Search results

  1. Typhoid

    Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

    Most of the time these kinds of female kills their husband. You can’t forget someone who apologized to you?
  2. Typhoid

    Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

    Kabla ya kuchukua uamuzi wa mtu yeyote humu fikiria kwanza ukimuacha itakusaidia kuondoa hasira ulizo nazo? Binadamu tuna madhambi makubwa, kusameheana ni jambo muhimu sana. Mimi nilicheat kwa wife, sikutaka kucheat kabisa ila tabia zake ndo zilinisababishia kucheat. Ilivyotokea kweli alijua...
  3. Typhoid

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Nahisi huu uzi umegeuka kuwa simulizi za Shigongo, anyway wacha tuendelee kusoma.
  4. Typhoid

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyo atakua hana papuchi, kuna watu wameumbwa wanawake+wanaume, kama ana homoni za kike wanakuwaga wazuri sana ila ndo hivo hawana papuchi, nawajua wengi na wamewaliza wanaume wengi. Mwanamme unakomaa kutongoza kumbe binti sio binti, sio Makosa yao, ndo walivyozaliwa, na kwa tamaduni zetu...
  5. Typhoid

    Umeshawahi kumla shemeji yako?

    Binadamu tuna madhambi makubwa msinihukumu Katika harakati za ujana kuna sehemu binadamu tunakosea, kutenda kosa sio dhambi ila kurudia kosa ndo dhambi. Mimi najutia kulala na mke wa kaka yangu. Kaka yangu ananizidi miaka 30, ana wanawake watatu, mke wa mwisho ndo nililala nae, wote tulikuwa...
  6. Typhoid

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mimi kama kijana wa kiume naumia sana mana nilibikiriwa na mtu anaenizidi umri, ilikuwa ni utani tu nikashangaa namla bila kutarajia. Nakumbuka nilipita karibu na duka lake akaniita, akaniuliza unakunywa pombe? Nikamwambia ndio, akasema njoo kwangu saa mbili nitakuwa nimefunga. Ilikuwa mara...
  7. Typhoid

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    Nina uhakika alikuwa akijiandaa na kampeni, kumbe Mungu kampangia kazi nyingine...RIP mzee wetu
  8. Typhoid

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    He’s trying to justify other human’s being death, so sad
  9. Typhoid

    TANZIA Benjamin William Mkapa, Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu afariki dunia

    RIP mzee Mkapa, ni Mungu tu anaejua idadi ya siku za mwanadamu hapa duniani.
  10. Typhoid

    Uchaguzi 2020 Makonda akipitishwa, Bashiru na Polepole mjiuzulu

    Siasa sasa hivi ndo ajira kubwa toka serikalini, mtu anaona ni bora atetee njaa kuliko kutumia akili zake za kawaida. Wasomi hawana ajira wanakimbilia siasa, nafasi moja ya jimbo I gombea uwanja watu 700, hii si dalili njema kwa mustakabali wa nchi.
  11. Typhoid

    Uchaguzi 2020 Makonda akipitishwa, Bashiru na Polepole mjiuzulu

    Kati ya watu ambao siwaamini ni Polepole, anayoyasema si anayosimamia.
  12. Typhoid

    Visa lottery majibu yametoka

    Mkuu nipe pongezi mimi nimepata, ila kwa sasa niko US ninasoma. Nimeangalia kwa tulio US tunaweza kufanya kitu inaitwa adjust status, je hii inachukua mda gani? Nimeona maelezo wananiambia naweza kwenda kwenda local USCIS na kuadjust status yangu, ila kwenye entree nimeona kwamba lazima...
  13. Typhoid

    Chris Lukosi aelezea sababu zilizomfanya arudi CCM

    Tuna kazi kubwa saana, na safari ndefu sana kuijenga nchi yetu. Watz tuna akili finyu sana, uwezo wetu wa kufikili bado uko matakoni haujafika hata kiunoni. Hizi siasa za kupondana na kujionesha kamwe hazitatusaidia kulijenga taifa yetu, yani ni aibu mtu mzima tena anaeishi UK anakuwa na akili...
  14. Typhoid

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Masela kama wa wale wa libolo
  15. Typhoid

    Mathematical Wonder

    Good job, thanks
  16. Typhoid

    Salma Kikwete Cheo chake ni kipi kikatiba?

    Una maana gani mkuu fafanua.
  17. Typhoid

    Njia pekee za kumaliza mauaji ya albino nchini, Ushauri wa bure kwa Jeshi la polisi

    Yani kwa ushauri wako huo tayari umisha ukosa ubunge wa Iringa, uko shallow
Back
Top Bottom