Search results

  1. Estone

    NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Kweli hawa ni mifugo kwani Rais siyo mgombea?
  2. Estone

    NEC yabadilishwa jina sasa kuitwa Tume Huru ya Uchaguzi

    Elimu yetu imesababisha lugha gongana kama ujenzi wa mnara wa babeli.
  3. Estone

    Halima Mdee ndiye Mtu Pekee aliyekuwa Sahihi kumpokea Uwenyekiti Mbowe

    Mwanaume unaandika paragrafu zote hizi kisa kusema Halima amrithi Mbowe kweli bando limepata mtu.
  4. Estone

    Maji kuisha kwenye tank bila kutumiwa

    H Huyu yuko na hoja ya kifundi, inlet iko juu out let iko chini sasa yanarudije? Aangalie anakoruhusu maji kwenda ama housegirl anauza maji hujui?
  5. Estone

    Ugali ni mlo hatari kwa Watanzania, ndio ukweli usiosemwa

    Kuleni wali kama watu wa Dar ambao hawawezi kazi ngumu zaidi ya utapeli!
  6. Estone

    Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

    Kilingo maana yake shughuli ya urithi
  7. Estone

    Msaada naomba mwenye Apple ID Asiyoitumia anipatie

    Je usalama wako wewe itakuwaje?
  8. Estone

    Msaada jinsi ya kufanya malipo ya bidhaa, Aliexpress, Alibaba na sehemu nyingine zenye bidhaa kali in Tanzania

    Niliongea naye nadhani Nate Hana kumbukumbu kuhusu kiasi alichokatwa boss.
  9. Estone

    Msaada jinsi ya kufanya malipo ya bidhaa, Aliexpress, Alibaba na sehemu nyingine zenye bidhaa kali in Tanzania

    Mimi kwa uzoefu wangu hakuna gharama kubwa, kuna jamaa angu katumia M-pesa kuagiza mzigo wa 1.8m hakuna makato yakutisha!
  10. Estone

    Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

    Wewe? Kumbe!
Back
Top Bottom