Search results

  1. Noor

    Inawezekana Rais hashauriki au hafikishiwi ushauri; Bombadia moja "imekufa" Mwanza, ATCL inajigamba kuleta Dreamliner

    Patriotism simply means loyalty to your country as a whole, not your president as an individual, president of your country deserve your support ONLY to an extent to which he is doing only the things that are in the best interest of your country.
  2. Noor

    Viongozi wa CHADEMA acheni kiburi, kubalini makosa na iombeni radhi Serikali, hali ya Lissu si nzuri

    Ni Mungu pekee mwenye uwezo wa kumponya mtu yeyote. Katika maisha hata waliofanya ujinga huu watakufa na kwenda kujibu. Lissu ni muhanga wa demokrasia, muhanga wa udikteta na pia muhanga wa utawala wa sheria. www.abdulnoorblog.wordpress.com Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Noor

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    My respectful readers, I beg you to forgive me by writing the longest letter. For the past two years I have never written such long articles as this. It was written for the purpose of reaching our President or his assistants through various instruments especially in the newspapers. I sent the...
  4. Noor

    The Relevance of Politics Ideology

    Our current politics is small, ethno-divisive and rejects intellectual acuity. Both the smallness and the polarity of our politics bother me at times. I'm pro-participation. If not all Tanzanians, I expect the size of participants to increase and be inclusive. But most importantly I expect the...
  5. Noor

    ICC has kept African leaders responsible

    Africa Union is a big club of mediocre, tyrants and loser. In the last decade, having reviewed the performance of the union, I know its a huge failure. For ICC, I think the idea is good but not now. Until we refurbish our judiciary to deal decisively with crimes. We still maintain the ICC as...
  6. Noor

    Leadership for those who run Tanzania

    Leadership is a momentous endeavor. It transcends being the lucky official who heads a flock of uninformed followers. It surpasses the unmerited personal comfort sustained by the commonwealth of the people. It outstrips the ephemerals of lights, cameras, microphones, shimmering convoys, and...
  7. Noor

    WHAT A BLEAK FUTURE FOR TANZANIA?

    At a time when my own generation ought to be preparing to take the baton of leadership in the nearest future, they are busy submitting themselves as bows and arrows to political leaders to use in fighting their battles, then you know what kind of future lies ahead of us as a country. You will...
  8. Noor

    Politics is not all to life

    Haijanishinda ndio maana nikaona nieleweshe sio unajiingiza kwenye siasa za kushinda Lumumba au Ufipa tu fanya kazi nyingine siasa iwe addition ya kazi zako.
  9. Noor

    Politics is not all to life

    Labda lugha imekua tatizo nadhani hujanielewa. Soma vizuri "It is your right to play politics, it is even correct to identify with a big politician as a role model, but you must have a mainstay"
  10. Noor

    Politics is not all to life

    Let me make it clear to you that everybody must not be a politician; your breakthrough must not just be expected from politics. Some youths do not have anything they are known for, but following one politician after the other. I see those youths as beggars, and nothing more. Let me add, that any...
  11. Noor

    The Politics of Poverty, Sex and Child Birth

    There's a general belief that poor people have more time for sex because they are idle. Less work, less money, more time for sex, more children. In reality, it is not always so. Many poor people work longer hours than rich people; in fact, poor people undertake the physically tasking jobs that...
  12. Noor

    The last day we had good governance in Tanzania, A year ago, 5th november, 2015

    Bahati nzuri sinaga muda wa kujibizana na mtu anaekuja kwa lugha isiyo na staha. Lugha ya vijisenti haijaanza leo labda nikukumbushe wakati wa Mkapa tulisikia wananchi ikiwezekana wale nyasi lakini ndege lazima inunuliwe. So hizo ni lugha za kisiasa. Na sisi tuliopo kwenye siasa haitupi shida.
  13. Noor

    CCM ilijiandaa kushindwa kuliko kushinda

    Katika uchaguzi mkuu mwaka 2015, CCM ilikuwa imejiandaa zaidi kwa ajili ya kushindwa kuliko ushindi. Kama chama hawakutarajia kushinda na ni wazi hawakuwa na agenda ya ushindi zaidi ya kuokoteza hoja kutoka kwa wapinzani. Hii imenikumbusha filamu iliyochezwa Mwaka 1972 inayoyojulikana kama The...
  14. Noor

    Unshackle your minds

    May God open the inner eyes of Tanzanians to see themselves in less mundane cast. This post is a challenge to our collective disposition to nobility, fairness, truth, and patriotism. If you were not a mere escort, who followed others to this world; and you were not sent here to watch and...
  15. Noor

    The last day we had good governance in Tanzania, A year ago, 5th november, 2015

    Katika maisha tukubali kuwa kila mtu ana zake. Wengine wamekalia kusifia hata kama mfalme anaenda kuanguka mtaroni.
  16. Noor

    The last day we had good governance in Tanzania, A year ago, 5th november, 2015

    Nilikua mmoja wa waliokuwa wanaandika mara kadhaa kuhusu utawala wake lakini aliweka uhuru (democrasia). Ikipatikana hiyo mengine yanaweza kuwa na unafuu. Kama umesoma neno kwa neno unaweza kuelewa zaidi
  17. Noor

    The last day we had good governance in Tanzania, A year ago, 5th november, 2015

    JK, a year ago, I said a sorrowful goodbye to you as you took a bow and handed the keys of Tanzania to Magufuli……the infamous “tax master”. On that day, I had cried and then ended up laughing out loud because in my heart, I knew that Magufuli was like other CCM members but will (not) disappoint...
  18. Noor

    Naibu Spika amlinda Waziri Mkuu dhidi ya swali la Mbowe kuhusu rushwa kwa wabunge wa CCM

    Nilidhani, baada ya Mbowe kuhitaji majibu ya Waziri Mkuu kuhusu Wabunge wa CCM kuhongwa Mil 10 kila mmoja ili waitetee Serikali iliyofilisika, na badala yake Spika akamkingia kifua PM... Ingefaa Spika aombe Uthibitisho badala ya kufanya figisu ambazo zinaacha taarifa hiyo kuwa ni kweli!
  19. Noor

    Mfalme na Maofisa wake kucheza ngoma uchi........(IMETAFSIRIWA)

    Magufuli anakopi kwa Buhari kitu ambacho naona sawa. Lakini pia tuangalie huyo anayokopiwa anaagenda nzuri ambazo zinaweza kua kaa la moto. Anafanya arrest na kufunga watu bila utaratibu. Anefikia kwa majaji lakini nani anaamini mpango wake huo iwapo unagusa wapinzani tu? Akiwa anataka urais...
  20. Noor

    Lukuvi: Marufuku kwa Mtanzania aliyeukana uraia kumiliki ardhi nchini

    Lukuvi anakosea. Mtu hawezi kunyimwa umiliki wa ardhi kwa kuwa anaishi nje ya Tanzania. Wengine wanaishi huko kwa ajili ya kazi.
Back
Top Bottom