Search results

  1. Pinokyo Jujuman

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Kuenda shule sio ndio kujua kila kitu; ndio maana nashindwa kuelewa position ya kiutendaji kwa PM na President, kwa uelewa wangu mdogo huo nlonao nlikuwa nadhani PM ananafasi kubwa zaidi kumshauri Boss wake badala ya kusema fulani alimpigia simu Mkuu na kuniambia niachane nayo, mmmmh umakini...
  2. Pinokyo Jujuman

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Mkuu kuona kwangu aibu hakutonisaidia mimi kujifunza lkn kukubali kufahamishwa mambo nisiyoyafahamu hii hunisaidia zaidi kuliko kujifanya mjuzi wa mambo wakati mengine siyajui na huwa daima naamini ktk kujifunza zaidi
  3. Pinokyo Jujuman

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Ntalifanyia kazi mkuu, asante kwa ushauri.
  4. Pinokyo Jujuman

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Huo utakuwa unyimi wa ujuzi wa mambo, we unadhani walokufanya ujue undani wa jambo hili wangekupotezea ungelijua vipi kama si kwamba nawe ungeendelea kulibeza kama walivyokuwa wanafanya wengi wetu; tupeane elimu na tusinyimane elimu ya mambo yatuhusuyo na wala hatupaswi kuchoka maana kila mmoja...
  5. Pinokyo Jujuman

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Okay, naanza kuelewa sasa sio watanzania wote tunauwezo wa kupambanua kila herufi na hii ipo ndio maana hata darasani mwalimu hutumia namna mbadala ya kumfanya mwanafunzi aelewe kwa wepesi; hii ina maana kwamba tunatofautiana uelewa, Asante kwa kunielewesha.
  6. Pinokyo Jujuman

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Asante, wacha nivute kigoda kabisa.
  7. Pinokyo Jujuman

    Lowassa na Majibu ya Hasira kwa Swali la Msingi

    Wadau Habari; jana ilikuwa siku ya kipekee sana kwa historia ya Tanzania ambayo tuliahidiwa na tuliisikia minong'ono mingi na tetesi za kila leo juu ya kuhama chama kwa aliyekuwa mgombea urais kwa tiket ya CCM ndugu, EL. Binafsi nampongeza kwa kuitumia haki yake ya kidemocrasia na kufanya...
  8. Pinokyo Jujuman

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Sijawahi ona taarifa ya chama chochote ikiwa ina hang namna hii; hii ni propaganda za bongo kazini!!
  9. Pinokyo Jujuman

    Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Hata mimi nashindwa kushangaa
  10. Pinokyo Jujuman

    Ajali ya gari Bunju, wananchi wachoma Kituo cha Polisi

    Asante kwa taarifa; RIP mtoto mwanafunzi. Madereva tuwe makini na tujitahidi kuziheshimu alama za barabarani
  11. Pinokyo Jujuman

    Ni haki Katibu mkuu wa CCM Kinana kutumia Usafiri wa Polisi katika kazi za chama?

    KUTUMIA USAFIRI WA POLISI; hapa neno Polisi limetumika kama nafasi ya kazi(mtu) au kama Taasisi(Chombo)?
  12. Pinokyo Jujuman

    Ni aibu kwa DC Makonda Kujificha kwenye Miguu ya RPC Wambura kisa kuogopa Madereva

    Watch "GLOBAL TV ONLINE :PAUL MAKONDA AJIPA MASAA 21 KUTATUA MZOZO WA MADEREVA" on YouTube - https://youtu.be/PeIb3kDSqIc Mie napita tu
  13. Pinokyo Jujuman

    Hivi ni sahihi kwa mwanaume kulala ukweni?

    Hii kitu inategemea na mila na desturi zetu mbalimbali, miezi mi5 ilopita mie nlienda kusalimia ukweni kwa mara ya kwanza rasmi baada ya harusi kupta kama miezi 8 hivi; na pasina shaka nkafikia ukweni yapata siku 3; niliporudi ktk story za kawaida siku 1 nkajikuta tumeongelea jambo hilo, rafiki...
  14. Pinokyo Jujuman

    Daktari feki akamatwa tena Muhimbili

    Hahahaa hapo Rais utamuonea tu, hakuna nchi ya namna hiyo chini ya jua; uwajibikaji wa dhati ni muhimu kwa mtu awaye yote ktk nafasi yoyote, kwa jambo hili sijui Rais una mlaumu vipi labda uiweke bayana ili tuelewe vyema!!
  15. Pinokyo Jujuman

    Daktari feki akamatwa tena Muhimbili

    Sasa huyu Dr. kwa hosp kama Muh2 analipwa namna gani au ndio anaishi kwa rushwa na mkono wa asante kwa wahudumiwa?
  16. Pinokyo Jujuman

    Mauaji Arusha: Dereva wa majaji auawa kwa risasi

    Ni kweli lkn pia inategemea na aina ya pistol; kama ni Revolver hyo haina Usalama, lkn pia kama ni hizi pistol zenye usalama hapa ni dhahiri kwamba silaha risasi iliwekwa chamber and bad enough ni kwamba askari huyu alisahau kufunga usalama au hakufunga kimazoea. Lkn swali langu ambalo napata...
  17. Pinokyo Jujuman

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Kwahiyo ukiwa unaendesha gari siku zote O/D ikiwa On Kwa maana ya kuifanya gari ichague yenyewe gia sahihi kwa wakati husika;je kuna madhara yoyote kwa chombo husika?
  18. Pinokyo Jujuman

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Asanteni wadau wote kwa michango yenu makini mloitoa hapa jamvini kwa kunipa darasa mimi na wale wenzangu tulokuwa hatulijui jambo hili kwa usahihi wake.
  19. Pinokyo Jujuman

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Asante kwa kuiweka kwa usahihi; natumai hivyo ndivyo inavyotakikana kutumika. Jf idumu milele"
Back
Top Bottom