Search results

  1. Simbou

    Kama uko above 30 huna mke/mume wala mtoto we ni masikini tu

    Siwezi kuchangia wazo la kiboya namna hii.
  2. Simbou

    A story of Stewart from Njiro Arusha and Anne daughter of American millionaire

    Eti machalii ya Arusha wako smart, stupid ass mofo. Kua smart ndo kuvizia wazungu ili upate mteremko wa maisha, we jamaa bonge moja la boya. What a dick head you're.
  3. Simbou

    A story of Stewart from Njiro Arusha and Anne daughter of American millionaire

    Ndoto kama hizi nilikua naota nikiwa mdogo, we mpaka leo bado unaota...utasanda blaza, wake up!!
  4. Simbou

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Mkuu nahitaji sana hiki kitabu. Unacho kwenye softcopy au hardcopy? Peter
  5. Simbou

    Project funding sources

    Mkuu ebu tuchekiane kwenye emeail yangu (pamos@amend.org) tufanye kitu
  6. Simbou

    Nani yuko macho tupige stori?

    Vidume tupo jamani tumetulia tulii tunatafakuri
  7. Simbou

    Nani yuko macho tupige stori?

    Ujue jamii forum ingekua na kitu kama messenger hivi ambapo waliopo online wanaweza chat privately one to one. Ingeweza kuitwa Jamii messenger. Ni mawazo yangu tu wanajamii
  8. Simbou

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    An eye for an eye bila hivi dunia haitokua mahali salama pa kuishi. Imagine majambazi yanayoua watu innocent kikatili unadhani kunyimwa tu uhuru wa kuzunguka mitaani ndo adhabu tosha!!? Tena kunyongwa ingebadilika iwe kuchinjwa kwa msumeno.
  9. Simbou

    Huyu ndo mwanafunzi wa chuo kikuu ..aliye uwawa kikatili na mumewe kisha mwili wake kuuficha stoo...

    Alafu kwa hali hii kuna wanaosema hukumu ya kifo ifutwe!! Inatakiwa tena iongezewe maumivu, isiwe kunyongwa bali kuchinjwa na panga butu.
  10. Simbou

    ZINGATIA-Mnaoweka matangazo ya kazi humu

    Hii ndio tunayoita SPOON FEEDING ambayo ni tabia yetu wabongo. Elimu yetu ipo hivi na tunaingia mtaani tukiwa na tabia hii alafu unalalamika kazi hazipatikani. Utasota mtaani kama walivyosota wafuasi wa Kibwetele.
  11. Simbou

    Hii ndio Lamborghini ya kwanza kuingia bongo

    Pesa mingi mpaka inamwagika
  12. Simbou

    Chance kwa member wa jf mwanamke/mwanadada kutembelea dubai

    Bonge moja la changa.
  13. Simbou

    Picha: Mwanamke aliyedaiwa kubakwa,hadi kufa alivyozikwa na manispaa morogoro

    Duh, binadamu tumekuwa wakatili kuliko wanyama nowadays. Damu ya binti huyu itawahunt popote walipo washenzy wote waliohusika kwa namna moja ama nyingine ktk utekelezaji wa unyama huu.
  14. Simbou

    Adhabu ya Kunyonga Hadi Kufa imepitwa na wakati?

    Uwepo wa hukumu ya kifo, achilia mbali utekelezwaji wake au la, ni tishio tosha la kuwaogopesha wengine kutenda kosa la mauaji. Tukisema hukumu ya kifo ifutwe kabisa ktk sheria nauhakika mauaji yataongezeka. Mtu atamuua mwenzie akiweka akichwani kwamba adhabu yake ni kutokua na uhuru wa kuzurura...
  15. Simbou

    Ufinyu wa ujuzi wa kiutawala kwa Mh. waziri mkuu

    Tar 30 Jan. waziri mkuu alitangaza kuwa madaktari warudi kazini, na kwa yeyote ambaye angepinga kutii tamko lile anakua amejifukuzisha katika sekta ya umma. Na aliahidi kuwa katika kupambana na hili yupo tayari kuchukua madaktari wa jeshi wasaidie (back-up). Jana tar 09 Feb. amekubali kukaa na...
  16. Simbou

    Hii ndo mistari ya bongo fleva iliyoandikwa na mwanafunzi wakati akifanya mitihani ya kidato cha 4

    Dogo kalamu hataki, anakipaji cha kurap ebu akuzwe ktk kipaji chake. Kina Jay Z walitokea huku.
Back
Top Bottom