Search results

  1. M

    Naomba mwenye kufahamu kiwango cha mshahara kwa walimu cheti anijuze tafadhari

    Ulipataje ualimu kabla ya kujaza mkataba. Mkataba wako ungekuonesha basic yako. Je una muda gan kazini? Umeendaje benki pasipo kujua basic yako. Huwez kusema unaamuka na kwenda benki bila hata barua ya udhibitisho ya mwajiri wako? We UMEKUJA HAPA KUJUA MSHAHARA WA MWALIMU
  2. M

    Ushindi wa ujerumani ni ishara ya ushindi kwa Chadema?

    Nilijua wote ni great thinker, kumbe wengine ni paradoxial thinker. Mpaka inaboa mtu anaanzisha maada hata haina mashiko. Basi ili nae aonekane anaweza.
  3. M

    TAMISEMI imetoa tamko kuhusu ajira uwalimu awamu ya pili

    Shule zinafungwa sasa, kwa hiyo majina yatatoka mwez wa sita kuanzia tarehe 19 mwez wa sita na kuripot trh 30. Ripoti toka chanzo cha uhakika.
  4. M

    Walimu wapya waliokosa mishahara mwezi aprili kupewa dabo mwezi huu

    Walitupa za mwez wa 4 tu, na ilikuwa unapewa mkonon, halaf unasubir za mwez wa 5 cku nyingine
  5. M

    Walimu wapya waliokosa mishahara mwezi aprili kupewa dabo mwezi huu

    Huku wilaya moja ya mbuge Baduweli-Dodoma, wamepewa hela yao jana. So msikalili eti haitotokea. Kuna wengine huku hawakuamin na kubeza eti hadi nauli hatutapewa. Nauli tumepewa na mshahara wa mwezi wa 4 tumepata. Shahidi mimi mwenyewe. Wilaya ya BAHI
  6. M

    Walimu kusomeshwa bure

    Ni div 1 na 2 pekee, ila div 3 atasomeshwa na atakuja kuirudisha. Div 4 walotegemea ndo kimbilio imekula kwao, hakuna nafasi
  7. M

    Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwaka huu

    Haya haya hayaaaa, walimu mlichokuwa mnasubiri sasa kipo hewan. Nenden kwenye website husika majina yameanza kuonekana kuanzia saa 9 usiku. F.A.L .S .E
  8. M

    Strategies Za kusoma PCB

    Kweli unawakilisha wanaosoma kwa kukalili ili wafaulu,
  9. M

    Waliouawa Darfur: JK atoa tamko kali

    Sheria na kanuni katika bara la Afrika nying tunatumia zile tulizo rithi toka kwa wakolon, na hao ndio viongiz wakubwa wanao ongoza UN, Sasa watatengua vp? Je mtaungana na mheshimiwa ........... Aliyetengua kile kifungu bungen kwa kusema ...... Kwa yeyote atakae ...... Apigwe? Mheshimiwa JK...
  10. M

    Mwenye taarifa kuhusu lini mwaka wa kwanza kuripot vyuoni

    Stefano Moshi Memorial university(SMMUCo) ni October ndivyo walivyoandika
  11. M

    Kwa wale wa UDSM

    Halafu uzi huu ni kama taarifa, hivyo basi mtoa uzi ungekubali kutoa maelezo mazuri ili kwa mtu aliye humu JF hata kama hajasoma au hasomi UDSM basi atamtaarifu mwenzake anaesoma hapo na wala hayupo JF. Hujasoma hata ka kozi ka falsafa hapo chuon? Hujajua mwanafalsafa ni mtu muelewa na...
  12. M

    Kwa wale wa UDSM

    Kwa hiyo waliosoma UDSM, SUA na MHIMBILI ndo wanaandikaga na kujibu pumba kama zako? Kwel we ni zigo la matapishi. Ulimbuken unakusumbua na unafanya wale wengine waliosoma hapo waonekane hawafai. Mkienda kazin mnabaki kujisifu kuhusu vyuo wakati utendaji ni sifuri.
  13. M

    AJIRA NA KUTOKUSUP NI KWA MWANACCM TU : dr Idahya SEKUMU.

    Kuna watu humu mambo ya uchama yamewakaa kwenye ubongo mpaka kero. Sasa ww unaanza kufoka pasi na ushahid wa kutosha eti kisa tetesi. Kama huyo mtoa mada anatumia kuleta chuki?. Siasa ni saikolojia na kama mburula utabaki kuendeshwa tu au kutumia eti we unajiita ni mpambanaji.
  14. M

    Msanii bongo movie anasakwa na polisi kwa wizi wa mamilioni.

    Taarifa yako inajichanganya ktk tareh na picha ya mhusika, maan ya jinsia.
  15. M

    CHADEMA yaibwaga CCM uchaguzi wa rais chuo kikuu Stefano Moshi Memorial University College(smmuco)

    Ovyooo!!! Sasa usiasa ktk utekelezaj wa majukumu kwa wanafunz utasaidia nn. Ndan ya chama wenyewe wamegawanyika ktk makund kisa madaraka. Kwel sikolojia ya wanasiasa inawaumiza na kuwatafuna wengi.
  16. M

    Polisi Arusha wampiga risasi raia mmoja na kufa hapohapo

    Kauli ya mkuu na mtendaji wa kaz za kila siku. Wazir mkuu.
  17. M

    Ziara ya Obama; Kenya wazidi kuitenga Tanzania, waishawishi Burundi kujiunga G4

    Kuna mijaa haifikirii, hvi kwel unashabikia muungano kisa bkue band. Wakijitoa na blue band zao ndipo nasi tutajituma kutengeneza yetu. Ukitaka ujue mtoto amekua mtu mzima basi mwambie ajitegemee.
Back
Top Bottom