Search results

  1. R

    Je, engineering ina soko kwa Tanzania?

    pole kijana kwa kuhaso ila 1day yes kama msemo wako unavyosema.Ila ningependa nikuulize ni kwa kipind gan umehaso kitaa?
  2. R

    Je, engineering ina soko kwa Tanzania?

    Asanteni wote kwa kunitia moyo na kunifanya ni zidi kuipenda zaidi engineering kweli hii ndo JF.Ila jamii inayonizunguka hapa kwe2 inanishawish kusoma PCB Eti niwe daktar ila moyo wangu upo kwenye uhandic coz cna interest na M.D eti kisa wanataka nilipwe mshahara mkubwa na kwa haraka.Thaq u a...
  3. R

    Je, engineering ina soko kwa Tanzania?

    Mimi nimemaliza form 4 mwaka jana na nimefaulu mitihan yangu vizuri.Comb. Ambayo ningependa kuendelea nayo kwa A'level ni PCM coz napenda kuwa engineer ila habari nilizozisikia kwa watu mbalimbali huwa wanasema ukiwa engineer kwa Tanzania unaweza kuzunguka na vyeti vyako bila kupata kazi.Je...
  4. R

    Necta mböna wapo kimya sana kuhusu csee 2011 results

    Mwenzenu nimechoka kusubiri results cha msingi nimeamua kusubiri selection tu.
Back
Top Bottom