HABARI WAPENDWA: NAOMBA USHAURI JUU YA SUALA LIFUATALO:
Taaluma yangu imeniwezesha kukutana na wanafunzi wa ngazi mbalimbali wenye ndoto na nafasi za kusoma/kuendelea na elimu ila kutokana na changamoto za kifamilia na kipato cha wazazi wanalazimika kutafuta misaada.
Binafsi nimefanikiwa...
Habari,
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu masuala ya Lishe. Nina tatizo kwa baadhi ya vyakula vinanisumbua mno hasa mboga za majani. Nikila naendesha mno.
Msaada tafadhali
Nimetazama kipindi cha "jicho letu ndani ya habari" Star TV leo na kwa kweli imenisikitisha maana kila Jumamosi ni lazima nichelewe kutoka home nitazame mijadala iliyokomaa ya PM. nimeanza kukufuatilia tokea kipindi cha Kiti Moto ITV hadi sasa, Nimepoteza hamu ya kufatilia vyombo vingi vya...
Habari Madaktari/ wataalamu wa afya na kinga.
Wazee wangu wana umri wa utu uzima sasa 65-70s na wote wana shida sana ya kuumwa na miguu. Mzazi wa kiume anashida pia ya magonjwa ya moyo na pia ni mtumiaji wa dawa kali za presha. naomba kujuzwa endapo naweza kupata dawa ama ushauri wa kuweza...
Nipongeze idara ya hali ya hewa kwa kazi kubwa wanayoifanya,
Kwa hali ya hewa ilivyo kwa hapa Korogwe na kulingana na uzoefu wa hivi karibuni juu ya athari za mvua zinazoendelea kunyesha, ni vema wasafiri wanaotumia barabara kuu ya Arusha Dar kupitia Korogwe wakachukua tahadhari kutokana na...
Wataalam naomba msaada wenu,
Ninayo Isus mini laptop inazingua sana kwenye keyboard. Mfano unaweza kubofya kifungo cha herufi U ikakurudisha kwenye start menu. Unaweza kubofya kifungo cha herufi X kikafungua browser.
Hii shida inasababishwa na nini?
Kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha, kumekuwa na mkwamo wa safari haswa kuanzia Korogwe Mjini ambapo leo 26/10/2019 barabara hiyo imefungwa na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wanaosafirisha huduma, bidhaa na watu.
Hii ni kutokana na kipande cha barabara ya Segera-Korogwe kuwa na maeneo...
Samahani naomba ama mwenye ndugu au anayesoma mwaka wa kwanza au miaka ya mbele anipatie mawasiliano yake nna shida nahitaji msaada. Mjomba wangu amepangiwa chuo kwa mwaka 2018/2019
Kwa uelewa wangu mdogo unapotaka kusoma kiapo hiki kitakatifu lakini hatari ni lazima uwataarifu watu wote ili anayehusika ajitokeze. Madhara ya ahl Badri yanasambaa kwa vihusika na wahusika. kama mhusika x amefanya tukio hilo maana yake yeye na ahl (ndugu zake) na hata ukoo huenda ukaangamia...
Ni kweli Mrisho Gambo alikuwa Korogwe Tanga, alisimamishwa kwa muda na Kikwete na Baadae alipelekwa Uvinza kama Mkuu wa Wilaya. Simtetei kwa kuwa sina maslahi nae ila nikuelimishe kitu kimoja ama viwili. Kazi ya Magufuli aifanyayo sasa ilishaanzwa na Mrisho Gambo siku nyingi, wakati CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.