Search results

  1. K

    Sababu zitazoifanya CCM kuibuka kidume Arumeru Mashariki!

    Huyu jamaa tumjibu kwa hoja jamani..wacha nikupe sababu zinazonipa matumaini ya kukipoteza hiki chama chetu magumashi pale Arumeru. 1.Daima CCM wamekuwa watoaji wazuri wa ahadi zisizotekelezeka.Wanapanga mipango na sera wakiangalia zaidi shibe ya leo bila kutazama njaa ya kesho...
  2. K

    Tiba za viongozi wa kitaifa ng'ambo sasa ni mzigo mkubwa kwa wavuja jasho................

    Kwa kweli wazo hili lina kila sababu ya kuungwa mkono na yeyote mwenye upeo wa kupambanua mambo..Viongozi wetu wanafahamu fika uduni wa huduma zetu za afya hapa nchini.,wanafahamu mazingira mabovu ya wodi tulizo nazo,upungufu wa vitendea kazi na uhaba wa wahudumu.Lakini badala ya kutumia nafasi...
  3. K

    PhD. ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, ni sahihi?

    Daima wajuzi wa mambo wanatufundisha kuwa, tunapotaka kupata ukweli wa mambo, tuziruhusu nafsi zetu ziongozwe na uhalisia na hoja badala ya hisia na imani.Wanaomrushia vijembe Dr.Slaa hawana nia njema na taifa hili. Niwashauri kitu kimoja cha msingi; Tafuteni kwa kina mitaala ya vyuo mbalimbali...
  4. K

    Watu hawa wameshaifanyia nini chadema? yupi abaki, yupi aondolewe?

    sina shaka kuwa huu sio wakati sahihi wa kuwatusi,kuwahukumu au kuwaponda viongozi ndani ya CHADEMA..kazi wanayofanya ni kubwa kwa kweli,kama sio juhudi zao,matumaini yangekua yamepotea kabisa Tanzania..tuwape moyo ili waendelee kufanya kaz vema.2ccte pia kuwarekebisha,co kuanza kupendekeza...
  5. K

    Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    shida moja ni kuwa,mnashindwa kusoma alama za nyakati...migogoro yenu,kujadili hoja zisizo na tija na kutokujishughulisha kwenu na wananchi kunawamaliza...malizieni kwa amani kabla ya anguko kuu linalofuata..
Back
Top Bottom