Search results

  1. makongoromusa

    Nafasi za kazi leo tarehe 13 january 2014

    VACANCY ANNOUNCEMENT. TANZANIA YOUNG HEALTH RESEARCH SCIENTISTS (TAYOHERES) is a nongovernmental non political organization established in Tanzania to serve for the interests of young medical researchers of Tanzania. The main goal of TAYOHERES is to improve the research skills for the most...
  2. makongoromusa

    Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

    Katika kile kinachoitwa ni kujidhalilisha na kuonyesha wazi kwamba kuna baadhi ya vijana wanatumiwa na ccm ya ben saa nane yametimia leo pale shonza na mwenzake bila aibu wameamua kujionesha wazi kuwa wapo tayari kuuza UTU wao na KUWASALITI watu wanyonge. Kila mtu mwenye akili timamu sasa hivi...
  3. makongoromusa

    Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

    juliana shonza na mwenzako mmekubali kujidhalilisha na kuuza utu wenu na kuwasahau wanyonge na hata ndugu zenu masikini dhambi hii itawarudia
  4. makongoromusa

    Wajumbe wapya wa Kamati Kuu CCM hawa hapa...

    kama kweli moto chini akauanzishe mnyukano wa UFISADI,WIZI WA TEMBO,UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA,RICHMOND NA BOMBA LA GESI YA MTWARA....aache siasa za kina nape nnaupe..ANAEONGEA kwa kuuruka ukweli.
  5. makongoromusa

    Bunge la bajeti kukaa Aprili

    Katika kile kinachoitwa sintofahamu ya serikali ya CCM na namna jinsi bunge linavyoendeshwa kuna tetesi kwamba bunge la bajeti kukaa mwezi Aprili badala ya mwezi wa saba kama inavyokua ikijumuishwa na shughuli zingine za mwezi huo wa nne. Ikumbukwe kwamba graduates wote waliomaliza kuanzia...
  6. makongoromusa

    Hiki kinachoendelea nchini tanzania hivi sasa ni utabili wa mwalimu nyerere wa mwaka 1995.

    Mwaka 1995 wakati CCM wanapendekeza jina la mgombe urais kupitia chama chao, Hayati Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere alialikwa katika mkutano ule kwa lengo la kusaidia upitishwaji wa jina lile. Katika hotuba yake Mwalimu aliwaonya wajumbe wa mkutano ule juu ya upitishwaji wa jina ambalo...
  7. makongoromusa

    Hiki kinachoendelea nchini tanzania hivi sasa ni utabili wa mwalimu nyerere wa mwaka 1995.

    Mwaka 1995 wakati CCM wakipendekeza jina la mgombea urais kupitia tiketi ya chama hicho katika mkutano wao mjini dodoma,marehemu baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,alionya juu ya kupendekeza jina ambalo halitakuwa na mvuto kwa wananchi na pia ambalo halita maliza kiu ya matatizo ya...
  8. makongoromusa

    Channel 10: Francis Godwin ateta, nusura auawe

    sasa nchi inaelekea wapi kama ndo hivo lakini ipo siku.....tutaingia msituni shauri yao ccm....
  9. makongoromusa

    CCM yaishukia CHADEMA suala la TUHUMA za Rushwa kwa wabunge

    Kimsingi nape nnauye huwa anakurupuka hayuko makini,kama mtakuwa mmemsikia Lissu vizuri kabisa jana amewataja wabunge ambao anaushahidi nao na mwisho akasema kuhusu mh. zitto kabwe achunguzwe na hajazungumza kauli hata moja kuhusu tuhuma za wabunge wa chadema akimaanisha kuwatetea wabunge wa...
  10. makongoromusa

    Tundu Lissu ataja wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa, Zitto si mmojawapo

    wewe mwenyewe hukusikia vizuri amemtaja pia vicky kamata yule shemeji yetu na kasema pia kuna mgongano wa mambo kuhusu vicky kamata ambayo hawezi kuyataja; kuhusu swala la zitto kabwe mimi binafsi naamini kabisa kuwa CDM hawakurupuki itajulikana tu...tuwe na subira..
  11. makongoromusa

    Siri za Uchunguzi wa Tukio la Dkt. Ulimboka zaanza Kuvuja

    [/LEFT] Ukweli utababki palepale,kwamba serikali haiwezi kujinasua juu ya swala la dr ulimboka. Sasahivi wameamua kutumia propaganda kwa kuweka nadharia zenye ufinyu wa fikra... Kwakua dr ulimboka alikua na malumbano na serikali kwanini isiwekwe pia nadhalia ya kwamba serikali ilimteka ili...
  12. makongoromusa

    Madaktari kuletwa toka Iran: Msimamo wa CHADEMA

    Wewe umetumwa na ccm kuandika hapa...tulia...
  13. makongoromusa

    Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

    Kimsingi,serikali ya rais jakaya kikwete haifai na haiwapendi wananchi wake,kwanini Rais kikwete anakubali kudanganyika?Mimi namshauri akae chini na atafakali kwamba kwani nchi hii anaiongoza yeye mwenyewe?
  14. makongoromusa

    Kwanini niliomba muongozo-Sakata la Mgomo wa Madaktari by J J MNYIKA

    Kimsingi, serikali isipoangalia itaingia chaka imekimbilia mahakani wakati mgomo unaendelea je, kama solidality ya madaktari itabana na asitokee hata mmoja kufanya kazi itakuwaje maana huo ndiyo uelekeo....hapa waziri mkuu unabidiajipange vizuri tabia ya kutoa habari nyepesinyepesi ilihali...
  15. makongoromusa

    Lema: Ikulu imenivua ubunge ; Ikulu yamjibu vikali

    napata shida kuamini kauli ya kurugenzi ya mawasiliano ikulu,kwa sababu mara hukanusha vitu vya ukweli...
Back
Top Bottom