Search results

  1. M

    Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..

    Namlilia RC RUKWA Kamishna mstaafu Zelothe Stephen Zelothe ambaye ametolewa. Kafanya bidii kwa mkoa wa rukwa. Rukwa Kwetu Ila labda atapangiwa kazi nyingine.
  2. M

    Mrejesho: Forex ya Ontario

    Hivi huyo Ontario anatumia IQ option app ya kufundishia?
  3. M

    Akombe: IEBC's chairman Chebukati is under house arrest

    Wakenya musikubali. Nchi haiwezi kuendelea na kuchuma kwa machafuko. Musikubali wanasiasa wawarudishe nyuma. Uchaguzi umalizike na maisha yaendelee. Haya maisha yenu ya sasa hivi, watoto hawaendi shule, wakenya hawafanyi biashara, basi hofu moja kwa moja
  4. M

    Hussein Gonga yule Tajiri wa Tanzanite ajitolea kujenga nyumba za polisi!

    Ili afunguliwe geti la ukuta? Akumbuke kuna wanajeshi pia.
  5. M

    Majiji ya Dar es Salaam na Mbeya yaongoza kwa kuchangia pato la Taifa

    Tunduma iko mkoa wa Songwe sio Mbeya. Labda wamejumuisha mikoa mitatu ya songwe,njombe na mbeya yenyewe ili kuongeza mapato
  6. M

    Mh. Kigwangalla, karibu Maliasili na Utalii. Anza na hawa majangili wa Ruaha National Park

    Barafu kwanini usimshike mkono ukampeleka kumwonesha ujangili uliofanywa ni huu, na mali zilizoibiwa ni hizi na mwenyewe ni huyu. Acha uongo usio na maana na ukweli. Watu wanamiliki sehemu kwa sheria za nchi. Na ni kwa ajili ya wageni wao ambao wanalipia kila kitu kwa utaratibu wa serikali. na...
  7. M

    Kwa mliotembelea dunia: Hivi kuna nchi yenye traffic police wengi barabarani kama Tanzania?

    1billion kwa siku 10 kwa dar pekee. Natumai hizi fine zitakuja kuwa no.1 ya mapato ya nchi. Atakayeweza kutengeneza app ya kuwatag hawa trafik barabarani atapata hela nyingi sana.
  8. M

    Serikali kupitia Waziri Mwijage wamjibu Dangote: He is not aware with the pre existing laws!

    Ilikwepo toka uwekezaji wake uanze ila inaonekana ilikuwa haifatiliwi au kutumika rushwa wakati wa nyuma.
  9. M

    Serikali kupitia Waziri Mwijage wamjibu Dangote: He is not aware with the pre existing laws!

    Sio jambo zuri kwa dangote kutuharibia promo Tz kuhusu wawekezaji huko kwenye media. Na yeye kama public figure katika uwekezaji africa inawagusa na kuwaogopesha hata wawekezaji wengine. Ila kama hilo 16% interest ya kampuni inachukuliwa na serikali basi hakuna budi serikali iyapokee...
  10. M

    Jinsi ya Kuibadili Tanzania kuwa ulimwengu wa pili

    Viwanda: 1. Naona matajiri wanakimbia sera hii kutokana na kuogopa kuingia hasara kwa kuwapo na gharama kubwa za uanzishwaji na uendeshwaji kiwanda, wasiwasi wa upatikanajinwa rasilimali ya kutosha na soko la kuridhisha. Mtu anaweza kudiriki kuagiza mzigo mkubwa kutoka nje na akauza hapa kwa...
  11. M

    Rais Magufuli afanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri. Juliana Shonza aula, Maghembe out..

    Nawapa pongezi. Angela Kairuki Mtaalamu wa sheria natarajia ataimudu Wizara ya madini. Dr. Kigwangwalla ni Mtaalamu wa Afya ya Umma na Biashara na wakati wa unaibu waziri wake wa afya kujituma kutembelea zahanati, vituo vya afya na hospitali mikoa mingi nchini nafkiri pia ataweza kumudu...
  12. M

    Serikali inayotamba kuwa ya "masikini" yamaliza miaka miwili madarakani bila mkakati wa kuondoa umasikini

    Acha maneno mengi. Program zote zilizotengenezwa na serikali zilizopita nazo hazikufanikiwa zaidi ya kuwa kwenye makaratasi na majukwaa tu. Ikiwa unataka kujua mikakati ya JPM ya kuondoa umaskini nayo ni kujenga miundombinu, elimu bure, usisitizo wake wa viwanda, kuendeleza umeme wa REA, maji...
  13. M

    Waliochaguliwa MUHAS diploma tukutane hapa

    Una Div. 1 point 15 kwanini umechagua diploma?
  14. M

    DURBAN: Bakhresa(Azam) anashindana na wazungu sasa

    Ni jambo zuri . Ni jambo zuri. Ila uelewe kuwa Wasomi ndio wanaomshauri na kutengeneza plans zake ya uzalishaji na masoko Africa. Usione mawazo hayo yake ni yake tu. Pili Azam ana Grain Milling Tanzania mainland, Zanzibar, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, na Mozambique. Kwa hiyo hayo...
  15. M

    Mfahamu Noureddine wa Genk kwa Samatta

    Unajua nchi za europe watu very independent hawakai kubadilishana mawazo hata majirani kwa hiyo wanahisi wapweke sana. Hasa unapokutana na mwafrika aliyezoea maisha ya kusabahiana, kupiga soga. Hata kama ana pesa ila wanakosa raha ya kubadilishana mawazo na wenzake. Sasa ukimpatia kwa story...
Back
Top Bottom