Ni nchi zipi duniani zimefanikiwa kutokomeza ufisadi?
Kwa Tanzania mtu akiiba au kujipatia utajiri wa haraka, ndio anaitwa fisadi, je hawa ambao hawatekelezi majukumu yao ipasavyo tunawaweka wapi?
Tunao viongozi mfano wa Pinda ambaye sijasikia akisemwa kuwa kajitajirisha wala kujikusanyia...
Hapa suluhisho la kudumu na la maana ni kuhakikisha serikali inapunguza matumizi yasiyo ya lazima na anasa na wakati huo huo kuongeza pato la taifa kupitia uzalishaji bora na wa kutosha kutoka katika rasilimali zetu.
Pia wazingatie ulinganifu wa thamani ya pesa wanazolipa kwa wazabuni na...
CCM imechafuka sana, haifai tena hata kidogo; hata Sokoine na Nyerere wafufuke; CCM imepindukia kwa ufisadi na umafia; tutafute chama mbadala mapema; CCM muda waliokaa madaraka umeshawalewesha sana, sasa inatosha!
Huyu spika wa sasa na Waziri wake mkuu wasipuzinduka na kuacha propaganda na ushabiki wa kiCCM ndani ya Bunge, wanaaibisha sana. Wabunge wengi wa upinzani ni vijana makini na jasiri sana, zile enzi za ndio mzee na nidhamu za woga na kinafiki zimepitwa na wakati. Hizi ni zama za ukweli na uwazi...
The Seven Traits of Skillful Leadership
This article emphasizes the importance of refining your leadership traits along seven dimensions. It assumes that traits of leadership must be neither too hot or...
Kwa kuwa ni sherehe za mapinduzi ya Zanzibar ambayo yalitokea kabla ya Muungano na kwa kuwa mkuu wa serikali hiyo ya mapinduzi ni rais wa Zanzibar, mwenye madaraka zaidi katika hilo ni rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na si rais wa Muungano; - Ni mawazo yangu tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.