Search results

  1. M

    Mapungufu ya Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa

    Kama haya ndio unayaita mapungufu basi anafaa kuwa rais. Kama kweli unahulka ya upembuzi yakinifu compare and contrast mapungufu kati ya Kikwete na Slaa. Ili wenye akili timamu waone.
  2. M

    Mbunge Lema akamatwa na Polisi!

    Hongereni kwa kutupa updates muhimu. Huenda ilipasa muwe mmelala usingizi wa usiku wa manane lakini mmefuatilia tukio hadi mwisho kwa usiku huu. Mungu amlinde huko ndani wasimtende vibaya. Kesho wananchi wa Arusha mjini wajitokeze kwa wingi kwenda Central Polisi kumwona huyo kamanda wa ukweli...
  3. M

    Hongera Mh.William Vangimembe Lukuvi

    Vibaraka wa CCM mna kazi kweli. We ndio umeingia shifti ya usiku mnene? Day najua mnalipwa sh. ngapi; Je night ni sh ngapi? Lukuvi hakushinda kihalali Ismani alimnunua huyo Dr wako. Utaona 2015 ataikimbuka nafasi yake ya ukuu wa mkoa lakini hataipata tena maana hakutakuwa na wakuu wa mikoa.
  4. M

    Polisi wafanya uvamizi Nyumbani kwa Lema Usiku...

    Jeshi linalotumia giza kufanikisha mikakati yake badala la Intelegensia sio jeshi bali mob of individuals ready to seek injustice and practise it. Sha,e upon them
  5. M

    Shukrani kwa ukaribisho - Anna Tibaijuka

    Karibu sana Mama hapa jamvini. Amin Amin nakwambaia si mwili na nyama vilivyokuongoza kuona umuhimu wa kujiunga na wanajamvi bali kwa kwa uweza wa roho ya mabadiliko katika kuijenga Tanzania ya kweli ili vizazi vijavyo vifaidi maziwa na asali ya Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar a.k.a Tanzania...
  6. M

    Kimenuka Liwale, mabomu kwa kwenda mbele! Nyumba kadhaa zachomwa moto...

    Alunta continua; Mapambano yanaendelea.
  7. M

    Serikali ijiandae na mlipuko wa vijana wengi ku-commit suicide baada ya ushindi mkubwa wa CCM 2015

    Lazima useme hivyo maana mpo likizo kufikiri katika kila idara na ni wazi kuwa mawazo mgando kama haya katika likizo hiyo hayawezi kukosekana. Nakutakia mafanikio mema ya kufikiri ndani ya uzio wenye giza totolo wa CCM.
  8. M

    Video Clip: CHADEMA walivotolewa bungeni jana/ Serukamba akitukana live

    Kunya anye kuku akinya bata kaharisha. Ndicho ninachokiona namna CCM na kita chao cha spika wanachokifanya.
  9. M

    Usalama wa taifa: wasira anajichanganya

    Ndio zao kuzunguka mbuyu
  10. M

    Abdulrahaman kinana na Nape Nmauye ndani ya ifakara.

    Acha unafiki hizo zi mmesafiri nazo toka Dar mkawapa wananchi baada ya luwapa posho kidogo ili wazirushe mkimaliza umbea wenu. Au mnadhani intelegensia ya mabadiliko haijawanasa?
  11. M

    Filikunjombe: Serikali ya CCM imevaa miwani ya mbao

    Wana Ludewa tumemtuma afanye kazi ya kuwatetea wananchi na ndio anayoifanya. Hajaenda Bungeni kuitetea CCM. Watamkubali tu. Na 2015 kwa kuwa wana Ludewa tunachagua mtu na si chama hata akijiunga na chama kingine chochote tutamchangua tu. Ludewa Oyeee!!
  12. M

    PICHA: MAMBO MOTO MKUTANO WA CCM RUAHA, KILOSA - Morogoro LEO

    Na hizo fuso pamoja na Toyo zomefanikiwa kupata wananchi toka kama kata ngapi hivi ukiunganisha na vijiji vya wilaya za jirani?
  13. M

    Yaliyojiri Mahakamani kwenye kesi ya Lwakatare

    Kwa hili mahakama kuu ihakikishe haki ionekane ikitendeka
  14. M

    Yaliyojiri Mahakamani kwenye kesi ya Lwakatare

    Wasiwasi wangu ni endapo CCM haitaingilia uhuru wa mahakama kuu kama ilivyofanya mahakama ya kisutu. Kila tukio linashusha umri wa CCM kuishi geometrically.
  15. M

    Nini tofauti kati ya CHADEMA na utawala wa Idd Amin?

    Siri ya mtungi aijuae ni kata. mbona unapiga propaganda za kitoto ambazo hata mtoto wa Primary anaweza kuzing'amua kinagaubaga? Tafuta propaganda za kiutu uzima si hizi za kitoto.
  16. M

    Hussein Bashe: Ninaamini Mitazamo na Fikra za Lowassa!

    Halafu we mbona ndio umejunga leo? Umetumwa au ni utashi wako umekuleta jamvini au hii ndio ID yako ya tano hapa JF? Anyway ngoja nisikushambulie niende moja kwa moja kuishambulia hoja uliyoiwasilisha. Kwa sababu kama Mungu angehesabu maovu hakuna ambaye angesimama; Lowassa an aweza kutubu kwa...
  17. M

    Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Naunga Mkono hii hoja kutokana na misingi ya chimbuko lake. Hoja hii imejikita katika misingi ya imani. It is reality that you cannot reason faith since faith it is not grounded on logic. Hasa kuna wadau naona mapovu yanawatoka mdomoni kwa sababu ya uvivu wa kufikiri misingi ya chimbuko la mtoa...
  18. M

    Mizengo Pinda: Mawaziri wazembe kufukuzwa kazi

    Je rais na Waziri mkuu wazembe watafanywa nini? Mi naona tufanye kama China wapigwe risasi hadharani.
  19. M

    Pichani: NAPE ATINGA MOSHI

    Mbona huyu alikuwa kijana lakini naona anazeeka kwa speed, CCM haijampenda nini!
  20. M

    Mwigulu Nchemba arudishiwa kadi za CCM mgogoro wa LOLIONDO!

    Kumtuma Mwigulu kusuluhisha mgogoro wa Ardhi Loliondo ni sawa na kumtuwa Wassira aende akasuluhishe mgogoro wa uchinjaji Mwanza. Utegemee maafa kuliko faida.
Back
Top Bottom