Search results

  1. Kakulwa P

    Siasa za Mwenyekiti CCM Mkoa na hatima ya wananchi Geita

    Kwenye kipindi cha Medani za Kisiasa juzi, huyu jamaa hana hoja yoyote aliyosema licha ya kuwasikiliza wenzake wakichambua kwa ufasaha hoja za raslimali zinavyotumika vibaya. Kweli mafisadi wameweka mabua ya kuwapigia kura waweze kula nchi yetu. Huyu mwenyekiti ni BOMU KABISA.
  2. Kakulwa P

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Muda umepita matangazo yamekatika kwenye hii link.
  3. Kakulwa P

    UCHAGUZI USA: Comment toka kwa mpiga kura wa Republican.. uchaguzi huru.. uzalendo mbele..

    Kama hapa kwetu matokeo yangekuwa yanatangazwa mapema kama huko USA uvumilivu wa kisiasa ungekuwepo. Lakini hapa kwetu kura za kata matokeo yanachukua siku saba, uraisi kituo kinakuwa na matokeo tofauti na yale yaliyopo tume ya uchaguzi, kwa vyovyote hata kama ni mlokole mashaka lazima yawepo...
  4. Kakulwa P

    USHINDI wa Obama ni fundisho kwa wapinzani nchini Tanzania

    Ndugu yangu Nape. Salaaam. Inawezekana unafahamu vizuri siasa za USA na TANZANIA, lakini kwa uzi wako unajaribu kuleta yale yasiyo na MASHIKO. 1. Siasa za USA ni za uwazi sana kuanzia mgombea mwenyewe, mali zake na pesa za kampeini zitakazotumika. NYIE CCM HILO HAMUWEZI NA HAMTAKI LIWEPO LA...
  5. Kakulwa P

    Jina la mto NGONO lamuudhi mkuu wa mkoa Kagera

    Nawashukuru kwa maneno yenye maana tata kwa makabila yetu, na ndio maana tunaunganishwa na UTANZANIA maneno tunayaacha kwa wahusika. Wakati anawahutubia wananchi aliwaagiza kuwa kila chama cha ushirika cha msingi wawe na saccos waweke amana zao pale, hilo neno AMANA ni tusi hakupenda...
  6. Kakulwa P

    Jina la mto NGONO lamuudhi mkuu wa mkoa Kagera

    Nawashukuru sana wadau. Kuna huduma za kibenki nchini na kwenye makundi ya kijamii, pia yeye huyu Mkuu wa mkoa siku hiyo aliwaambia hao wananchi kuwa na saccos kwenye vyama vyao vya ushirika vya msingi wawe na AMANA. Neno alilotumia kwa kihaya ni tusi wala halitamkwi mbele ya watoto lakini yeye...
  7. Kakulwa P

    Jina la mto NGONO lamuudhi mkuu wa mkoa Kagera

    Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe, kupitia vyombo vya habari jumatatu wakati akihutubia mkutano kwenye wilaya mojawapo Mkoani Kagera, aliwataka Wananchi wa Mkoa huo kubadili jina la mto NGONO kwa madai kuwa jina hilo ni baya na anashindwa kulitamka kwa kuwa linamaanisha...
  8. Kakulwa P

    Vyama vya Upinzani Kushindwa Katika Chaguzi Ndogo, Viongozi lazima Wawajibishwe

    Kabla ya hukumu yako unayoitaka, utujuze ni chama gani kimepoteza kata zake za awali. Ukifanya hivyo kesi yako itapata hukumu nzuri maana kata zilizokuwa wazi ni 29 ambazo zilikuwa zipo mikononi mwa chama kipi na sasa imekuwaje. Demokrasia siyo CCM ikigombea ishindwe kabisa au CUF ikigombea...
  9. Kakulwa P

    Ni kweli bila Nyimbo kusini CHADEMA imekufa?

    Huyo mzee Thomas Nyimbo hakuja CHADEMA kuwa mwanachama, alikuwa anataka kuendelea kuwa Mbunge, huyu mzee ni kama jamaa wetu wa Maswa Maghale Shibuda. kadi anayo moja hivyo hakuna haja kuhangaika naye. Amekosa alichohitaji na kesho mtasikia karejea CCM akisema ndicho chama pekee kilicho safi, au...
  10. Kakulwa P

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Dr. Mie nikushukuru kwa hizi taarifa za ushindi uliopatikana ambao ni mkubwa sana. Mimi naona ni mkubwa kwa sababu wapiga kura wengi ambao wanapenda mabadiliko HAWAJAANDIKISHWA KWENYE DAFTARI LINALOTUMIKA SASA, nikimaanisha wapiga kura ni wale waliochagua 2010 hivyo wapo wengine wenye umri wa...
  11. Kakulwa P

    Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini...

