Search results

  1. roja24

    Msaada jinsi ya kufanya malipo ya bidhaa, Aliexpress, Alibaba na sehemu nyingine zenye bidhaa kali in Tanzania

    Jaman wapwa msaada JINSI ya kufanya malipo ya bidhaa kwenye Alibaba, AliExpress na nyingine Kwa urahisi kama ilivo kwenye kiApplicaton Cha Kikuu Please [emoji3064]
  2. roja24

    Msaada wa Engine na Gear Box

    Wadau mie nahitaji msaada , nnaka Verossa kangu nataka nipige chini Engine na Gear Box. Je ni wapi ntapata vitu hivo Kwa uhakika wa Bei nafuu (reasonable price) , spea za uhakika (Genuine spares), hakuna madalali (No middlemens), Na duka lenye kutoa risiti (receipts). 1 . Engine ya Beam...
  3. roja24

    Engine ndogo

    Thanks, ni beam 2000, GX 100 Ila Bado swali la pili ...Ni wapi ntapata kwa uaninifu na uhakika hasa uzima , ukiacha kudakana dakana ilala pale
  4. roja24

    Engine ndogo

    Wanajamvi, tafadhali naomba kuuliza engine za Verossa VVTi , bila magumashi Dar hii ntapata wapi!? Yangu imezingua na nataka niipige chini iliyopo Ili ni exchange gari nyingine, Je Bei zake zipoje kwa Sasa engine za Toyota Verossa VVTi
  5. roja24

    #COVID19 Tumpuuze Askofu Gwajima kuhusu Chanjo ya Corona

    Ahahaha nimecheka kifala, hilo Sio tusi kila mwenye akili timamu na Afya njema ni mcheza porn. Ndo maana watu wanaoa na kuolewa....just porn hub
  6. roja24

    TOYOTA VEROSSA

    Aisee nashukuru, Sana ubarikiwe
  7. roja24

    TOYOTA VEROSSA

    Asante KWA ushauri RasuliMo. Ubarikiwe sana
  8. roja24

    TOYOTA VEROSSA

    Jamani wanajamvi Mambo vipi. Msaada, ninakigari changu Aina ya VEROSSA kilikuwa kinazingua mis mis, nkakipeleka KWA gereji, wakamwaga Hydrolic na kuweka nyingine lakini haikusaidia, Mara ikagoma kabisa gia kuingia sio kwenda mbele Wala kwenda reverse haitembei kabisa. Tatizo ni gia box au...
  9. roja24

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    msaada wadau, NNA MACHAGUO 3 1 . SUBARU XT 2010 2. BMW X3 3. NISSAN MURANO Naomba maoni kitaalam kwa safari na ubora....(usiweke kigezo Cha Kula Mafuta) Nihamie wapi katika Izo SUV?
  10. roja24

    Wazee, Husna wa Corner Bar yupo wapi?

    Connection wadau
  11. roja24

    Wapenda novel jamanii tujuane

    Nitaitafuta hii mzee
  12. roja24

    Must see Movies

    Constantine - Keen Reeves
  13. roja24

    Wapenda novel jamanii tujuane

    Habari, wanajamvi/wapwa. Leo Nimekuja na mada Kama inavojieleza, Mie Ni mmoja wa wanaopenda kujisomea vitabu na movie pia. Ila KWA Sasa naomba tujuzane VITABU /NOVELS Kali Kali na zenye kusisimua ambazo hazichoshi na unaeza kaa kwenye Mwendokasi Mpaka unafika kimara hujaangalia nje dirishani...
  14. roja24

    Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Tutumieni na sisi tuzione hizo Papa zinazohitaji topaz
  15. roja24

    Uchaguzi 2020 Rajab Abdul "Harmonize" kugombea ubunge Tandahimba

    Unataka kugombea!? Kama huzijui toka nje utaziona
  16. roja24

    Makonda: Wanaume wafanyakazi wakatwe asilimia 40 ya mishahara yao wapewe wake zao

    Sina mengi saaana nitaandika kwa Kifupi ikisapotiwa na picha. #tafadhali RC jiji letu KAMUULIZE RAHEEM STERLING ugumu wakazi aliyoifanya alafu KUKATWA 40% Rejea na picha Sent using Jamii Forums mobile app
  17. roja24

    Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

    Mpwa naomba Ni DM naihitaji Sent using Jamii Forums mobile app
  18. roja24

    Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

    Weka sie waangaliaji tupo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom