Search results

  1. odinyo

    DAR: Walimu shule ya msingi Hazina mbaroni kwa kuwapa wanafunzi darasa la saba mitihani

    nimeongea na mzazi mmoja mwenye mtt pale Hazina, anachoshangaa na kujiulizaa mbn wanajitahid sana kufundisha watt wao? sasa kwa nn na sasa wanaiba mitihani kwa lipi hasa? ameniahidi hiyo tar 10/10 atafika mahakamani kujua ushahid wa serikali maana ni habari zilizomchanganya sana. ila anamwomba...
  2. odinyo

    Kenya watatuacha zaidi. Tanzania hatuna plan

    kama ww si mkenya basi ni mpinzani usiye jitambua
  3. odinyo

    Hitilafu Gridi ya Taifa: Waziri Kalemani aamuru Meneja Uendeshaji wa Kidatu kuondolewa kazini kwa uzembe

    kwann naibu mkurugenzi ndio amwondoe na asiondolewe na mkurugenzi mkuu? kinachosumbua TANESCO NI VYEO VINGI kwa msingi wa kazi ileile. wangepunguza mlolongo wa kutoa au kupeleka taarifa maaana unakua urasimu na mwanya wa rushwa na ucheleweshaji wa mambo kwenda kwa haraka. ingelikua ni mwendo wa...
  4. odinyo

    Gazeti Uhuru waandika Sumsung badala ya Samsung

    sidhan kama ni issue sana, ili mradi umeelewa
  5. odinyo

    Wafanyakazi zaidi ya mia wapunguzwa cocacola kwanza limited

    si habari njema kuingia masikioni, Mungu wabariki Cocacoala Tz na sisi sote
  6. odinyo

    Kero: George Marato wa ITV

    channel ten waandish wake au mhariri mkuu nadhani upeo wake ndipo umeishia hapo. maana haibadiliki na kwenda na wakati. 1. taarifa ya habari ipo muda mzuri saa 1 usiku lkn wanaivuta mpk saa 2 usiku, suppose 30mins 2. kipindi cha asubuhi kinaanza saa 12 asub mpk siku nyingine 12.45. suppose...
  7. odinyo

    Azam Tv mihemko itawapeleka shimoni

    hata mchambuzi wa masuala fulani flani wawe(AZAM TV) wanachagua mtu neutral, ndio atakayesema ukweli. kuna wachambuzi hawaonagi positive about Govt though hawana chama.
  8. odinyo

    Kuna mtu anaweza kuniambia 'ideology' ya rais Magufuli

    Ideology ya JPM ni waTZ kujiletea maendeleo ww mtu binafsi kwa kufanya kazi 2. kua na nidham 3.no classes
  9. odinyo

    Lema, omba msamaha kwa mheshimiwa Rais Magufuli

    neno hilo 'kuropoka ropoka hovyo mwisho 2015'
  10. odinyo

    Irene Isaka: NSSF hakuna fao la kujitoa

    ni lazima, ila chagua/hiari ni mfuko gani unaotaka kwenda
  11. odinyo

    Waandishi wote wakilazimishwa kuwa na "digrii" zile kazi za wenye diploma na certificate itakuwaje?

    YAANI ndio maana wasomi wetu wanajiabisha wenyewe sasa hv kila chuo KINATOA bACHELOR its not proper, hata kama lengo letu ni kuongeza idadi ya wasomi tungeacha ngazi zifuatwe. maana certificate wanahitajika,diploma wanahitajika. Mwl Nyerere degree, NIT degree, magogoni Degree,CBE Degree...
  12. odinyo

    Tanzania yashika nafasi ya 57 kwa watu wenye ukarimu duniani

    si takwimu ya kweli kabisa, kwa research yangu isiyo rasmi Wakenya wenyewe wanatukubali waTz kwa ukarimu ila ttz ni waTz hatujitangazi!! ?? tunawaachia viongozi wachache na wazalendo kadhaa hii ni kwa kila mTz anapokua nje ya nchi ni jukumu lake la kwanza kuiweka Tz mbele na hata pia tunapokua...
  13. odinyo

    Kwa waliokuwa wanakula Pizza Mgahawa wa Uchumi Supermarket

    haaaa, mumiani!! kweli Makao makuu yahamie Dom yanaweza kusambaza maendeleo TZ NZIMA. maana hawa watu wa mikoani hawali vizuri kwa viiman vya ajabu ajabu
  14. odinyo

    NECTA pitieni vyeti vya watumishi sekta binafsi

    hawana haja ya kuambiwa ni moja ya kazi yao ya msingi kabisa, wasikubali mtu kutumia vyeti vyao kama miaka yote walilala au mpk Raisi aseme, HAPANA waamke sasa wafuatilie
  15. odinyo

    Kutoka Mahakamani: Scorpion afutiwa shtaka unyang'anyi wa kutumia silaha na kujeruhi

    i am confused tangu nipate habari ya pili kua SCORPION si mtu mbaya kama nilivyodhania mwanzoni. na hii nimeambiwa na wafanyakazi wenzangu wawili wanaokaa Buguruni. ni kwamba wezi Bugurun umepungua kwa sbb ya harakati za Scorpion kuwadhibiti. Ni kweli adhabu kwa Side ilipitiliza tunaomba taasisi...
  16. odinyo

    Jamaa amekataa kwenda kumuona mke wake hospitali kisa kajifungua mtoto wa kike

    du! dunia ya leo watu wanaishi miaka 80 nyuma? atuulize sisi tuliye oa. ningemwambia hivi mtt wa kike ni zawad ya kipekee. atakua rafiki yako, atakujali mpk siku ya mwisho wa uhai baina yenu. watt ni kuwalea vizuri tu na si kuwabagua. ASANTE MMUNGU kwa kunipa mtt wa kwanza wa kike.
  17. odinyo

    Young Africans SC yakodishwa rasmi kwa Yusuf Manji

    lkn kuna ile kitu ''utani wa jadi' naona kama utapotea? na ndio burudani kuliko mpira uwanjan. kila kheri Yanga
  18. odinyo

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    tar 5/10 kila mwaka ni siku ya walimu, haya ndio wanatakiwa wayazungumze
Back
Top Bottom