Search results

  1. K

    Ushauri kwa waziri wa mambo ya ndani ,Msongamano mahabusu na wafungwa

    kweli kabisa kila mkoa inatoa 30 kwa mwezi itapunguza sana na sheria inataka wafungwa wa miaka mitatu!Nandiyo wengi magereza!
  2. K

    Ushauri kwa waziri wa mambo ya ndani ,Msongamano mahabusu na wafungwa

    Ndg Mh waziri Charles Kitwanga suluhisho la tatizo la msongamani na gharama kubwa kwa magereza yetu upo wazi ,Pale wizarani kuna kitengo cha Probasheni na Huduma kwa jamii wanao deal na wafungwa wa nje,kurekebisha tabia na after care service hawa watu wanatosha kabisa kuwa mbadala na suluhisho...
  3. K

    Siku ya UHURU wa Tanzania bara (9/12): Yaliyojiri maeneo mbalimbali kuhusu kufanya usafi

    JJMnyika 09/12/2015 https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=10153121619880957&id=526280956 Mnyika John akifanya usafi
  4. K

    Anachofanya Rais Magufuli sasa ni uchonganishi kati ya wananchi na Kikwete

    labda alikuwa Kilenzi chako!Rais gani tabia za baby class ,kuchekacheka na kwenda ulaya kupanda matoy ya wazungu!
  5. K

    Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!

    tena aruhusiwe na kunyonga wahujumu uchumi!Watu wanateseka na kufa !Kwa dunia hii Tanzania inahitaji utawala wa mapavu ,siyo rais wenye tabia za baby class au kendegate wakati watu wanakufa hakuna matibabu wala dawa!
  6. K

    Waziri Mkuu Majaliwa ndani ya Bandari tena. Makontena zaidi ya 2,400 yamepita bila kodi

    Bado kunasehemu wanaiba sana,Tanapa na na mashirika mengine!
  7. K

    Billcanas wanakwepa kodi, TRA tafadhali chukua hatua

    kama unaushaidi nenda karipoti 3% ya kodi wanayokwepa ni yako!
  8. K

    Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, ajiuzulu Uongozi ndani ya CCM

    Naaamini tukichambua mapungufu yetu na kuyafanyia kazi tutaendelea sana but sasa kama mtu anaona mapungufu na kusema hayo mapungu unaonekana msaliti hii haitatujenga kabisa!Binafsi nakuwa na wezangu wacdm nikiwauliza maswali ya msingi kama lilotokea Ruvuma japo niko Arusha ,wanakuwa na hasira na...
  9. K

    Sakata la Richmond: Dr. Mwakyembe amkaanga Lowassa, Kumburuza Mahakamani...

    kila mtanzania anahaki ya kwenda mahakamani nakufungua shauri/shitaka lolote kwa mtu yoyote isipokuwa rais.Mwakiembe anataka kuwaminisha umma kuwa atampeleka EL mahakamani kwa kosa la Richmond,huku tukijua ni haki yake kufanya hayo, lakini ukifika mahakamani kwa kufungua shauri haimaanishi wewe...
  10. K

    Lowassa atakatiwa rufaa kwa kuanza kampeni mapema, atakatwa tena

    aliye haidi laptop kwa walimu na 50 million kwa kila kijiji ajaanza kampeni!? je akatiwe rufaa kuna kesi ya msingi zidi yake?
  11. K

    Ofisa wa NEC matatani ni baada ya kumuita Lowassa Rais akimkabidhi fomu

    nilijua ni mimi tu liniye sikia yule Mzee akimwita mh Rais EL
  12. K

    Bituro Kazeri, Huyu si mchambuzi bali ni kada wa CCM

    Mzee huyu ni kada tena mtiania ubunge Ukerewe!Ukiachana na ukada akijikita kwenye uhalisiha ni mtu mzuri sana,tena msomi wa hali ya juu tu,mwanzilishi wa taasisi ya sayansi jamii, www.tasaja.org
  13. K

    Mbowe ameshakosa sifa ya ubunge mahakamani!

    Utata wa kupoteza sifa ya kugombea Hukumu hiyo iliibua mjadala mkali kwenye mitandao ya kijamii juu ya uwezekano wa kumzuia Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni kuwania tena ubunge au urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Hata hivyo, Mwanasheria, Alex Mgongolwa akinukuu Katiba ya...
  14. K

    Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

    Kwa maana hii Mh.Haikaeli amepatikana na Jinai,shambulio lakudhuru au lakutaka kudhuru?hana sifa yakugombea nafasi yoyote ya uongozi katika Tanzania?
  15. K

    Urais 2015: Nchimbi amejitoa na kujiunga na team Lowassa, wengine watafuata?

    Hivi kijana kama Makonda Paul presha yake itakuaje? ndiyo anarudi kijijini kulima baada ya 25/10!
  16. K

    Serikali yashindwa kulipa mishahara mwezi Mei

    Ha ha ha trend inawashika watu sana,serikali imechoka kwanzia mwezi wa kwanza hadi leo hawapeleka hundi za malipo ya mifuko ya pensheni either mchango wa mfanyakazi na hata wa mwajiri,Je kama sikufilisika nini?Pia mjiulize mifuko ikifilisika mtamdai nani?Kama sikuwa kama wazee wa EAC-Community...
  17. K

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    Duh kweli elimu ya uraiya inabidi itolewe kwa watanzania[/CODE]Danny greeny hujui serikali ipo kwaajili ya kuweka taratibu zote zile zinazomuhusu mtanzania,Mfano sheria ya ajira kwa makapuni binfisi dhidi ya wageni na watanzania.Pia serikali ipo kwaajili yakutengeneza kanuni na taratibu...
  18. K

    Freeman Mbowe awasili kituo kikuu cha Mabasi Ubungo na kulakiwa kwa shangwe kubwa

    HA HA HA WABEBA VIRUNGU WANAKAZI,WANAISHI KWA KUTEGEMEA MAJINA,ILI HALI FAMILIA ZAO NI DUNI,WANANYESHEWA MVUA NA KULALA NA KUKU KWENYE MABANDA YAO KAMBINI,HUKU WAKITUMIA NGUVU KUBWA YA UGALI CHUMVI KUTUSHAMBULIA WAKATI TUNAWATETEA WAO.PolePT
  19. K

    Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    Sijawai ona aibu kama hii serikali na Mkuu wao wanaambiwa ukweli wao wanatetea uwongo mbona mwezi jana hakuhutubia kuhairisha kama alivyofanya wezi juzi!Aibu yako hata wewe Leo! kweli kwenye ukweli,mwongo huaibika mwisho wasiku !Sifa za kitoto bwana waachie wanao!
  20. K

    Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC) yaahirisha kura ya maoni

    Tambua kuwa Ndg pia alikosea kutangaza kura ya maoni mbila kufanya tadhimimi ya wakati!Mtangazaji alikurupuka kutangaza hakutoa ushirikiano na tume katika kutangaza japo sheria ya marekebisho ya katiba inamruhusu!Lakini hii inaonyesha jinsi gani ndg zangu viongozi wa serikali hii hukurupuka...
Back
Top Bottom