Search results

  1. Ivonya-Ngia

    Askofu Gwajima vs Cardinal Pengo: Polisi waingilia kati

    Polisi kanda maalum ya Dar es salaam wametoa wito kwa Askofu Gwajima kufika kwa RCO wa kanda kwa mahojiano kuhusiana na clip anazohusishwa nazo mitandaoni akitoa matamshi makali juu ya Cardinal Pengo. ============= Chanzo: MICHUZI BLOG
  2. Ivonya-Ngia

    Aamka asubuhi na kukuta miguu imekatika

    Mmkazi wa Ludewa, Mkoani Njombe, Yohana Nkwera (54) anadai kukatika miguu katika hali ya kushangaza. Yohana anasema katika maisha yake amekuwa ni mwenye hofu kubwa baada ya kukumbwa na tukio hilo la aina yake la kukatika miguu akiwa usingizini. Anasema hadi sasa haelewi namna hasa tukio hilo...
  3. Ivonya-Ngia

    Mchungaji Mtikila kufungua kesi kupinga Katiba Mpya

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila anatarajia kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga kuendelea kwa mchakato wa mabadiliko ya Katiba Mpya. Mchungaji Mtikila akizungumza na gazeti hili alisema, madhumuni ya kufungua...
  4. Ivonya-Ngia

    Synthesis and analysis of the current crisis in South Sudan

    By Athiaan Majak Malou, December 24, 2013 The current political crisis which has also taken ethnic dimension has its roots in 1991 split within the then Rebel Organisation called Sudan People’s Liberation Movement/Army (SPLM) now turned the ruling party. Since its inception in 1983, Dr...
  5. Ivonya-Ngia

    Bensouda: No evidence to sustain Uhuru case

    BY FATOU BENSOUDA Today, I filed an application with the judges requesting an adjournment of the provisional trial date in the case of the Prosecutor v. Uhuru Muigai Kenyatta (ICC-01/09-02/11). My decision is based solely on the specific facts of this case devoid of extraneous...
  6. Ivonya-Ngia

    Aisee....wanaijeria washazua zengwe huko

    PHOTOS: Newly wedded P-Square's Peter Okoye caught kissing a female fan | African Spotlight Naona beautiful Onyinye wa bongo kazua mambo!
  7. Ivonya-Ngia

    Kwa hili la Mh. Kapuya nasema HAPANA, CP Suleiman Kova amepotoka.

    Alhamisi ya jana tarehe 14/11/2013 ni siku nyingine nyeusi katika vitabu vyetu vya historia, Kamishna wa Polisi(CP) na Kamanda wa Kanda Maaalum ya Dar es salaam Suleiman Kova ameripotiwa akisema maneno ambayo kwa hakika yanaumiza na hayatupi mustakabali mwema siku za mbeleni. Afande huyu...
  8. Ivonya-Ngia

    Hi Waungwana:

    Naomba mnipokee waungwana. Shukrani zangu za pekee kwenu. Tupo pamoja!
Back
Top Bottom