Search results

  1. Lukub

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    SBL na TBL ziepoteza watu muhimu sana wa kutangaza ulabu hii mijamaa ilijuwa kutangaza bear kwa mbwembwe ,angalizo tunywe bear 2 kwa kila siku kwa masaa mawili au toti moja tu kwa siku ikibidi ichanganywe na limao na barafu
  2. Lukub

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Bia mbili tu kwa masaa mawili au toti moja mls 100 kwa pombe kali tena uchanganye na limao na barafu
  3. Lukub

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Unapaswa kunywa bia mbili tu kila siku tena mmoja kila baada ya saa mmoja,kama ni pombe kali toti mmoja tu kwa siku
  4. Lukub

    Mkristo ambaye hufungi na kuomba unatumia mbinu gani kujilinda na wachawi kwenye Biashara na maofisini?

    Fungu la kumi ,malimbuko ,sadaka za ujenzi ,sadaka kwa baba wa kiroho,sadaka ya umisheni,sadaka kwa masikini ,Toa mahitaji ya familia yako,angalia wazazi wako FANYA HAYA KWA MUENDELEZO hauitaji maombi hapa ni kutoboa tu .
  5. Lukub

    Hamis Kigwangalla: Ukiposti kitu chochote Mtandaoni weka na Hashtag ya 'Nasimama na Mama'

    Kutibu au kutotibu hakumfanyi mtu kuwa daktari wa binadamu zipo qualifications na unazifahamu .Pia jifunze kujenga majengo hakukufanyi kuwa mhandisi wa majengo,kufundisha hakukufanyi kuwa mwalimu nk.
  6. Lukub

    Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

    Andaa mtoto wako kuwa kiongozi ,viongozi wanaandaliwa sio porojo Shetta aka baba Quila kamuandaa mtoto wake kuwa kiongozi baada ya miaka 20 utasikia majina yaleyale .Acha kulalamika andaa mtoto wako
  7. Lukub

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Baada ya miaka 10 hakuna idadi ya kombe Arsenal atamzidi city labda kombe la wivu tu
  8. Lukub

    Hamis Kigwangalla: Ukiposti kitu chochote Mtandaoni weka na Hashtag ya 'Nasimama na Mama'

    Daktari wa binadamu kutoka taasisi nguli nchini MUHAS
  9. Lukub

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    BLUES Ian Maatsen ni MALI SAFI na MTU WA MAANA SANA kwanini huyu kijana kaenda dortmond tutampoteza huyu
  10. Lukub

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hawa tungewafinyia chini tuwapige goli saba hakuna ubaya wowote,
  11. Lukub

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huyu umenyoosha ,wakati city kapigwa chuma mbili na astonvilla mechi ya mwisho na ushindi ni lazima kunyanyua ndoo ,washabiki wangeondoka sijui ingekuwaje
  12. Lukub

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Spurs mlevi anapigwa gongo 4 na Newcastle akamfunge city ndugu akili za kilevi kabisa , arsenal perfect team alikaa nyuma kwa city
  13. Lukub

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mwamba call it PERFECT HATRICK
  14. Lukub

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii tabia ya Hamis kujificha umefungwa mechi moja tu haikubaliki kabisa ,Hamis nakukumbusha tu Isak na Jesus unakwenda na nani😂😂😂😂😂😂
  15. Lukub

    KERO Uwanja wa CCM KIRUMBA una matundu manne 4 tu ya vyoo

    Kitangiri ninayoifahamu kumejaa ni wapi wanaweza kujenga uwanja?
  16. Lukub

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bora tukose wote wachukue city maana mgetuletea mate sana bora mashabiki wa man city mtaani wapo wanne tu .
  17. Lukub

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ligi imeisha city akikuacha point moja unajua nini kinafuata
  18. Lukub

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Mwendo kwenye ubingwa mmeumaliza imani ya kupambana na arsenal na city mmeilinda mpumzike nafasi ya tatu kila mwana liverpool aitikie AMINA kubwa.
  19. Lukub

    April 20 Yanga atashinda goli 2+

    Kusanya hata milioni 3 kamuwekee yanga ana odd 2.44 upate milooni 6 ,kuandika humu haufaidiki na chochote.
Back
Top Bottom