Search results

  1. Mwongozo wa Spika.

    Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

    Nimekusoma boss. Sounds like king'amuzi cha nje hakikwepeki, maana kwa mfano Startimes unatumia antena, ila Zuku unatumia dishi, so, likely itabidi mtu achague moja; ama kutumia minara ya startimes au aweke dishi la kawaida ambalo tunaambiwa baadaye wataondoa channel za kibongo. Au nimekosea...
  2. Mwongozo wa Spika.

    Kuelekea Mfumo wa Utangazaji wa Digital: Maswali na Majibu Muhimu

    Wakuu, hivi ikiwa nitanunua hizi tv za digital ambazo zina king'amuzi ndani, nitatumia account gani? Kwa sababu kila service provider ana king'amuzi chake, kwa technology yake. Au hizo tv ni universal, kwamba inakubali kila mtandao!
  3. Mwongozo wa Spika.

    Hili ni kwa watalamu wa mambo ya umeme wa TANESCO.

    Wakuu ninatumia mita ya umeme ya digital, lakini katika siku za karibuni imekuwa na tatizo. Imekuwa inahesabu ikifika mahali inarudi kwenye 000.00 units then inaanza 001.00 na kuendelea. Imekuwa ikifanya hivyo mara kwa mara. Swali, je tatizo lipo kwenye mita au ni kwenye mfumo wa umeme ktk nyumba?
  4. Mwongozo wa Spika.

    Ttcl broadband

    Vipi mkuu, wewe ni mgeni mitaa hii?
  5. Mwongozo wa Spika.

    Uandishi wa makala kwenye magazeti

    Kumbe ndio maana watu wanaingia tu nakutoka, hawacomment.
  6. Mwongozo wa Spika.

    Wameniibia....

    Kumbe inawezeka?! Mimi waliniibia kama 3wks ago (Moshi-mjini) sikuona sababu ya kutangaza hapa maana nilijua imeisha kula kwangu basi, na sasa nipo kwenye mchakato wa kutafuta nyingine. Anyway, ingawa ni siku nyingi sasa ila kama ikitokea ikapita mikononi mwenu naomba msaada wenu wakuu...
  7. Mwongozo wa Spika.

    Zuku tv kiboko

    Ni mwendawazimu tu anayeweza kulinganisha huduma za Dstv na haya makampuni mengine. Kweli jamaa garama zao za kufunga dish na hiyo receiver yao ziko juu, ila ukishafunga wana vifurushi mbalimbali ambavyo unaweza kumudu kulipia. Hiyo 16,000/= (Access) ilikuwa mwaka jana,sijui sasa hivi itakuwa...
Back
Top Bottom