    Kwa mujibu wa hadithi hii ya Mtume S.A.W inafundisha ustahimilivu bila kujali huyo Bedui alikuwa amelewa, alikuwa kichaa au vyovyote vile maana kinachosemwa ni kitendo cha kukojoa eneo takatifu bila kujua. Sheikh mkuu wa Mkoa wa Dar aliyasema maneno hayo siku ya tukio la Mbagala TBC alikuwa na...
  12. Kakulwa P

    Maandalizi ya halaiki ya sherehe za kuzima mwenge yagharimu shilingi milioni 100

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga leo clouds fm (jicho la ng'ombe) anasema wanafunzi hawapashwi kudai hela maana walipewa suti za sherehe zenye thamani ya 30,000/- kwa idadi ya washiriki 650 hivyo wakipewa elfu 20,000/- kwa Taifa maskini hela karibu 13,000,000 ingetumika, waliwaita watoto ili wajitolee...
  13. Kakulwa P

    Jaji Warioba na Pro.Shivji wabishana kuhusu Bunge la Katiba

    Ndugu yangu Aweda, kumbuka huyu Jaji Warioba ni mjumbe wa CCM shina huko Msasani anapoishi. Lakini tujue kuwa hii Tume kwangu naiona kama haiko makini sana ila wanakwenda kukidhi haja ya Taifa kuwa na kitu kiitwacho Katiba. Sababu zipo za kutosha kuwa haina mafanikio tunayoyataka sisi wananchi...
  14. Kakulwa P

    CCM na Rushwa: Uchaguzi CCM Mkoa Pwani wavunjwa kwa Rushwa.....

    Kwenye alama nyekundu hao ndio walisababisha kikao kuvunjika kwa kuwa ilionekana mtu wao hawezi kupita wakaleta kisingizio cha rushwa, mbona sehemu nyingine rushwa ilikuwepo waziwazi na uchaguzi ukafanyika. Mkuu wa Mkoa alikutana nao kupewa maelekezo ya kufanya,maana kila mkutano una msimamizi...
  15. Kakulwa P

    Waraka Maalum kuhusu URAIS kwa Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA

    Nami naunga mkono wote ambao wanaona mawazo ya Molemo yanavyojenga ustawi wa Chama, hivyo kama wale walio kwenye ngazi ya kamati kuu walizungumze lakini kwa TAHADHALI kubwa maana hawa jamaa watajwao wanatumia katiba ya nchi kutaka kugombea. lakini wana hatari kubwa kwenye chama chetu maana...
  16. Kakulwa P

    Sheikh Ponda Issa Ponda SIYO Mtanzania....

    Kama Ponda si raia wa Tz, mbona kuna wengi tu ambao wakionekana kupinga CCM wanaondolewa uraia wao na pindi wakirudi wanarudishiwa uraia na kupewa vyeo. BASHE, KESSY Mb, na wengine. Huyo ponda kwa kutetea imani yake anaondolewa uraia.
  17. Kakulwa P

    Ufisadi wa Kutisha TACCEO

    Ufisadi uko wapi wewe binadamu? Inawezekana hujatambua maana ya budget. Inaonyesha tukio na matumizi yake! Labda utuambie hasa unachokusudia kusema hapa jamvini au kama hukulipwa kulingana na budget yao useme item husika. Vinginevyo tuna mambo mengi ya kujadili acha UMBEA.
  18. Kakulwa P

    Fao la kujitoa kulikoni?

    Wazo lako ni zuri, maana kuna Mbunge wa CCM alipita kwenye mikoa kukusanya maoni ili Mnyika asifanikishe azma yake. Kabla ya kuahirisha kikao Mbunge huyo aliwasilisha hoja yake na ikaungwa mkono, walipotoka Posho town wakaingia kwenye chaguzi ndani ya CCM kila mmoja akitaka awepo kwenye NEC...
  19. Kakulwa P

    Kumbe kutekeleza ahadi kazi: Mjane wa Mwangosi alia na Slaa

    Ndugu yangu nakuunga mkono, ahadi yenyewe ya kumsomesha mtoto ambaye anaanza mitihani tarehe 08.10.2012, sasa huyu mjane ITIKA anataka ahadi ilipie kitu gani wakati mtoto hata mtihani hajamaliza? Inawezekana huyu mama amejiingiza kwenye mambo ya CCM anatumika na analijua, ni vema afundwe kuwa...
  20. Kakulwa P

    Bashe unahujumiwa CCM!

    Mawazo yako yapelekwe kwa TENDWA ili afute hicho chama ambacho viongozi wake wanahatarisha maisha ya wenzao, au hilo hajaliona ili awaite wanahabari atangaze nia ya kuifuta CCM? Kama ushahidi hautoshi kuna ile sakata ya ADEN RAGE pale Igunga na Mguu wa kuku kiunoni.
Back
Top Bottom