again

    kila mtu anajua faida ya kazi yake. Kazi ni kazi mura
  15. J

    Dk Mwakyembe kurejea India kwa matibabu

    Tunakuombea kwa mungu akuzidishie wepesi na upone ila haya yote yanakutokea kwa sababu hakuweza kusema ukweli kwa Watanzania kama kuna mengi hebu tuambie walau ubaki huru katika moyo wako.
  16. J

    JK yupo Ikulu hajasafiri

    jamani ikulu inafagiliwa lakini wakati wanenda kwa photo kulikuwa na upepo ukadondosha hizo taka
  17. J

    UPDATES: Kikao Cha Waziri Mkuu na Madaktari CPL (Central Pathology Laboratory)

    hakuna cha kumpongeza waziri mkuu wala spika wa bunge ni kwamba serikali haina uchungu na watanzania
Back
Top Bottom