Search results

  1. ZENITH

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nimekuwa na Weekend njema sana,Huku Yanga..kule Arsenal,na finally Real Madrid
  2. ZENITH

    Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    Mkuu,tunachohitaji ni kwao ni heshima,hawanaga Upendo kwetu.Na hawa viumbe,jinsi gepu umri linavyozidi kuwa dogo,na heshima yao huwa ndogo hivyo hivyo,japokuwa mimi nashauri gepu lisizidi miaka 10++
  3. ZENITH

    Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

    H Halafu nashangaa kuna watu wanashangilia uwepo wa hii vita!Kwamba Israel atakoma,mara Iran atanyooshwa.Tunaoumia ni sisi vidagaa huku Afrika.
  4. ZENITH

    Kilichofanywa na Iran ni trela tu, ila watazamaji (Israel) wakataka movie nzima wataletewa

    MUNGU yupi huyoo?Bila shaka unamuongelea MUNGU aliyewaumba wa IRAN pekee.
  5. ZENITH

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Mimi ni Yanga,lakini mtani wangu kuwa mpole tu..hata ufurukute vipi,lazima utabaniwa ili mradi Mamelodi vs Al ahly zifike fainali,it is already fixed!
  6. ZENITH

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Funga yenu pia iendane na uwezo wa kuishinda tamaa na majaribu.
  7. ZENITH

    Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Yaani nilichogundua hawa wenzetu funga yao wanaifanya kama adhabu, wanaifanya kwa kuogopana binadamu vs binadamu na sio binadamu vs MUNGU. Yaani ingetokea mtu yuko porini ambako hawezi kuonwa na mtu yoyote,sidhani kama angeweza kufunga,kwasababu huko porini hakuna unafki wa kumuonesha mwenzio...
  8. ZENITH

    Train letu aerodynamic zinakataa kufika 200 KM/HR . According to Scientific Research of why the body should be streamline to archive speed and balance

    Mkuu,sidhani kama mleta mada kaandika au ku paste yote haya ili kujionesha yeye ni msomi sana.Lengo lake ni kushea na sisi kizuri anachokijua na kile alichokiona au kukipata huko alikokipata.
  9. ZENITH

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Ok,una haki ya kuchagua wa kumpa,uliamua kuwapa wale wa kupiga na kusepa,huyu mwenye nia njema na wewe unamnyima. Utasema kwamba huna imani kwamba atakuoa,wale uliowapa kabla ulikuwa na Imani nao au imekaaje hii?Unaweza hata kumkazia usimpe,lakini akala baada ya ndoa na akaona mzigo sio...
  10. ZENITH

    Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

    Kabisa aisee,wanawake wanaofanya hivi huwa wanadhani wamemzidi ujanja na kumkomoa mwanaume,lakini kiukweli anakuwa amewakosea na kuwadhulumu watoto wake haki ya kumjua baba yao halisi,haki ya kujua chimbuko na asili yao.Pia kuwajus nfugu xao halisi wa damu.Hii yote inatokana na tamaa na ubinafsi...
  11. ZENITH

    Mambo usiyoyajua kuhusu msitu wa Amazon

    Hapo namba 7.Ina maana huo mto Amazon chanzo chake hakieleweki vizuri.Kwasababu sometimes unatoka Mashariki--Magharibi and Vice versa.
  12. ZENITH

    Mambo nayopenda kwa Waislamu japo ni Mkristo

    Yaani mimi ni mkristu,lakini ukristu upo kinafiki sana,unalazimisha mambo ambayo hayawezekani kibinaadam.Huwezi kulazimisha watu ambao hawapendani hata kidogo,waendelee kuishi pamoja eti kwa hofu ya dini.
  13. ZENITH

    Kama unaamini unapendwa unajidanganya

    Yaani mimi toka nilipoelewa kwamba wanaume huwa hatupendwi na wanawake hata siku moja,wao hawatuhitaji,ila sisi ndo tuna shida nao..moyo wangu umekuwa na Amani sana,sisumbuki wala kuvurugwa akili na hawa viumbe.
  14. ZENITH

    Amri Kiemba: Simba SC haina Katiba ya kuruhusu imilikiwe na mtu mmoja, ndiyo wapo kwenye mchakato wa kutengeneza katiba

    Inategemea ume qualify kupitia group lenye uzito upi,haya makundi hayafanani ugumu!
  15. ZENITH

    Nichukue IST au Belta?

    Go for IST old model
  16. ZENITH

    Ewe mwanaume, hakikisha unafanya yafuatayo baada ya kuoa

    Yote hayo 10=KUUZA UHURU WAKO,japokuwa mimi sio member wa ile movement ya KATAA NDOA!
  17. ZENITH

    Wananchi wa Kyela wanatamba na Sukari ya Malawi

    Kabisa,hata sisi wa Tunduma tunaitumia sana tu!
Back
Top Bottom