MALALAMIKO: KUHUSU KUCHELEWA KWA MAJIBU YA COVID TEST.
Mbali na gharama kuwa kubwa, Majibu ya covid test yanachelewa sana. Wanasema ni baada ya saa 24 lakini siyo, ukipima leo unapata Majibu kesho kutwa.
Naomba wizara tubadilike jamani, tuongeze maabara zingine. Tuko nyuma sana ukilinganisha...
Hello habari. Maji hayatoki/yamekatika maeneo ya Kibamba, Hondogo, Delini njia ya kwenda kanisa la Sabato. Hatuna taarifa yoyote ni siku zaidi ya 5. Asante
Habari za kazi na poleni na majukumu,
Msimu wa mvua umeisha na muda si mrefu barabara za mitaani zitaanza kurekebishwa, kwani zimeharibika sana. Nauliza mumejipanga vipi kulinda miundo mbinu ya maji isiharibiwe, bomba zisikatwe kutokana na uchongaji wa barabara? Nimeuliza kwasababu, imekuwa ni...
Mahindi yanaoza Rukwa na Songea kwa kukosa soko,mchele umeshuka bei. Kwanini hizo ziara zisiwe za kutafuta soko na ushawishi wa ubora wa bidhaa zetu. Ingekuwa neema kwa wakulima..
Sio wazo zuri, kwasababu ana majibu tayari kwamba rais ajaye aikute katiba mpya. Kwa maana hiyo itapita tu kwa gharama zozote.
Halafu tutawachanganya wapiga kura na watendaji.
Swala la gharama isiwe sababu.
Bora mchakato uanze upya kwa utawala mpya, kwasasa katiba iliyopo ifanyiwe marekebisho.
hivi ni yule alisema wenye safari za dar wasije kwasababu ya ujio wa Obama eti guest zote zitajaa. Maadui wake 11 watahamia KE. Kwa upande wa Diplomasia inatia shaka uwezo wake kwani ni kipindi ambacho TZ haina uhusiano mzuri na majirani
Hivi hoja zenu bungeni huwa zinasaidia kweli, mbona Kingwangalla alipeleka pia iliishia wapi? na kabla ya kupeleka hoja mnakuwa mumefanya study yoyote? Kama umeamua kweli kusaidia vijana fikiria njia nyingine mbadala yenye matokeo chanya, lakini kupeleka hoja bungeni ni kukamilisha ratiba za...
Jina la kikundi tu linakera, kwani kuna vijana wasio penda amani Tanzania. Rais atachaguliwa na wananchi, na mtu yoyote ana haki ya kugombea akifuata taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa katiba. Hawa wapenda amani wapuuzwe wenzentu wanaingiza siku, mkiona wametoa tamko ujue mwisho wa mwezi...
Hello Bnf, viongozi wetu ni wabinafsi sana, sijui hawajui kuna wasio kuwa na kazi au wenye majukumu. ok for example nina sim kadi 3, mke wangu ana2, mfanyakazi wa nyumbani ana 1 simu ya nyumbani. Mama yangu ana 1, baba ana 1. Utalipa sh. ngapi? na wamesahau kuwa simu ni huduma.
Na hawaelewi...
NAPE! Mtaendelea kudanganya wananchi mpaka lini? nini maana ya kujadili katiba mpya kama mnaweka vikwazo au mna majibu yenu wenyewe? Hivi muungano uliopo unaita MUUNGANO. Na sio kila kitu alichosema au alichofanya Nyerere kisijadiliwe au kisibadilishwe kumbuka vitu vinabadilika kutokana muda...
Naona mkuu umetumia propaganda zaidi kuliko uhalisia, una uhakika gani labda Chadema nao wanataka kuimarisha vijana wao kama nyie mnavyo wafanyia. Na kwanini mnalikuza sana ili swala Watanzania gani waliopata hofu wakati wanajua kuna green guard, kama si unafiki au propaganda tu.
Wewe labda...
It is shocking to have a prime minister who openly and clearly advocates police brutality while addressing the Parliament. Where are the social activists?
Mtu yoyote akikosea kauli, kuna njia nzuri tu za kumfikishia ujumbe ikishindikana mahakama zipo lakini lakini sio kutukana, . Kutukana nako ni kosa. Sasa mada imehamia kwake badala ya mh. Pinda. Ingawa kama angalizo tusiamini kila kitu toka FB.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.