Search results

  1. msomi kweli

    Sitosahau mara yangu ya kwanza kuingia Barbershop

    Kali sana, BONGE MOJA LA COMEDY
  2. msomi kweli

    Hayati Magufuli aliwezaje kutunyamazisha Watanzania milioni 60?

    Usimfananishe GADAFFI na watu wa ajabu aisee
  3. msomi kweli

    SoC01 Waraka wa Wanyama kwa Binadamu

    Safi Disasta, umezama kwenye fikra
  4. msomi kweli

    Suphian: Nimehamia CCM kwasababu ya uimara wa taasisi

    Niliwahi kukuambia Brother nina mashaka na wewe ukaongea sana. Haya sasa leo utasema nini? Kiko wapi?
  5. msomi kweli

    Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    Nimetembea angani na ardhini...Mh. J.M Kikwete ni Rais bora Ilala,Dar es Salaam bara na visiwani. HATA AFRIKA Source..... ...
  6. msomi kweli

    Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    na hili pia? Ndio maana nikakuuuliza: WEWE SIO MMOJA WAO?
  7. msomi kweli

    Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Sory mkuu, kama nimekukwaza. Wakati mwingine hisia zangu hufunika kabisa USOMI wangu
  8. msomi kweli

    Coming soon: New Kawe City (Uptown Kawe)

    Unaonekana kama nawe ni miongoni mwao...
  9. msomi kweli

    Aisee ni kamaaa

    Unajua vijana wa kitanzania watundu sana... hebu wasikie hawa. Kama umezaliwa nyota yako ya mbwa, basi usishangae kuwa mlinzi mpaka kufa kwako. Kushupalia vitu usivyovijua, ni sawa na kuingiza vocha kwenye simu bila ya kuikwangua. Enyi kizazi cha maandamano,jiepusheni na misafara ya ajabu kama...
  10. msomi kweli

    CNN: Dr. Slaa awa gumzo na hatari serikalini Tanzania

    nisaidie mkuu hivi kiongozi mkuu wa upinzani hapa tanzania ni dr slaa au mh mboye? Nisaidie
  11. msomi kweli

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    NDIO TATIZO LA WANACHAMA WENZANGU WA CHAMA CHANGU... HAPO TUU sawa nimepokea ushauri
  12. msomi kweli

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    mod nisaidie hivi ni ruksa kurusha habari live kutoka mahakamani! sasa kwa nini ITV hawaruhusiwi kujiunga? au sisi tunavunja sheria... ? nisaidie maana na mimi nijue
  13. msomi kweli

    Live Feeds: Kutoka mahakama Kuu ya Rufaa Kivukoni - Rufaa ya Lema, Dec 04, 2012

    mod nisaidie hivi ni ruksa kurusha habari live kutoka mahakamani! sasa kwa nini ITV hawaruhusiwi kujiunga? au sisi tunavunja sheria... ? nisaidie maana na mimi nijue
  14. msomi kweli

    CHADEMA kuweni makini sana, kilicho nyuma ya pazia hiki hapa!

    naaatafuta wa kunipendaaa mimiiiii... Nimechoka na penzi la uongoo... Samahani wakuu napita tu
  15. msomi kweli

    CHADEMA ni DHAIFU sana kiuongozi ngazi za Wilaya na Mikoa!

    Mkuu Kama hali ya mambo itaenda kama ilivyoshauriwa, basi mabadiriko lazima... mfano huku kwetu Temeke kuna fukuto kidogo kuhusiana na wapi iwe ofisi kuu CDM ya kata ya Mtoni. Nimejaribu kumuuliza mwenyekiti wa tawi kaniambia wanamsububiri Dk Slaa akija ndio ataamua nikaona huu ni msiba... JE NI...
  16. msomi kweli

    Mitihani iliosahihishwa

    hata kama huyarudii lakini kumbuka hii ni haki ya mwanafunzi kwa sababu yeye ndio aliyejibu kwanini wanafanya siri au kuna uchakachuzi kama wa kwenye KURA? lABDA NITATAKA NIMUONESHE MDOGO WANGU ILI ASIJE AKARUDIA MAKOSA NILIOYAFANYA AU AJIFUNZE YALE MAZURI NILIOFANYA
  17. msomi kweli

    Mitihani iliosahihishwa

    kama wanaweza kusafirisha Twiga kwa ndege watashindwa vipi kusafirisha Mitihani kwenye shule hamsini wilayani kwako. Je kuna ulazima gani mitihani yote kusahihishiwa Dar es Salaam.
Back
Top Bottom